Ringo Edmund
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 4,879
- 1,125
pasco,pasco usitake kutufanya watoto wadogo.
rais ajae kupitia chadema hatetutegemei huruma ya slaa wala fujo za zitto,huyu kijana amekuwa na mtandao wa hatari nje ya chama chake hayupo kwa maslahi ya chadema.
wakati chama kikipakwa matope na ccm yeye amekuwa kimya na wakati mwingine akila na kunywa na maadui kisiasa wa chama chake,huyu anaandaliwa kukiua chama chake kwa kujua au kutokujua.
mimi nilikuwa namsapoti sana zitto na yeye pamoja na dr slaa ndio walionifanya nikaanza kuuamini upinzaqni tanzania kwa mara ya kwanza.
ZITTO HAAMINIKI TENA KWA WAPENDA MAGEUZI.