Urais CHADEMA moto 2015: Dk Slaa, Mbowe, Zitto hapatoshi

Mkuu wangu nakubaliana na wewe kwa kiwango kikubwa sana lakini ukweli unauma lazima niseme kwamba Chadema ni chama ambachoo hakiko tayari kuchukua nchi. Na hatuwezi kuishinda CCM kupitia sanduku la kura hata siku moja iwe Dr.Slaa au mgombea mwingine yeyote unless chama hiki kifanye marekebisho makubwa sana ndani ya chama na wanachama wake..

Kusema kweli sasa hivi Chadema kinatisha watu zaidi ya vile mnavyo fikiria. Amini maneno yangu mkuu wangu CDM msije fikiria kabisa kwamba mnayo nafasi kubwa ya ushindi leo zaidi ya mwaka 2010 ila nitasema hivi chama kinashuka umaarufu wake na kinajenga jina baya kwa wananchi kila siku ya Mungu aidha mnalijua hili na kulipuuza au hamjui.

Kama tusipofanya marekebisho haraka sana iwezekanavyo, kufikia mwaka 2014 chama kitakuwa kimesambaratika na pengine chama kingine kuundwa na yote haya yanatokana na watu wachache sana ndani ya chama. Mkuu Mbowe, mh. Zitto, Mh. Dr.Slaa naomba nisomeni..
- Take it from me...An ear to the ground!
Mkandara, umeongea kama tuhuma but with no substance in it unaweza kujaza nyama nilipobold ili tujadili vizuri, maana hapa nashindwa nikujibu nini au nijibu kama ulivyosema CDM kitafika 2014, hakitishi watu na kiko tayari kuchukua nchi, does it make sense?
 
Mkuu wangu hukuelewa kipi hapa mbona kila kitu nimeeleza wazi kabisa isipokuwa sipendi kuongea matatizo ya ndani ukumbini. Viongozi wanayajua na baadhi ya watu wangu wa karibu wameniasa sana kuhusu hasidi within...Labda tu nikwambie ya kwamba kazi waloifanya CCM kukimaliza chama imesha malizika tunachofanya sasa ni matokeo ya kazi yao na watu hawajui isipokuwa tumegawanyika na makundi ndani ya chama..

Jiulize kwanini mada hii imetokea hapa kwamba Mbowe, Dr.Slaa na Zitto wanataka kugombea urais wakati kuna ukweli mkubwa kwamba hawa wote sasa hivi wamejenga kambi zao?.. Kambi hazina ubaya lakini sio kambi zinazokidhoofisha chama na pengine ni kwambie kitu kimoja.

Mimi mwaka 2010 nilikuwa mtu wa kwanza kutoa oni la Dr.Slaa agombee urais na kwa fikra hizo nikawasiliana na Mh. Mbowe akiwa nje ya nchi.. yeye ndio alikuwa mtu wa kwanza kuafiki hoja yangu tofauti kabisa na watu wengine wanavyomfikiria. Yeye ndiye aliyependekeza Dr.Slaa agombee lakini bado utawasikia watu wakisema yeye ana tamaa ya Urais!... mengine sina haja ya kusema sana..

I respect Mbowe, Zitto na Dr.Slaa lakini ndani ya Chadema wamejaa wachawi wengine sana ambao ndio wanakivuruga chama na kama hamtabadilisha na kufanya usafi ndani ya chama basi 2014 mbali sana acha hiyo 2015...
 
Kwenye hii paragraph umeongea fumbo kubwa sana mkuu, vipi unaweza kututajia hao wachawi ndani ya CDM?, kama tunamtaja JK ni mzee wa dili anayeifilisi nchi, haitakua ishu kuwataja hao wachawi ndani ya CDM...
 
Mkandara

Ni kazi gani unayoisema CCM wameimaliza au kukigawa chama chenu?

Ninachojua mimi makundi ya urais yako CCM tena ya wazi kabisa na wao wanakiri, CDM hakuna makundi ila kuna different school of thoughts.

Unanishangaza unaposema Slaa ana kundi basi kama ni kundi ni 'jeshi' la wananchi hata mimi nipo, kinachotokea sasa CCM wanatafuta uwezekano wowote wa kuingia ngome ya CDM ndio maana tunaanza kuona habari kama hizi ambazo hazina kichwa wala miguu, mwandishi wa habari anajaribu kutoa hisia zake au alizopandikizwa ndio maana anaishia kusema 'mtoa habari wa ndani ya CDM' kitu ambacho kinaweza kuandikwa na mtu yeyote, inawezekana hata wewe uko kwenye mkumbo huo bila kujijua?.
 
Ndugu Mkandara, ni kweli kuna tatizo kubwa sana kama ni kweli CDM inashuka umaarufu zaidi ya CCM, tuna tatizo either sisi wananchi ama CDM....Pia ni lazima tujuwe kuwa umaarufu huo unashuka zaidi kutoka kwenye jamii ya kada gani, ie kinamama, vijana, wakristo etc.

Kwa upande mwingine, sisi wananchi shida yetu ni kusahau mapema, how can you forget all the evils CCM has done to this country?
 
Mkandara

Ni kazi gani unayoisema CCM wameimaliza au kukigawa chama chenu?

Ninachojua mimi makundi ya urais yako CCM tena ya wazi kabisa na wao wanakiri, CDM hakuna makundi ila kuna different school of thoughts.

Unanishangaza unaposema Slaa ana kundi basi kama ni kundi ni 'jeshi' la wananchi hata mimi nipo, kinachotokea sasa CCM wanatafuta uwezekano wowote wa kuingia ngome ya CDM ndio maana tunaanza kuona habari kama hizi ambazo hazina kichwa wala miguu, mwandishi wa habari anajaribu kutoa hisia zake au alizopandikizwa ndio maana anaishia kusema 'mtoa habari wa ndani ya CDM' kitu ambacho kinaweza kuandikwa na mtu yeyote, inawezekana hata wewe uko kwenye mkumbo huo bila kujijua.
Mkuu usishangazwe na lolote ila kwamba makundi ndani ya CDM hayakuwa na nia mbaya hata kidogo bali yalitokana na
recruitment..Na kwa kila mmoja wenu amewavuta watu ambao walikubaliana na ushawishi wake kama vile mimi na Kitila Mkumbo siwezi kupinga kwamba ndiye haswa alonipa darsa na nipo nyuma yake kama kiongozi wa kikosi na sio Brigade..

tatizo limekuja pale hawa wafuasi wanapotumikia mbinu ya CCM kukivuruga chama kwa mfano leo Ben akiandika hapa kuna watu watamtazama kwanza kama issue yenyewe inamhusu Zitto au Mbowe -UONGO?.. Zitto akiandika basi Regia hatakosekana kujibu! uongo?.Ukiandika wewe OmarIlyas atakuja...Uongo!.

Hivyo imepelekea hadi Mkandara akiandika hapa dhidi ya Mnyika, Mbowe au Zitto lazima watu watazame yupo kambi gani na kama hana kambi - Je, yeye dini gani?...Hii ndio sumu walioitengeneza CCM, leo hii sio swala la kukijenga chama tena bali makundi makundi ambayo sasa yana malengo ya kusambaratisha chama.. Mengine mkuu wangu jazia mwenyewe.
 
Wee si umesema niache kupiga ramli? umeniona mpiga ramli au nazungumza ukweli ulokuuma wewe bila hata kufikiria possibility ya mambo haya kutokea na kwamba nawaasa kujitahadhali?.. Halafu sii umesema mimi nilikuwa napinga Dr.Slaa asigembee imekuwaje sasa? au kusema uongo nalo sio tusi...

Mkandara hizo ni Ramli na hazina jina tofauti.Kusema Chadema itasambaratika kabla ya 2014 tuiteje kama si ramli? Maneno yako ya kwamba kutaanzishwa chama kingine hayatofautiani na maandishi ya Mwanahabari Mayage S Mayage ambaye aliweka ushabiki mkubwa wa kuilaani Chadema na kupiga ramli naye kwamba chadema itasambaratika na kitaanzishwa chama kipya.Utadhani mlijifungia chumba kimoja kwa mawazo yenu.Naomba nikushauri subiri jambo litokee ndipo useme.Lakini kukaa nyuma ya keyboard na kusema chadema itasambaratika kabla ya 2014 na kwamba kitazaliwa chama kipya hatuwezi kusema kitu kingine zaidi ya kusema ni kupiga Ramli,tukipooza sana maneno tutasema ni umbeya wa kike tu.
 
Kwenye hii paragraph umeongea fumbo kubwa sana mkuu, vipi unaweza kututajia hao wachawi ndani ya CDM?, kama tunamtaja JK ni mzee wa dili anayeifilisi nchi, haitakua ishu kuwataja hao wachawi ndani ya CDM...
I respect Mbowe, Zitto na Dr.Slaa lakini ndani ya Chadema wamejaa wachawi wengine sana ambao ndio wanakivuruga chama na kama hamtabadilisha na kufanya usafi ndani ya chama basi 2014 mbali sana acha hiyo 2015...
i was about to ask the same question, ndio maana mwanzo nikamwambia analeta tuhuma, na tuhuma bila ukweli ni majungu and i don't think Mkandara is such a person. Kuna wakati nilibishana na Waberoya alivyomtuhumu Zitto eti ana kiwanda cha kokoto naye alileta kwa misingi hii hii.
 
Mkuu wangu tusubiri...Sina maana mbaya wala nia mbaya lakini najua wapo walionisoma na wamenisikia...Ninaomba Mungu wayafanyie kazi....

J Mushi1,
Sina sababu ya kuyaweka majina ya watu hao JF bali kwa nafsi zetu wenyewe tujitazame na kujitoa makosa lakini tukiyafumbia makosa yetu ndio hapo inakuja swala la kumshuku Mkandara mwenyewe kuwa ana nina mbaya... Tatizo sisi wanafiki wa nafsi zetu wenyewe na hivyo kuufanya unafiki nje inakuwa jambo la kawaida tu kwa maana iliyo karibu na wazungu wanaposema -Ili uheshimike unahitaji kwanza kujiheshimu wewe mwenyewe!...Maneno haya yana maana kubwa sana. Nawaomba tu wananChadema waache Unafiki - Period..
 
Mkuu usishangazwe na lolote ila kwamba makundi ndani ya CDM hayakuwa na nia mbaya hata kidogo bali yalitokana na
recruitment..Na kwa kila mmoja wenu amewavuta watu ambao walikubaliana na ushawishi wake kama vile mimi na Kitila Mkumbo siwezi kupinga kwamba ndiye haswa alonipa darsa na nipo nyuma yake kama kiongozi wa kikosi na sio Brigade..

tatizo limekuja pale hawa wafuasi wanapotumikia mbinu ya CCM kukivuruga chama kwa mfano leo Ben akiandika hapa kuna watu watamtazama kwanza kama issue yenyewe inamhusu Zitto au Mbowe -UONGO?.. Zitto akiandika basi Regia hatakosekana kujibu! uongo?.Ukiandika wewe OmarIlyas atakuja...Uongo!.

Hivyo imepelekea hadi Mkandara akiandika hapa dhidi ya Mnyika, Mbowe au Zitto lazima watu watazame yupo kambi gani na kama hana kambi - Je, yeye dini gani?...Hii ndio sumu walioitengeneza CCM, leo hii sio swala la kukijenga chama tena bali makundi makundi ambayo sasa yana malengo ya kusambaratisha chama.. Mengine mkuu wangu jazia mwenyewe.
Mkandara

Kwenye bold last day ulisema uko ndani ya circle ya CCM leo unasema uko ndani ya CDM tukueleweje, anyway ndio maisha tuendelee,

Kama msingi wako wa kusema CDM kuna wachawi ndio huu bado nasema CDM hakuna makundi hizo ni fikira tofauti za viongozi school of thoughts ambazo naamini zinajenga chama, kusema mimi nakubaliana na fulani katika say swala la 'posho' si kuwa mimi niko kundi la Zitto. Chadema sasa ni taasisi inayojitoshereza kwa kila idara, ina internal and external security yake, kwa hiyo chochote utakachokifanya kama wewe ni kiongozi kitajulikana labda tofati itakuja jinsi gani ya kuku handle.
 
Nionyeshe niliposema nipo ktk circle ya CCM?...halafu mkuu wala sipo ktk circle ya CDM sijawa na wala sintokuwa ni mtu huru...nimesema mtu ayenishawishi na kujiunga na CDM ni Kitila ambaye nimesema ni kama kiongozi wangu. Mbona maswali mengi jamani mnashindwa kipi kuelewa?...Au ndio kazi ya kutafuta nipo kambi gani.. - Nimekueleza wazi kabisa jiulize kwanini Mbowe, Zitto na Dr.Slaa wametajwa kama wagombea urais CDM ikiwa huko nje hawafikirii kujenga uhasama ndani.
- Na inakuwaje watu mnaandika tuache makundi ndani ya chama kama msisitizo ikiwa makundi hayapo? wewe umesema Ben pia kasema kuwa huu sio wakati wake.. why mseme hivyo ikiwa hakuna makundi... Jamani au kwa sababu anayeandika ni Mkandara?
 
Urais ndani ya CDM ni tuliiii na ni wa baridi zaidi ya barafu kwa kuwa sote tumelekeza macho zaidi kwenye picha kubwa zaidi ya mabadiliko ya kweli nchini kuliko kujielekeza zaidi akili zetu kwenye vyeo kama ambvyo wengine wanavyojidhnia hu ko vichochoroni Chimwaga street huko.
 
Nionyeshe niliposema nipo ktk circle ya CCM?...halafu mkuu wala sipo ktk circle ya CDM sijawa na wala sintokuwa ni mtu huru...nimesema mtu ayenishawishi na kujiunga na CDM ni Kitila ambaye nimesema ni kama kiongozi wangu. Mbona maswali mengi jamani mnashindwa kipi kuelewa?...Au ndio kazi ya kutafuta nipo kambi gani.. - Nimekueleza wazi kabisa jiulize kwanini Mbowe, Zitto na Dr.Slaa wametajwa kama wagombea urais CDM ikiwa huko nje hawafikirii kujenga uhasama ndani.
- Na inakuwaje watu mnaandika tuache makundi ndani ya chama kama msisitizo ikiwa makundi hayapo? wewe umesema Ben pia kasema kuwa huu sio wakati wake.. why mseme hivyo ikiwa hakuna makundi... Jamani au kwa sababu anayeandika ni Mkandara?

Mkandara,
Hukunijibu katika post yangu ya juu lakini nimefuatilia kila comments zako hapo.Hivi unachukuliaje habari za gazeti la mwananchi na kuileta hapa ili kujenga hoja kwamba kuna makundi ya urais? Unaamini taarifa za mwandishi ambaye bila hata aibu anawataja kina Sugu kwamba wapo kwenye mbio za Urais? Mwandishi anaokoteza habari kuhusu Zitto,ilihali mara kadhaa Zitto amekanusha kwamba hana mpango wa kugombea?
Hapa umesema kwamba wewe haupo Chadema.Mbona unajikanganya? Juzi ulishambulia uteuzi wa Mnyika kama Mkurugenzi wa habari na uenezi,ukasema Slaa anamjazia posho Mnyika.Nashukuru Mungu Mnyika alikuja hapa na kusema wabunge wa chadema hawalipwi posho na yeye hiyo nafasi aliyoteuliwa hatalipwa.Baada ya pale ukakaa kimya.Nilikushangaa zaidi pale uliposema eti badala ya Slaa kumteua Mnyika angempa hiyo nafasi mtu mwingine na ukawataja kama kina Feedback,Mwita Maranya nk.Nisemeje kama sio ulikuwa uanataka kuleta uchochezi ili Chadema wakarikiane?
Mkuu,kuwa na mawazo tofauti ndani ya Chadema haina maana kwamba ni dhambi.Wala haimaniishi utabiri wako wa kwamba Chadema itasambaratika kabla ya 2014 itatimia,la hasha.Chadema ni chama chenye uvumilivu wa hali ya juu.Chadema ni chama ambacho mtu anamnyooshea kidole mwenyekiti na hafukuzwi chama.Sina haja ya kukutajia majina hapa lakini naamini unayajua.
Unadai una access na kina Mbowe,Slaa na Kitila.Unawajua wote ni viongozi wa Chadema.Kwanini usiwasiliane nao moja kwa moja kama una nia nzuri badala yake unatoa ubashiri wako hadharani kwamba Chadema itasambaratika kabla ya 2014?
Sema yote lakini asilani nitakupinga unaposema Dr Slaa ana kundi la urais.Are you serious Mkandara? Au unadhani hadithi haitanoga bila kusema Slaa naye ana kundi?
Mkandara wewe ni binadamu kama wengine,nakushauri chunga isije kuwa unatumika na maadui wa chadema kwa kujua ama kutokujua kwa lengo la kupandikiza chuki ndani ya chama ili lengo lako la kusambaratika kabla ya 2014 litimie hatimaye useme si nilisema? CCM wanajitahidi kutumia kila mbinu kuisambaratisha Chadema,sasa angalia usije ukawa mmoja wa watumikaji.
Tuwaache Chadema wafanye uchaguzi wao wa ndani kwa amani.Nakuhakikishia Mkandara Chadema inaongozwa na watu makini.Hutasikia hata sisimizi amekanyagwa katika uchaguzi huu wa ndani.
Mkandara kuna mahali umechangia kwamba Chadema watu wanatishwa sana.Tusemeje kama si majungu? Kwanini kama unania njema usiseme wazi ni nani anamtisha nani na kwa sababu gani? Kwa pointi hii inaonyesha kwamba kuna watu wanakuletea majungu,eti watu wanatishwa! Hujui hawa wanaokuletea majungu ni sawa tu na wasiokitakia mema chama? Kwanini wakunong'oneze watu wanatishwa ndani ya chama kwa hiyo kitasambaratika kabla ya 2014? Naamini Dr Slaa,Mnyika na viongozi wengine mko humu jamvini na mkipenda mnaweza kujibu huu uzushi kwa namna mtakayoona inafaa.
Kuna kitu kimoja sana ambacho CCM wanakiamini nacho ni Propaganda tena chafu.Mbinu yao kuu wanayotumia kukatisha tamaa wananchi kuhusu vyama vya upinzani ni kudanganya kwamba vitasambaratika kabla ya kipindi fulani.Lengo lao kuu ni ili wananchi wavikimbie vikose nguvu.Wamekuwa wakipiga propaganda kwamba kule kuna mgogoro,huku kuna udini,kule kuna ukabila,huku kuna ubaguzi na wale watasambaratika kabla ya uchaguzi ujao.Mkandara umeingia kundi hilo?
 
utaperi mtupu tu. unajaribu kuanzisha vurugu ndani ya vyama. Hadi kijana mdogo kama Mnyika unamtaja kugombea uraisi? Hadi sugu? hadi shibubu agombee kupitia chadema? wacha uongo wenu enyi waandishi wa habari
 
Sina hakika na Zitto kuutaka urais 2015, ila Freeman Mbowe anautaka sana tena sana.

Lakini niseme huhiitaji kuwa na PhD kwenye uchambuzi wa mambo ya siasa kujua kuwa kama CHADEMA watamsimamisha Mbowe, basi watashindwa vibaya sana.

Dr Slaa sio tu ana uwezo mkubwa kwenye uongozi lakini dhamira yake inagusa wengi. Watanzania wana imani naye na naweza kusema kuwa ni Dr Slaa ndiye amebadilisha kabisa 'fabric' ya siasa. Kama asingegombea mwaka 2010 ni dhahiri tungeendelea na ule wimbo wa kupata 2% ya kura za urais kwa mgombea wa upinzani. The man is consistent, well informed na anasimamia kile anachosema.

Hivi kuna mzungu yeyote atakayethubutu kumnunulia suti Dr Slaa ili apate kibali cha kuendeleza biashara zake hapa? Je, Mbowe ana mshipa wa kukataa kununuliwa suti?

Ushauri wangu, Mbowe aachane kabisa na ndoto za urais kwa sasa, ajielekeze kwenye kuimarisha chama.

Mkulu

Ni bahati mbaya humfahamu Mheshimiwa Mbowe:
1.Under his chairmanship, ndiye aliyeleta mabadiliko ya siasa za CDM, ndiye aliyeleta guerrila type of politics, kuanzia magwanda mpaka defiance kwa watawala

2. Kama ni uchu asingempisha Slaa kwa hiari agombee urais, siyo mbinafsi kama mnavyotaka aonekane mbele ya jamii

3. Mheshimiwa mbowe siyo mtu wa kusubiri kuhongwa suti, utajiri upo pale kwenye familia enzi na enzi

KAMA TAIFA WE OWE HIM,

CDM ya leo siyo ya Mzee Mtei na Makani...Ni kijana aliyejitoa muhanga kupimana ubavu na watawala na ameshirikisha vijana wenzake na wengine kwenye hizi harakati
 
Mkuu wangu tusubiri...Sina maana mbaya wala nia mbaya lakini najua wapo walionisoma na wamenisikia...Ninaomba Mungu wayafanyie kazi....

J Mushi1,
Sina sababu ya kuyaweka majina ya watu hao JF bali kwa nafsi zetu wenyewe tujitazame na kujitoa makosa lakini tukiyafumbia makosa yetu ndio hapo inakuja swala la kumshuku Mkandara mwenyewe kuwa ana nina mbaya... Tatizo sisi wanafiki wa nafsi zetu wenyewe na hivyo kuufanya unafiki nje inakuwa jambo la kawaida tu kwa maana iliyo karibu na wazungu wanaposema -Ili uheshimike unahitaji kwanza kujiheshimu wewe mwenyewe!...Maneno haya yana maana kubwa sana. Nawaomba tu wananChadema waache Unafiki - Period..

Mkandara,

Mkuu wangu,hoja ulizoibua zitatusaidia kujitathmini na kujipima.Mkuu naamini una nia njema na chadema na taifa letu kwa ujumla.Sana sana ukubali tu hata kutukanwa kwa kusema ukweli.Ukitaka usiwe na maadui wengi kwenye siasa za Tanzania hii basi uwe mnafiki.Tabia ambayo naichukia sana.Kitu cha msingi tusitoe fursa kwa watu wa nje kutuhujumu na tujikite zaidi katika kujenga mfumo imara zaidi utakaopunguza siasa za makundi ndani ya chama hasa katika kipindi hiki cha chaguzi mbali mbali hadi kwenye uchaguzi.Tuangalie pia uwezekano wa kuwa na kamati ya maridhiano pale itakapolazimika

Najua CCM wako kazini sana kutaka kutuhujumu hata kwa kutumia vyama vingine vya upinzani.Hata hivyo kasi ya CCM kutuhujumu itaongezeka baada ya uchaguzi wao ndani ya chama na kila mgombea kujiridhisha kwamba amepanga vipi safu yake.Lakini chadema haihitaji kuihujumu CCM ili kuchukua dola 2015 kwa hatua ambayo CCM wamefikia sasa.Sana sana tuwe makini tu tufanye (Pre-emptive attack).Mengine sitaandika (nitayatoa mapendekezo kwa chama changu)

Mkuu wangu Mkandara na wakuu wengine kama tunaipenda chadema kwa dhati basi ni jambo bora kutoa ushauri na hata ushauri mwingine (kama ni delicate) ikiwezekana utolewe moja kwa moja kwa chama
 
utaperi mtupu tu. unajaribu kuanzisha vurugu ndani ya vyama. Hadi kijana mdogo kama Mnyika unamtaja kugombea uraisi? Hadi sugu? hadi shibubu agombee kupitia chadema? wacha uongo wenu enyi waandishi wa habari

wewe hujui kama nafasi ya ugombea uraisi CDM ni utume? Na si mwinginiwe 2015 ni dk wa ukweli
 
Mkandara,
Hukunijibu katika post yangu ya juu lakini nimefuatilia kila comments zako hapo.Hivi unachukuliaje habari za gazeti la mwananchi na kuileta hapa ili kujenga hoja kwamba kuna makundi ya urais? Unaamini taarifa za mwandishi ambaye bila hata aibu anawataja kina Sugu kwamba wapo kwenye mbio za Urais? Mwandishi anaokoteza habari kuhusu Zitto,ilihali mara kadhaa Zitto amekanusha kwamba hana mpango wa kugombea?
Hapa umesema kwamba wewe haupo Chadema.Mbona unajikanganya? Juzi ulishambulia uteuzi wa Mnyika kama Mkurugenzi wa habari na uenezi,ukasema Slaa anamjazia posho Mnyika.Nashukuru Mungu Mnyika alikuja hapa na kusema wabunge wa chadema hawalipwi posho na yeye hiyo nafasi aliyoteuliwa hatalipwa.Baada ya pale ukakaa kimya.Nilikushangaa zaidi pale uliposema eti badala ya Slaa kumteua Mnyika angempa hiyo nafasi mtu mwingine na ukawataja kama kina Feedback,Mwita Maranya nk.Nisemeje kama sio ulikuwa uanataka kuleta uchochezi ili Chadema wakarikiane?
Mkuu,kuwa na mawazo tofauti ndani ya Chadema haina maana kwamba ni dhambi.Wala haimaniishi utabiri wako wa kwamba Chadema itasambaratika kabla ya 2014 itatimia,la hasha.Chadema ni chama chenye uvumilivu wa hali ya juu.Chadema ni chama ambacho mtu anamnyooshea kidole mwenyekiti na hafukuzwi chama.Sina haja ya kukutajia majina hapa lakini naamini unayajua.
Unadai una access na kina Mbowe,Slaa na Kitila.Unawajua wote ni viongozi wa Chadema.Kwanini usiwasiliane nao moja kwa moja kama una nia nzuri badala yake unatoa ubashiri wako hadharani kwamba Chadema itasambaratika kabla ya 2014?
Sema yote lakini asilani nitakupinga unaposema Dr Slaa ana kundi la urais.Are you serious Mkandara? Au unadhani hadithi haitanoga bila kusema Slaa naye ana kundi?
Mkandara wewe ni binadamu kama wengine,nakushauri chunga isije kuwa unatumika na maadui wa chadema kwa kujua ama kutokujua kwa lengo la kupandikiza chuki ndani ya chama ili lengo lako la kusambaratika kabla ya 2014 litimie hatimaye useme si nilisema? CCM wanajitahidi kutumia kila mbinu kuisambaratisha Chadema,sasa angalia usije ukawa mmoja wa watumikaji.
Tuwaache Chadema wafanye uchaguzi wao wa ndani kwa amani.Nakuhakikishia Mkandara Chadema inaongozwa na watu makini.Hutasikia hata sisimizi amekanyagwa katika uchaguzi huu wa ndani.
Mkandara kuna mahali umechangia kwamba Chadema watu wanatishwa sana.Tusemeje kama si majungu? Kwanini kama unania njema usiseme wazi ni nani anamtisha nani na kwa sababu gani? Kwa pointi hii inaonyesha kwamba kuna watu wanakuletea majungu,eti watu wanatishwa! Hujui hawa wanaokuletea majungu ni sawa tu na wasiokitakia mema chama? Kwanini wakunong'oneze watu wanatishwa ndani ya chama kwa hiyo kitasambaratika kabla ya 2014? Naamini Dr Slaa,Mnyika na viongozi wengine mko humu jamvini na mkipenda mnaweza kujibu huu uzushi kwa namna mtakayoona inafaa.
Kuna kitu kimoja sana ambacho CCM wanakiamini nacho ni Propaganda tena chafu.Mbinu yao kuu wanayotumia kukatisha tamaa wananchi kuhusu vyama vya upinzani ni kudanganya kwamba vitasambaratika kabla ya kipindi fulani.Lengo lao kuu ni ili wananchi wavikimbie vikose nguvu.Wamekuwa wakipiga propaganda kwamba kule kuna mgogoro,huku kuna udini,kule kuna ukabila,huku kuna ubaguzi na wale watasambaratika kabla ya uchaguzi ujao.Mkandara umeingia kundi hilo?
Kwa watu wasiomuelewa Mkandara atawapa shida mimi huwa namwona kama spin master sorry to say that, anamsemo wake 'mimi sina unafiki nitasema hata kikiwauma' lakini ukichambua anachokisema unakuta mengi ni kutaka kuwakatisha tamaa vijana. Lengo lake kuu ni kuona wapinzani hasa CDM inasambaratika na sio kukosoa kama anavyosema, sisi ni watu wazima tunajua mtu anayekosoa kwa mapenzi mema(kujenga) na yule anayekosoa kwa kubomoa na yule anayesifia kwa unafiki cheki hapa chini,

Chadema sasa mnachosha.... kwa nini mnawalimbikiza wabunge kazi zaidi wakati walizonazo tayari ni mzigo kwa chama?.. Vijana wengine wapo kwa nini hawatumiwi hawa!..
Kupinga posho pekee haitoshi ikiwa chama kinawapa madaraka kundi la watu wale wale tu hii inaashiria zaidi kwetu kama ni ULAJI zaidi kwao..
- Mtanisamehe nawakilisha mawazzo yangu.
Lengo hapa si kukosoa ni kuonyesha chama hakifai kwa dhana yao ya kupinga posho.
Najua sana kwamba Mnyika anaiweza kazi hiyo lakini ndio kusema hatuna watu wengine?.. Kwa nini hawahawa wabunge ndio tunawapa nafasi za uongozi ndani ya chama?.. Wapo vijana wengi BAVICHA ambao wanaiweza kazi na hawana madaraka mengine
Kama kawaida yangu mimi siku zote msema kweli sina unafiki napoona jambo halikukaa vema hulisema sisubiri kwanza watu walitafune..
Lengo hapa ni kuwachonganisha vijana ndani ya CDM na viongozi wao.
I'm Sorry Dr.Slaa nadhani ktk hili kachemsha maana uwezo pekee hauwezi kuwa kigezo bali nafasi muda na kuelewa vyanzo vipi unatakiwa wakati muafaka na sii kusubiri vitu vimekwisha tokea kama zilivyo siasa za Bongo.
Lengo hapa ni kuuonyesha umma kuwa Slaa hafai.
 
Back
Top Bottom