URAIS 2015: Wanawake kuvuruga mambo CCM

Kama ni mwanamke awe Prof Tibaijuka pekeyake ndio ataweza kupasuana vichwa na vichaa waliojaa hapa tanzania la sivyo hao wengine bado sana hawajakomaa kupambana na vichaa hawa na serikali hovyo hii!mtawapasua vichwa bure

Hapana alishindwa kuepuka tabia ya asili ya kabila lake alipokuwa UN-HABITAT!Simhukumu kwa sababu ya kabila lake ingawa kweli nina allege nalo,lakini alinifanya nimuone hana tofauti na wengine kibao tulionao maofisini! Kama ni mwanamke CCM bado hawajaiva!Kidooogo mama Ane Kilango Malecela!
 
Huyu Mama anafagiliwa sana for Nothing!! Wizara hiyo ya Ardhi ni so demanding!! Simuoni anachokifanya!! Fikiria miji yote Tanzania inazidi Kuwa squatter Yeye anadhamana na Hana Plan b"" Kuna maeneo ambayo anaweza Hata kuwahi na kuweka becons kuzuia maeneo ya barabara, Just to deploy surveyors na kuwapa watu awareness ya kujua umuhimu wa kuwa na barabara za Mitaa!! Yeye amekalia kulita mambo makubwa! Adress without Haya Madogo!! Poor on her!! Shallow minded!!
Acha unafiki wewe kwan amejitahid sana sio kila kitu unapinga bila sababu na bado muda wake haujaisha so sehemu iliyobaki ataimalizia tu. big up tibaijuka. Kila kitu Cdm, angalia matendo na sio ushabiki aw Chama.
 
Kweli wewe umeproove uwezo wako wa kufikiri umekaa kishabiki shabiki sana!! Sisi tunataka mambo yanayoonekane na utendaji unaoonekana na sio Porojo hapa!! Sasa CDM imetoka wapi hapa!! Poor on You!!
 
Naona hapo ni mwendo wa profesa na madokta.Ni heri wakafundishe vyou vyetu vina upungufu wa wahadhiri.
 
Kwa bahati mbaya hao akina mama, hata kama wangekuwa na uwezo mkubwa, wapo ndani ya chama kisicho sahihi kwa sasa. Hawawezi kuongoza nchi sawasawa wakiwa ndani ya mfumo wa rushwa na kujuana/kulindana wa chama chao.
 
Wana bodi

CCM ikimsimamisha mmoja wa makundi haya, itashindwa kabla ya saa 4 siku ya kupiga kura 2015:
-Mzanzibari
-Mwanamke
-Fisadi Papa
-Asiyetoka Kaskazini

Mnisamehe kama mchango wangu unanuka udini, ukabila na ueneo. Nchi yetu imekaa vibaya kwa sasa, na mawazo yetu lazima yakae vibaya.

Mkuu, usije ukawa ni kambi ya Lowasa.
 
Kumbuka itakuwa vita ya jinsia, wanawake wataaminishwa wakiwezeshwa wanaweza. Sasa sijui kama njia hii itafanya kazi.
Kwanza wanawake wanaongoza kwa kutopendana na kutoaminiana, wako radhi kumpa kura mwanaume kuliko mwanamke mwenzao, believe me!
 
Kumbuka itakuwa vita ya jinsia, wanawake wataaminishwa wakiwezeshwa wanaweza. Sasa sijui kama njia hii itafanya kazi.
Atakayemchagua kiongozi kwa jinsia yake ni mfinyu wa fikra na wala si mzalendo mwenye kuona mbali. Kiongozi sio jinsia bali ni uwezo.
 
Amini msiamini, kwa CCM mtu ambaye walau ana uwezo wa kupambana na chadema japo kidogo ni EL. Wakifanya kosa hapo hawatakuwa na njia nyingine ya kushinda zaidi ya kuiba kura.
 
Wana bodi

CCM ikimsimamisha mmoja wa makundi haya, itashindwa kabla ya saa 4 siku ya kupiga kura 2015:
-Mzanzibari
-Mwanamke
-Fisadi Papa
-Asiyetoka Kaskazini

Mnisamehe kama mchango wangu unanuka udini, ukabila na ueneo. Nchi yetu imekaa vibaya kwa sasa, na mawazo yetu lazima yakae vibaya.

Ha ha ha
 
Kama ni mwanamke awe Prof Tibaijuka pekeyake ndio ataweza kupasuana vichwa na vichaa waliojaa hapa tanzania la sivyo hao wengine bado sana hawajakomaa kupambana na vichaa hawa na serikali hovyo hii!mtawapasua vichwa bure

naskia hana mume wala mtoto imekaaje hi?
 
Tanzania bado hatujajiandaa kupokea rais mwanamke...ccm wakitaka kuteketea wafanye hivyo mm naamin lowasa ni mzee wa mikakati tunaimani nae ana den kwa watanzania hakumaliziaga kaz yake akiwa pm kutoka na kupgwa majungu na kusalitiwa na wataka urais
 
mtatokwa povu sana ila kama si tiba bac mama migiro tutamtuma subirin kusoma no. 2015

Oh! mmeshaona kuwa hamna namna ya kushinda 2015,hivyo ili kupata kisingizio mnaleta
utoto wa kujidanganya muweke hivyo vibibi mtachemkaje maana hata vibibi vyenzao
vijijini vimeshashtuka kuwa CCM ni janga la kitaifa hivyo havitawapa kura.
 
Hiyo ni plan B au ni plan ya kifo? Labda CCM imsimamishe Lowassa katika nafasi ya urais ndio ataleta upinzani mkali dhidi ya Dr Slaa. Lowassa ana uwezo na ushawishi mkubwa kwa wananchi hasa kwa viongozi wa dini.
 
Acha unafiki wewe kwan amejitahid sana sio kila kitu unapinga bila sababu na bado muda wake haujaisha so sehemu iliyobaki ataimalizia tu. big up tibaijuka. Kila kitu Cdm, angalia matendo na sio ushabiki aw Chama.
Ningemuona ni mkweli kama angeeleza bungeni sababu ya kumlipa Ndungulile peke yake na kuwaacha
wananchi wengine wa Kigamboni wakiwa stranded mpaka leo.Kwa nini yeye na kibibi chenzie Makinda
wakamzima Ndungulile asiseme ukweli Bungeni kama sio walimpa rushwa ili awatose wananchi wake wa
Kigamboni.Tiba alishindwa Un-Habitat,ameshindwa wizara acheni kumpamba
 
Oh! mmeshaona kuwa hamna namna ya kushinda 2015,hivyo ili kupata kisingizio mnaleta
utoto wa kujidanganya muweke hivyo vibibi mtachemkaje maana hata vibibi vyenzao
vijijini vimeshashtuka kuwa CCM ni janga la kitaifa hivyo havitawapa kura.

call them watevr u deem right, bt hakuna ubishi hao ndo wanawake wa shoka ktk nchi hii, just wait and see.....hifadh mapovu yako yatakusuit in the future.
 
Binafsi haya mambo cjui kuwezesha wanawake ili kushika nafasi sikubaliani nayo hata kidogo kwann tusiweke mazingira wakachuana na wanaume watabebwa mpka lini?
 
Back
Top Bottom