Uraisi wangu hauna ubia,hii imekaaje!!

Columbus

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
2,002
648
Hivi majuzi tumeshuhudia raisi Obama akiwaarifu maraisi waliomtangulia jinsi alivyofanikiwa kumpata na kumuua Osama bin Laden, tena kampigia simu raisi aliyekuwa wa chama hasimu,Bush. Sasa inakuwaje mkuu wetu anayeongoza nchi changa kama TZ alitamka hadharani eti uraisi wake hauna ubia na mtu? nionavyo mimi ndio maana kazi zinamshinda, waliomtangulia wanashindwa kumshauri kutokana na kauli yake hiyo.Wenzangu mnalionaje hili.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom