Leo kwa kweli gazeti la mwananchi limenishangaza sana
Hata mimi sikuamini,wacha waandike wanavyotaka jibu watalipata karibuni
Leo kwa kweli gazeti la mwananchi limenishangaza sana
Mkuu wangu nakubaliana na wewe kwa kiwango kikubwa sana lakini ukweli unauma lazima niseme kwamba Chadema ni chama ambachoo hakiko tayari kuchukua nchi. Na hatuwezi kuishinda CCM kupitia sanduku la kura hata siku moja iwe Dr.Slaa au mgombea mwingine yeyote unless chama hiki kifanye marekebisho makubwa sana ndani ya chama na wanachama wake..Ritz,
Suala la mgombea Urais ndani ya chadema linjulikana kwamba linategemea mchakato wa kidemokrasia na muafaka ndani ya chama chetu.Siyo kama ilivyo kwa CCM ambako hadi wanajimu walitumika kumtishia yeyote ambaye angetaka kupambana na JK.Pia usisahau maneno ya katibu mkuu Yusuf Makamba kwamba alikuwa tayari kufungwa kwa ajili ya JK,yaani demokrasia huko ni mwiko
Leo hii mgombea urais wa chadema mwaka 2010 Dr. Wilbroad slaa anaonekana mwenye appeal kwa watanzania kuliko Jk na ni tumaini kubwa kwa watanzania.Pia usisahau kwamba Chadema kimejipanga kuwa na hazina kubwa ya viongozi wa baadae
Dr. Slaa is proof that more can be achieved with his moderate and pragmatic style in Tanzania than with the uncompromisingly hardline stance of much celebrated chaps in CCM. You then , as a focused opposition politician , need a hands-on approach , between election periods, to gain support, visibility and acceptance .
I am just not comfortable with folks thinking they have a divine right to be supported to win when , between elections, those folks do not behave like oppositions who want to win . Anyone who seriously wants to defeat the CCM crew should start their effort now (but without jeopardise harmony and peaceful co-existence within the party) or save us the finger pointing in 4 years time .
I personally believe it is not difficult to defeat the CCM if the opposition has the energy, enthusiasm and ideas to stay the course instead of going to sleep for 4 years and hoping to win magically during election when issues such as the mental divisions of Tanzanians still play a huge part in how people vote
Instead our Politicians in opposition remain indolent before election time yet they want to defeat the Chama Cha Mapinduzi with 3 months of election campaign alone.
NB: Halafu ukishauri chama chako(just in case you are a CCM Cadre) kirudi kwenye mstari kabla ya 2014 kwani hukumu yenu itakuwa kubwa,utakuwa ni uchaguzi utakao-evaluate falsafa ya maisha bora kwa kila mtanzania kama chama ,na pia uchaguzi utakaopima confidence ya wananchi kwa mgombea atakayejiita bora lakini ndani ya chama kibovu kisicho na rekodi ya kuwatendea mema watanzania dhidi ya ilani bora na mgombea bora wa chadema
Mkuu wangu nakubaliana na wewe kwa kiwango kikubwa sana lakini ukweli unauma lazima niseme kwamba Chadema ni chama ambachoo hakiko tayari kuchukua nchi. Na hatuwezi kuishinda CCM kupitia sanduku la kura hata siku moja iwe Dr.Slaa au mgombea mwingine yeyote unless chama hiki kifanye marekebisho makubwa sana ndani ya chama na wanachama wake..
Kusema kweli sasa hivi Chadema kinatisha watu zaidi ya vile mnavyo fikiria. Amini maneno yangu mkuu wangu CDM msije fikiria kabisa kwamba mnayo nafasi kubwa ya ushindi leo zaidi ya mwaka 2010 ila nitasema hivi chama kinashuka umaarufu wake na kinajenga jina baya kwa wananchi kila siku ya Mungu aidha mnalijua hili na kulipuuza au hamjui.
Kama tusipofanya marekebisho haraka sana iwezekanavyo, kufikia mwaka 2014 chama kitakuwa kimesambaratika na pengine chama kingine kuundwa na yote haya yanatokana na watu wachache sana ndani ya chama. Mkuu Mbowe, mh. Zitto, Mh. Dr.Slaa naomba nisomeni..
- Take it from me...An ear to the ground!
hamna hata mwenye sifa hapo. kuwa wabunge tu wameshindwa kuzuia nepotism, sasa wakiwa rais itakuwaje? think, tundu lissu=christina lissu, wilbroad peter slaa=rose kamili, zitto=some body, mbowe ndo usiseme.
Hakuna hata mmoja mwenye sifa hapo. nyerere amekaa 25years ikulu bila nepotism.
Ni vyema kujadili sasa ili waoplan kugombea wajue ni kiongozi wa namna gani tunayemuhitaji. Inawezekana wengine wakajiengua wenyewe tu kukosa sifa tunazozitaka na hivyo kuepusha migogoro inayoweza kuja kujitokeza huko mbele ya safari.
Wewe mgeni JF na kama ungekuwa mwenyeji usingeyasema haya yote...Mimi nilikuwa mpambe wa kwanza JF kumpigia debe kabla hta Chadema hawajaamua nani agombee na nikaeleza kwa nini nampendekeza Dr.Slaa. Kwa hiyo najua unatokea wapi maana watu kama nyie mnaojitazama kwa rangi zenu, dini zenu na kadhalika ndio nawazungumzia haswaaaa! mmejaa Chadema na nakuhakikishia mtakiua chama.Kwenye harakati xa ukombozi watu kama nyie hamkosekani.Nakumbuka wewe ni mtu wa kwanza uliyepinga Slaa asiwe mgombea urais.Ulidai kama chadema kingemsimamisha kingeshindwa vibaya na bungeni nguvu ya Slaa ingekosekana.Juzi umelalamikia sana uteuzi wa Mnyika na kusema hafai kuwa mkurugenzi wa habari na uenezi.Ninachowashauri Slaa,Mbowe na viongozi wengine msikatishwe tamaa na watu kama hawa.Jengeni chama mtakumbukwa na historia.
Wewe mgeni JF na kama ungekuwa mwenyeji usingeyasema haya yote...Mimi nilikuwa mpambe wa kwanza JF kumpigia debe kabla hta Chadema hawajaamua nani agombee na nikaeleza kwa nini nampendekeza Dr.Slaa. Kwa hiyo najua unatokea wapi maana watu kama nyie mnaojitazama kwa rangi zenu, dini zenu na kadhalika ndio nawazungumzia haswaaaa! mmejaa Chadema na nakuhakikishia mtakiua chama.
Sina hakika na Zitto kuutaka urais 2015, ila Freeman Mbowe anautaka sana tena sana.
Lakini niseme huhiitaji kuwa na PhD kwenye uchambuzi wa mambo ya siasa kujua kuwa kama CHADEMA watamsimamisha Mbowe, basi watashindwa vibaya sana.
Dr Slaa sio tu ana uwezo mkubwa kwenye uongozi lakini dhamira yake inagusa wengi. Watanzania wana imani naye na naweza kusema kuwa ni Dr Slaa ndiye amebadilisha kabisa 'fabric' ya siasa. Kama asingegombea mwaka 2010 ni dhahiri tungeendelea na ule wimbo wa kupata 2% ya kura za urais kwa mgombea wa upinzani. The man is consistent, well informed na anasimamia kile anachosema.
Hivi kuna mzungu yeyote atakayethubutu kumnunulia suti Dr Slaa ili apate kibali cha kuendeleza biashara zake hapa? Je, Mbowe ana mshipa wa kukataa kununuliwa suti?
Ushauri wangu, Mbowe aachane kabisa na ndoto za urais kwa sasa, ajielekeze kwenye kuimarisha chama.
Una wazimu wewe aliyekwambia Mbowe ananunulika nia nani? Angekuwa hivyo CHADEMA ingeshauzwa long time, fanya research na kwa taarifa yako "no Mbowe no more chadema" Chama kinaendeshwa na Mbowe wengine woooote wanafuata ideas za Mbowe.
Amekua mbunifu wa mambo mbalimbali ndani ya chama. Uliza uambiwe sio unaropoka tu hapa jamvini
Nalaani mawazo yako kwa sauti kuu. Tambua kwamba chadema ina taratibu zake za kudili na kila kitu kama tulivyljipambanua katika katiba yetu.
Tunafahamu kwa hakika kwamba ni mengi yatazushwa kuhusu hili ila jua kwamba hapatakuwa na effect kubwa kwa kuwa chadema ina watu makini na inatambua umuhimu wa kuepuka migogoro kama hii ili kulinda heshima, imani na ustawi wa chama, humu JF kuna watu wengi na pengine wewe ni mmoja wao wanaozua mitafaruku na hoja za hovyo kuwapotosha wavivu wa kufikiri, sil leo hata kesho chadema itaweka mkazo zaidi katika kutoa elimu ya uraia, kuisimamia serikali legelege ya ccm na mwisho itatumia katiba yake huru kumchagua mgombea urais 2015. Huna sababu ya kuhisi vituko na nakuomba jaribu kuomba mungu katiba mpya ya tanzania ipatikane kabla ya uchaguzi mkuu ujao na hapo we shall have a lot to talk and worry about.
Kwetu sisi chadema, watanzania ni muhimu kuliko urais. Kama nimekukwaza niwie radhi but thats the reality sir.
Ni mimi,
Pangu Pakavu.
Tukana yooote uyamalize hakikisha tu kwamba hayatokei....Sasa Bofya hapa kisha tuendelee...Acha kupiga Ramli kama mganga wa kienyeji.Hiyo Ramli yako ndio imekuambia CDM itasambaratika kabla ya 2014? Unawakatisha tamaa wanachama ili upate nini? Isitoshe usidhani kila mtu ni mgeni hapa.Wengine sisi ni visitor maarufu wa mtandao huu tangu umeanzishwa.Tumeamua kuingia kama registered ili kupambana na upotoshaji wa kupiga ramli.Namkumbuka sana Sheikh Yahya aliyesema wapinzani wa JK wote wangekufa kabla ya uchaguzi mkuu.Matokeo yake ametangulia yeye mbele ya haki.Kuna tofauti gani kati ya ramli za Mkandara na za Sheikh Yahya?
Kihalali chaguzi nyingi za ubunge na udiwani imashidwa sana ikiwa pamoja na kiti cha uraisi uchaguzi uliopita kwa tume halali ccm kitakuwa chama cha upinzani ha hata kambi rasmi ya upinzni hakitapataCcm ambayo kwa vyovyote lazima ishinde uchaguzi ujao hata ikiwahi ndani ya katiba mpya:
Hakuna haja ya kuandikia mate, msimamisheni Mbowe 2015 halafu tuone!
Tukana yooote uyamalize hakikisha tu kwamba hayatokei....Sasa Bofya hapa kisha tuendelee...
Wee si umesema niache kupiga ramli? umeniona mpiga ramli au nazungumza ukweli ulokuuma wewe bila hata kufikiria possibility ya mambo haya kutokea na kwamba nawaasa kujitahadhali?.. Halafu sii umesema mimi nilikuwa napinga Dr.Slaa asigembee imekuwaje sasa? au kusema uongo nalo sio tusi...Mkandara,unaweza kuonyesha tusi hata moja nililokutukana kama unavyodai?