Urais Zanzibar: Je, ni Lini zamu ya watanganyika kutwaa urais?

payuka

JF-Expert Member
Jun 17, 2010
829
127
Nawasikia tu viongozi wa zanzibar wakiitawala Tanganyika kwenye nyadhifa mbalimbali. Mfano Mzee mwinyi, shamsi vuai nahodha, gharib Bilal n.k
Je ni lini watanganyika nao watapewa fursa ya kuitawala Zanzibar katika nafasi nyeti kama ilivyo wao huku bara? Au mtindo wetu wa kuitawala zanzibar indirectly unapendeza zaidi?
 
Umeongea jambo la maana. Haya ndoo yanaleta maswali yasiyo na majibu, huh muungano ni wa upande mmoja kufaid upande mmoja bila mwingine? Mnaoponda kufikiri kwenu mwisho chumban! Kuna mambo lukuki yafananayo na hayo na Hawa vilaza wetu hawatak tuhoj cjui ndoo nyie au vibaraka wao?
 
Hata mimi naunga mkono hoja yako. Zanzibar wanayo serikali yao kwanini waje kututawala. Hata ukiangalia kwenye eneo la ubunge , mbunge kule anakuwa na watu kuanzia 5,000 wakati bara ni kuanzia 100,000 hapa ninkupoteza rasilimali.
Hata hivyo mimi sioni maana ya Muungano huu hautusaidii sisi
 
Hili nalo neno!!!
Ili kuweka usawa inabidi nasi tukatawale kule!!
Haiwezekani kama yote ni nchi moja eti kuwe na ubaguzi kwenye utawala!!
Wanaofikiri kwa kufuatisha upeo wa macho yao yanapoishia ndio watapinga hili!!
But ukweli kuna haja ya kuangalia kipengele kimoja baada ya kingine cha huu muungano feki!!
 
Nilikuwa naupinga huu muungano wetu, lakini sasa hivi ni zaidi, sababu nauchukia.
Ni kama vile muungano kati ya dogo janja na kubwa jinga.
Kwa kuupinga na kuuchukia muungano huu, ni dhahiri kuwa Im not proud to be a Tanzanian, but a Tanganyikan.
 
Nawasikia tu viongozi wa zanzibar wakiitawala Tanganyika kwenye nyadhifa mbalimbali. Mfano Mzee mwinyi, shamsi vuai nahodha, gharib Bilal n.k
Je ni lini watanganyika nao watapewa fursa ya kuitawala Zanzibar katika nafasi nyeti kama ilivyo wao huku bara? Au mtindo wetu wa kuitawala zanzibar indirectly unapendeza zaidi?

we unataka kuhatarisha muungano wetu? eeeeh!
 
Nawasikia tu viongozi wa zanzibar wakiitawala Tanganyika kwenye nyadhifa mbalimbali. Mfano Mzee mwinyi, shamsi vuai nahodha, gharib Bilal n.k
Je ni lini watanganyika nao watapewa fursa ya kuitawala Zanzibar katika nafasi nyeti kama ilivyo wao huku bara? Au mtindo wetu wa kuitawala zanzibar indirectly unapendeza zaidi?

kama wewe ni mwanamme kamuulize baba yako lini itakuwa zamu yako kulala kitanda kimoja na mama yako.Kama wewe ni mwanamke kamuulize mama yako line itakuwa zamu yako kulala kitanda kimoja ya baba yako
 
think b4 u talk sidhani kama unauelewa kuhusu huu muungano or u ever been in zanzibar usingecomment huu upupu wako.
 
Nilikuwa naupinga huu muungano wetu, lakini sasa hivi ni zaidi, sababu nauchukia.
Ni kama vile muungano kati ya dogo janja na kubwa jinga.
Kwa kuupinga na kuuchukia muungano huu, ni dhahiri kuwa Im not proud to be a Tanzanian, but a Tanganyikan.

Hivi karibuni nimewahi kuandika humu JF kuwa MUUNGANO NA CHOKOCHOKO ZA KIDINI ni vitu viwili vinavyonipeleka kujutia kuitwa Mtanzania. Sikukuona kuniunga mkono. Hata hivyo nafarijika kuona kuna mwingine tunayefanana sana kimtizamo kuhusu huu muungano.
 
zanziba wana baraza la wawakilishi linatung sheria kwa ajili ya zanziba ajabu wanatoka wabunge znz wanakuja kutunga sheria mbovu huku wanacha inatuumiza kisha wanaondoka kwenda kuishi kwao mzanzibari akija huku leo anaweza kununua ardhi leo bt mtanganyika akienda znz ni mpaka akae miaka mitano bila kuhama apate kibali cha mzanzibari mkaazi ndo uweze kunua ardh tena kwa mbinde, shame muungano.
 
Mfano wako una maanisha kuna vitu ni mwiko kuhojiwa juu ya muungano, kwani muungano ni msaafu? Ni suala la kuwekana sawa then tunakwenda kutwaa Urais kule tunasaidia kuondoa chokochoko za wapemba dhidi ya waunguja.
kama wewe ni mwanamme kamuulize baba yako lini itakuwa zamu yako kulala kitanda kimoja na mama yako.Kama wewe ni mwanamke kamuulize mama yako line itakuwa zamu yako kulala kitanda kimoja ya baba yako
 
si uraisi tu! MTg awe na haki pia kuchagua na kuchaguliwa kwa nafasi zote!
Hivyo ndio upendo na raha ya kuungana!
 
Hili nalo neno! Jamaa wanafurahia tu posho kuja kuunga mkono sera mbovu kisha wanarudi kwao. Lakini tukifanya mabadiliko yatakayompa mtanganyika haki ya kutawala zanzibar kwa ngazi ya Urais na katika baraza la wawakilishi basi tutafanikiwa kuleta muungano wenye usawa. Na hivyo kuuondoa upuuzo wa watu wachache.
zanziba wana baraza la wawakilishi linatung sheria kwa ajili ya zanziba ajabu wanatoka wabunge znz wanakuja kutunga sheria mbovu huku wanacha inatuumiza kisha wanaondoka kwenda kuishi kwao mzanzibari akija huku leo anaweza kununua ardhi leo bt mtanganyika akienda znz ni mpaka akae miaka mitano bila kuhama apate kibali cha mzanzibari mkaazi ndo uweze kunua ardh tena kwa mbinde, shame muungano.
 
Soon tutafika huko, natumai JK msikivu atalifanyia kazi suala hili. Kuhakikisha haki za mtanganyika zinatambulika.
si uraisi tu! Mtanganyika awe na haki pia kuchagua na kuchaguliwa kwa nafasi zote!
Hivyo ndio upendo na raha ya kuungana!
 
Payuka umeleta mada muafaka na wakati muafaka. Ni juzi tu maalim seif ametamka kuwa safari hii ni zamu ya mzanzibar kuwa rais wa muungano pamoja kwamba utaratibu huo haujaandikwa popote.hjlo halijaandikwa popote. Hivi sasa seif yuko mwanza anarandaranda na vingora barabarani.
 
Back
Top Bottom