Urais CHADEMA it's like a death sentence!

Jenga tabia ya kupenda kujisomea,hata magazeti,acha uvivu wa kitanzania kutopenda kusoma.Haya nimekutafunia kazi kwako kumeza tu...)
Kwa bandiko lako hili huwezi kujiita kuwa unapenda kujisomea, na kama unajisomea kweli huelewi hata hicho unachojisomea! Hapo umeona umejibu maswali niliyouliza kwenye post yangu?! Heche alilalamikia hiki ulichoweka hapa?! Hujui shibuda alimuomba nani kuwa meneja wake wa kampeni?! Narudia tena; Ikiwa hujui matamshi ya shibuda yanayolalamikiwa unawezaje kuwakosoa wanaomlaumu?! Kama una hata chembe ya uadilifu ndani yako rudia kusoma kwa makini ulichoweka hapa kunijibu utagundua kuwa shibuda ameyasema hayo baada ya kulaumiwa kwa yale aliyoyasema kabla. Na safari hii kamtaja Dr. Slaa ili kuifunika ile 'original' yake ya awali ya kumuomba mwenyekiti wa ccm taifa awe meneja wa kampeni zake!! Ndugu, kizazi hiki hata mkipindisha maneno vipi hatudanganyiki!
 
mngekua hamdanganyiki msingechukua wagombea wa kuokoteza na kuwapitisha kuwa wagombea ubunge wa chama chenu..!ur just looking for ruzuku ndio maana mko tayari kupokea watu bila kuwahakiki,kwa style hiyo mtaendelea kudanganyika mpaka mtakapojitambua na kuwahoji viongozi wenu ambao wamewageuza misukule msioweza kuhoji chochote wanachowaamulia
 
hivi kutoa ushauri kwa chadema lazima uwe somebidy ndani ya chadema???

bado ushauri wake ulikuwa mzuri, hata kama Nassari aliwekwa na akashinda haipelekei kuwa alitoa ushauri mbaya! ndio maana hata nassari hakuwa peke yake ndani ya chadema...na yule aliyeshindana naye alipata kura! that said different people have different opinions!

mkuu uzee wako unasaidia nini humu JF??
Waberoya,
It is one thing to give advice to something you are sympathetic to but quite another to something you do not want to see succeed. Kim Kardash does not come to me as someone sympathetic to Chadema.
 
Hizi ni akili za kuku aliyekatwa kichwa [ headless chicken ]!!!!

kivipi wewe mzee wa vioja badala ya hoja??usizungumze kama uko face book hapa,ur in the wrong place,hapa ukisema kitu unazama kukifafanua sio kuropoka tu na kuacha hewani,huo ni uoga!
 
kuna kitu kimejifichwa/fichwa ndani ya chadema kuhusu nani na nani na kutoka wapi na wapi awe rais/mwenyekiti ndani ya cham hicho
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom