Elections 2010 Uraisi ni suala la Familia

Azadirachta

Senior Member
Oct 9, 2010
171
11
Hii kauli bado inanipa kichefu chefu sana! Hivi huyu bwana akifanikiwa kuwa raisi akamchangua Ridhiwani kama Balozi wa Tanzania UN, Salma kuwa mbunge wa kuteuliwa na waziri wa Fedha, na Miraji kuwa Mkuu wa mkoa wa Arusha, na Kale Ka Halfan kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kiteto kuna atakataye hoji? Maana Katiba yetu inamapengo sana raisi ana rungu kubwa sana!
 
.... Mmmmmmmmm!!!. baadaye Rais wa Maisha!!!! na kwa sasa Mgombea binafsi toka chama cha mapinduzi....na baadaye......... Siri yako 31/10/2010 ........ usimwangalie Nyani usoni wakati..........
 
.... Mmmmmmmmm!!!. baadaye Rais wa Maisha!!!! na kwa sasa Mgombea binafsi toka chama cha mapinduzi....na baadaye......... Siri yako 31/10/2010 ........ usimwangalie Nyani usoni wakati..........

Nadhani huyu bwana anaingia kwenye historia ya viongozi wabovu kabisa kutokea hapa Tanzania!
 
Back
Top Bottom