Urais wa Zitto 2015 ni kwa tiketi ya CHADEMA - Habib Mchange

... mtoto acha kupiga mayowe, siku ya siku itakapofika utaona sisi waheshimiwa wapiga kura tukijiamulia wenyewe tena bila papara wala fungu la mafisadi hapa.
 
Watu wenye upeo finyu huishia kujadili watu badala ya kujadli masuala! kwa siasa hizi nyepesi nyepesi za kunadi watu kwa ajili ya kupata mkate wa siku (kumtumikia kafiri ili upate mradi wako!) ndio maana hata vyama vya upinzani havifanikiwi! upuuzi huu wa kumnadi mgombea (wakati hakuna uchaguzi sasa) badala ya kueneza sera za chama zieleweke hauwezi kututoa hapa tulipo! Ndugu mchange kama unataka chama chako kifanikiwe na huyo mgombea wako apite 2015 shiriki katika kampeni ya kunadi sera na kukitangaza kwa wananchi, ACHANA NA SIASA ZA VISASI!
 
Huyu Mchange jina lake liliondolewa kugombea uenyekiti Bavicha alipokamatwa akigawa rushwa kama njugu kupitia mtandao.
Pia huyu ndiye mara nyingi kwa kutumia facebook akishirikiana na mtu anayejiita Said Kulwa na Juliana Shonza wamekuwa wakiwatukana matusi ya nguoni viongozi wakuu wa chama Dr Slaa,Freeman Mbowe na John Heche.Matusi wanayotukana hayandikiku

Yap,na hiyo ndo sababu ya jina lake kuondolewa kwny kinyang'anyiro hicho!but it seems bado ana hasira...trust me,zzk hatagombea urais kupitia cdm labda kupitia chama kingine!na mchange ulijue hili,endeleeni kupiga kelele weee,cdm ni taasisi sio zzk
 
Desi Mangola Machange ulijihusisha na Rushwa katika kugombea ubunge wa kibaha. Huna moral authority yoyote kuweza kutoa hoja ya kimtazamo wa uongozi!! Wewe una hasira ya kukosa ubunge kwa makosa yako!! Sasa wewe na ZZK mtafute pa kwenda kwa sababu mnachokitafuta mtakikosa tunaelewa nia zenu ovu!!
 
Last edited by a moderator:
Mimi huwa sipendi kuona mtu yuko above 60 ,ambae hata lifespan yake inaelekea THE END eti anang'ang'ana awe presdent.hivi mtu kama huyu ambae the grave is just arround the corner ataacha kweli kunufaisha kwanza family yake,ukoo na watu wake wa karibu ahangaike kutupeleka kwenye maendeleo.
Kwanza mtu wa hivo,he just wont give a damn chochote ,because he is a gonna.
 
huyu dogo ni nilikuwa na chat naye sasa hivi na mwambia hoja zako ni nyepesi sana azina mashiko na ni bora akajijenga kwa kutokubebwa na wanasiasa walikwisha komaa ni vyema akajijenga mwenyewe lakini hii tabia ya kuonyesha chuki za wazi wazi kuhusu heche ni bora akaacha mara moja kwa sababu watanzania awatamuelewa m4c inafanya kazi nzito sana ya kuwakomboa watanzania alafu yeye ana ipinga si ni upuuzi huu, kapewa pesa huyu anatapatapa saizi, anakuwa na uhakika na kitu anacho andika mpaka namshanga sana nasema hili ni tatizo sasa,
 
Mchange is a dead dog. CHADEMA hakumfai, anatakiwa aende CCM ambako uongozi hununuliwa kwa hela.

Makundi ndani Chadema ndio kwanza yanaanza, Chadema Kaskazini povu linawatoka.
 
fmpiganaji Katiba itakamilika mapema 2 na itamruhusu ZITTO kugombea. Hata kama itakuwa bado na kama ambavyo tumesikia hata lile jukwaa la CHADEMA linavyolumbana na kamati ya maoni ya Katiba mpya , lazima tu uchaguzi wa 2015 utaongozwa na sheria mpya aidha kutokana na Katiba mpya au kwa kufanyia marekebisho baadhi ya vipengele na nadhana kipengele cha umri kitakuwa kimojawapo.

Mimi nisaidieni jambo. Hivi kitakachomfanya Zitto asiwe mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA ni katiba tu? Ina maana katiba ikiruhusu, wanachama hawana ruksa ya kuchagua nani awawakilishe?

Tuyaache hayo. Tuje ndani ya CDM. Tuongee ukweli tuache kufikiri kishabiki, hivi upenzi wa Watanzania kwa CDM unaletwa na lipi kati ya haya;
1. Wananchi kuzijua vyema sera za CDM?
2. Umaarufu na misimamo ya Zitto Kabwe?
3. Umaarufu na misimamo ya Dr.Slaa?

Tuwe makini katika hili, upo uwezekano kuna waliotumwa kutuletea mambo ya kwenye chama chao kwetu, na sisi tukayapokea bila kujiuliza hiki tunachogombania kimepatikanaje.
 
Yap,na hiyo ndo sababu ya jina lake kuondolewa kwny kinyang'anyiro hicho!but it seems bado ana hasira...trust me,zzk hatagombea urais kupitia cdm labda kupitia chama kingine!na mchange ulijue hili,endeleeni kupiga kelele weee,cdm ni taasisi sio zzk

unayasema haya ukiwa kama nani kwanza.
 
Wanaodhani wengine tunaipenda tu Chadema (kama makada wa CCM walivyo) wanakosea sana,akina Habib Mchange ni mmojawapo wa watu wanaodhani Chadema imefika hapo pa kupendwa tu.

Sina muda wa kujadili hoja zake dhaifu lakini namtahadharisha kuwa Watanzania tunataka mabadiliko kwa namna yeyote,Watanzania watampa nafasi yule waliyenae mtaani kila siku akiwatetea kwa moyo mmoja bila hila,Watanzania wanataka mtu safi na kiongozi aliyekomaa kwelikweli na amedhihirisha hivyo kwa vitendo na si kwa simulizi zake kutuambia aliyofanya kama vile sisi ni vipofu!

Hawa akina Mchange wasameheni tu ni vijana wadogo wanaodhani wameshakomaa kisiasa na sifa zinawaharibu sana.Someni makala hiyo muone kama kuna kijana aliyeiva hapo!!!

Sikatai wala siungi mkono maana ni haki yake kikatiba ila sijaona sababu za msingi mtu kama zitto kukimbia ubunge ili agombee urais wakati inajulikana wazi hawezi kupata!! nafikiri kama ana wazo hilo alitafakari vizuri kwa ajili ya maslahi yake binafsi na CHADEMA mimi sio mwanchama wa chama chochote na nitampigia yeyote atakayekubalika kwenye akili yangu, ni vema kabla zitto hajatangaza kuwa mgombea angeeleza udhaifu wa Dk Slaa uliofanya asishinde uchaguzi uliopita. maana kama ni mvuto na kujenga hoja HAKUNAGA kama Dk Slaa
 
Hawa magamba naona wanatumia udini au ukanda wa Mchange kutaka kuwahadaa watanzania.
Wamechemka sana
 
yeye na mwezake nyakanguru ndio vibaraka wakubwa baada ya kushndwa kupenya bavichaamekuwa watu wa majungu

Wajue tu kuwa majungu yalishapitwa na wakati.Wajenge chama.Mwenzao John Heche anapaa sasa hivi kwa sababu ya kutokuendekeza majungu.
 
Watu wenye upeo finyu huishia kujadili watu badala ya kujadli masuala! kwa siasa hizi nyepesi nyepesi za kunadi watu kwa ajili ya kupata mkate wa siku (kumtumikia kafiri ili upate mradi wako!) ndio maana hata vyama vya upinzani havifanikiwi! upuuzi huu wa kumnadi mgombea (wakati hakuna uchaguzi sasa) badala ya kueneza sera za chama zieleweke hauwezi kututoa hapa tulipo! Ndugu mchange kama unataka chama chako kifanikiwe na huyo mgombea wako apite 2015 shiriki katika kampeni ya kunadi sera na kukitangaza kwa wananchi, ACHANA NA SIASA ZA VISASI!

Absolutely!

Imefikia sehemu sasa kumsikia Zitto akitajwa basi ni kwenye mazungumzo ya kugombea URAIS. Na hapo ni versus mtu aliyeko kwenye shughuli za chama to an extent halali nyumbani kwake.

Kuna ugonjwa mkali unakinyemelea chama, mkali kuliko 5 She-budas
 
mchange,

Wewe wawapi usiyejua kwamba mgombea urais atapatikana baada ya mchakato ndani ya chama,cdm ni chama kikubwa kuliko unavyoweza kufikiri na kwamba hakiwezi kuongozwa na kauli nyepesi zinazotoka kwenye akili ndogo kama yako. Upatu unaoufanya haukijengi chama,kina heche wanazunguka kukijenga chama wewe umekaa kibaha ukiendelea kupiga ramli. Akili ndogo haiwezi kuiongoza akili kubwa kamwe ndani ya cdm.

 
Last edited by a moderator:
Kijana mdogo nilisikitika aliposhindwa kwa hila, sasa anafikiri kuwa na kundi ni sifa njema, simamia katiba ya nchi yako, chama chako mwisho wa siku atachaguliwa mtu kutokana na sifa nzuri na sio majungu, bahati ya majungu aliipata kikwete tu alipowachafua kina salim, na ilifanikiwa kwa sababu ya rushwa, kijana utaangukia pua fanya siasa kama wewe sio kukaa mgongoni mwa mtu/watu utapoteza fikra zako.
 
Back
Top Bottom