Urais, ubunge mpaka udiwanh vyote ukomo iwe miaka 10

Mjenda Chilo

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
1,467
513
Wana jamvi katiba mpya ielekeze huu ukomo ili viongozi wasilewe madaraka. Viongozi wengi wanajiona wao ndio serikali wao ndio kila kitu. Baada ya hiyo hatutakuwa na watu kibao mule ndani kama bibi kiroboto, toka sijazaliwa hali leo wife na kids wapo. ngrrrrrr!
 
Wanayafanya hayo yote wakijua watanzania ni mbumbumbu hawewzi kufanya ubishi wowote kwa njia hiyohiyo wanayoitumia kuwanyanyasa wananchi imeingia hata kwa wabunge kwa kuzuiwa kuongea au kuhoji jambo kwenye hotuba zao hasa za upinzani kwa mfano issue ya jana inazuiwa kijinga na kipuuzi sana,,kisa tu imetoka upinzani...mie nadhani wajue kwamba sasa hivi watanzania na nchi nyingi ulimwenguni tunawaunga mkono wapinzani....hakuna haja hata kuwa na miaka 10 yote hiyo ya nini sasa na wakati marekan taifa lenye nguvu duniani wanaongoza kwa kipindi cha miaka 4 tu,...
 
Back
Top Bottom