Urais 2015 tusimlaumu Zitto: Nani anaujua Msimamo wa Dr. Slaa?

Pasco kwa ufupi mada yako inaomesha hali halisi itavokua 2015. Yaani :
Chadema=wakristo
Cuf= waislamu
Ccm= wakristo + waislam

Ni wazi mshindi anajulika hivo wazo lako kwa chadema kumsimamisha Zitto ni stategy inayoweza kubadilisha fomula hio hapo juu. Hii ni kwa wale wenue kuona mbali na kufahamu siasa za ushindani na namna ya kujipatia ushindi
Mkuu Bopwe, hivi mpaka sasa wewe bado hujakijua kinachoendelea chini kwa chini ndani ya Chadema?!. Zitto kosa lake kubwa ni
hili na ameisha hukumiwa kifo ndani ya Chadem!, kinachoendelea ni kufuatwa tuu kwa sheria , taratibu na kanuni za kumvua uanachama!, that's it!.
Pasco.
 
Wanabodi,
Mfano hakuna ubishi kuhusu uwezo wa Zitto katika masuala ya organization na mass mobilization!, hakuna ubishi kuhusu nguvu ya Zitto katika ushawishi na kujenga hoja na kusimamia utekelezaji.

Kwenye Chadema haijajipanga niliwaambia kuwa kuna baadhi ya maeneo, watu wameichoka CCM mpaka basi kiasi kwamba hata kama Chadema ingesimamisha jiwe, hilo jiwe lingepita!. Hii inamaanisha kama Chadema ingesimamisha wagombea kila jimbo, saa hizi mngekuwa na wabunge wengi zaidi ya hawa waliopo!.

Miongoni mwa ushauri wangu kwa Dr. Slaa, Chadema isishobokee wagombea maarufu wala kusubiria makapi ya CCM!, good leaders are made and not born!. Nikashauri, Chadema ifanye incouragement kwa wanachama wake wenye nia mbalimbali za kugombea, wajitanabaishe tangu sasa ili wawe groomed kuja kugombea mara wakati utakapo wadia na sio kusubiria kipenga cha NEC kipulizwe, the time left will be too little too late!.

Nikatolea mfano wa jimbo la Kinondoni, linashikiliwa na CCM miaka nenda, miaka rudi. Mgombea wa CCM tayari anajulikana, weaknesess zake zinajulikana, kama mimi ni mwana Chadema na nina nia ya kugombea Kinondoni come 2015, nitasema sasa na wote wenye nia wajitangaze ili miongoni mwetu, sote tujue nani ni best kutuletea ushindi, ndipo tumgroom tayari kwa kuiteka Kinondoni na sio kusubiri, CCM itamsimamisha nani!.

Mfano kwa Mwaka 2015, Jimbo Ubungo, CCM itampeleka Nape, Jimbo la Kawe, CCM itampeleka Kipi, na majimbo yote yanayoshikiliwa na wapinzani, CCM itapeleka watu makini, kama mimi ni mwana Chadema, najijua uwezo wangu kuiletea Chadema ushindi kwa jimbo la Kawe ni mkubwa kuliko uwezo wa Halima Mdee kulitetea jimbo la Kawe, nitaonyesha nia sasa kwa kujenga mtandao wa mazingira ya ushindi. Muda kuchukua fomu ukifika, mimi nitachukua fomo kwa jimbo la Kawe, Halima nae atajaza, Ben Saanane nae atajaza na Mzee Mwanakijiji pia atajaza, Chadema kitatupima wote, ni nani mwenye chances kubwa za ushindi, kinampitisha kupeerusha bendera ya Chadema. Baada ya kumuengua Charles Mwera Tarime, niliwaambia makosa yenu na jimbo mlilitoa sadaka bure kabisa kwa kukosa busara!.

Kwa sisi wapenzi wa demokrasia ya kweli, tunaamini hakuna mwana Chadema yoyote, mwenye hakimiliki ya kugombea nafasi yoyote. Nafasi zote za uongozi ndani ya chama na nje ya chama, ni haki ya kila mwanachama mwenye sifa, vigezo na uwezo!. Kama Zitto anazo sifa, vigezo na uwezo, kwanini asigombee?.

Kwenye ule uzi wangu wa Chadema Hamjajipanga, niliwaambia Chadema kinakabiliwa na tuhuma za "udini" na "Ukaskazini", japo tuhuma hizi sio za kweli, likini zipo na sio za kupuuzwa!. Nikawashauri ili Chadema kiaminiwe na Watanzania wote, wa dini zote na maeneo yote, lazima hilo koti lenye harufu ya udini na ukaskazini, livuliwe!. Nikawashauri Zitto ni mtaji mkubwa sana kwenye kwenye kuondoa dhana hizo potofu, utumieni vizuri mtaji mlio nao kujiongezea mavuno!.

Japo haikuandikwa popote, wagombea wa urais kwa CCM, wanapokezana, Muislamu na Mkristo!. Alianza Nyerere, Mkristo, akaja Mwinyi, Muislamu, akafuatia Ben Mkapa Mkristo, sasa ni JK, Muislamu, anayefuatia is more likely, Mkiristo (not necesarily). Prof. Lipumba, aligombea kama boya tuu ili kuhakikisha kura za Waislamu wasioipenda CCM, zisiende Chadema!. Kama 2015 CCM itamsimamisha mgombea Mkristo na Chadema ikamsimamisha Zitto ambaye ni Muislamu, Prof. Lipumba, hatathubuti kutia pua, maanayake boya halitaweza kufanya chochote!. Chadema itajivunia kura zote za ukanda wa Pwani zilizokwenda CUF!. Chadema itavuna kura za Waislamu wote wenye msimamo mkali walioko CCM, Chadema itavuna kura zote za Watanzania walioichoka CCM, Kundi kubwa la vijana, waliokata tamaa na kuamua kutopiga kura klwa sababu ya watu wale wale, chama kile kile na mambo yale yale, wakimuona Kijana mwenzao Zitto, anapeperusha bendera kuelekea magogoni, kwanza watajitokeza kujiandikisha kwa wingi, na watapiga kura kwa vingi kiasi cha CCM kuanguka chali, sio tuu kwa kifo cha mende, balki kipigo cha mbwa mwizi!. Hivio hizi opportunities zote za Zitto wenzangu hamzioni?!.

Kwa vile nilishazema toka juzi, jana, leo na kesho nitasema tena, mimi Pasco wa jf, sina chama!. Lakini kiukweli, CCM ndicho chama tawala kilichoko madarakani, namfagilia sana EL kama atakuwa ndie mgombea wa CCM, na nikasema kama afya yake ni mgogoro kuhimili pilika pilika za uchaguzi wa 2015, then the second best candidate kwa CCM ni Membe!.

Mwenye masikio na asikie!.

Pasco.
12:24 am
Naendelea kufanya rejea zangu mbali mbali kumhusu Zitto!.
Pasco
 
Pasco nashukuru unaongea kwa umakini na busara sana kwenye hii hoja ya Zito,ila ukweli ni kwamba Chadema bado wana nafasi ya ku undo all the mistakes and correct them,Tuwape mda and let see their next move.Kitu kingine Mkuu hivi chadema hakina baraza la wazee au washauri wa chama wenye busara za ku make wise and constructive decisions na sio decisions za mihemko ya kisisasa na sifa kama za kina Tundu lisu?
 
Mkuu Stanlthecreator, kwanza asante kuchangia uzi wangu huu, kwa sasa Chadema kinapitia kipindi kinaitwa trying moments, ndicho chamaa pekee cha upinzani cha maana kwa huku bara na kina pendwa na kukubalika, hivyo kimevimba bichwa na kujifanyia kadri watu wanavyotaka badala ya kufuata sheria taratibu na kanuni!.

Udhaifu mkuu wa Chadema ni kukubali mtindo wa viongozi miungu watu kufuatia kuondolewa kinyemela kipengele cha ukomo wa uongozi, sasa miungu watu hawa, nanataka kuabudiwa na in fact wanaabudiwa!, hali hii imemelekea chama kukosa kitu kinachoitwa "managing the political diversity" yaani ukitofautiana mitazamo ya miungu watu hawa, utanyooshewa kidole cha usaliti!.

Chadema hakina baraza la wazee, ila kina wazee wenye busara!, bado naamini kabisa kwa dhati ya moyo wangu, Mzee Edwin Mtei, Victor Kimesera, Prof. Mwesiga Beregu na kina Prof. Safari, hili wameliona na hawafurahishwi nalo, lakini kwa uongo sasa uko chini ya miungu watu, wanaogopa kuwakanya wasije na wao kunyooshewa kidole cha usaliti!. Hili la miungu watu limepelekea vyombo vya chama kama BAWACHA na BAVICHA kuwa almost nothing kwa sababu uongozi ni centralized kuogopa kutofautiana na miungu watu hawa!.

Dawa pekee ya kuitibu Chadema ni kuibuka watu miongoni mwao, watakaopigia kelele utekelezaji kwa kufuata sheria, taradibu na kanuni!, huo ubabe ubabe na udikiteta won't reach Chadema anywhere!.

Mkuu hapo sasa ndo nimeelewa kwa nini Watu kama wakina proffessor Beregu na professor Safari wapo silent and blind mno kana kwamba hawaoni mchezo mzima unavyoendelea kumbe kuna Miungu mtu behind them hii ni hatari sana.For references CCM katika situation kama hii wazee kama wakina Kingunge Ngombale,Mwinyi,Mkapa,Warioba wangeitwa haraka ku solve tatizo in a wise way,ila Chadema nafikiri kama ulivyosema Kiburi kimezidi hasa baada ya matokeo ya serikali za mitaa ambapo kiuhalisia wamefanya vizuri.Ngoja tususbiri faida au hasara za Arrogance policy za Cdm.very soon tusiongee sana time will tell,thank Pasco
 
Wanabodi,

Mara baada ya mazishi ya Mhe. Regia, (RIP), on route back to Dar, nilibahatika kukutana mahali na Katibu Mkuu wa Chadema, Dr. Wibroad Slaa akiwa na wife wake, Fina, tuliendesha mazungumzo mafupi, informal, na miongoni mwa maswali niyomuuliza, ni hili la iwapo atagombea tena nafasi ya urais kwa tiketi ya Chadema katika uchaguzi wa 2015!.

Nayakumbuka vizuri sana majibu ya Dr. Slaa kuhusu swali hilo!. Kwa vile mazungumzo yale hayakuwa rasmi, kuna uwezekano mkubwa, Dr. Slaa alizungumza "off the record", sio busara kuyaleta mazungumzo ya "off the record" kwenye public na kuyaweka "on the record" bila "idhini" ya msemaji.

Kwa vile msimamo wa "Dr. Slaa kuhusu kugombea urais 2015, mimi naujua!, nawashauri, wale wote wanaumlaumu au kumshutumu Zitto, kuonyesha nia ya kuwania urais wa 2015 kwa tiketi ya Chadema, kwa kujenga mazingira "impliedly" not "expressly"!, wasimlaumu bali wamsupport!.

Hivi kuna ubaya gani, kuonyesha nia ya kuwania the highest office?. Wote wanaoutaka urais, huitwa "presidential hopeful", hivi kuna ubayo wowote to aim high?!.

My Take.
Kwa vile mchakato wa kuwania urais wa 2015 bado haujaanza rasmi kwa vyama vyovyote, lakini tunashuhudia "presidential hopefuls" wa vyama mbalimbali wakijenga mazingira kupitia mikakati mbalimbali, nawaombeni wapenda demokrasia ya kweli, tuwe open minded kuhusu watu hawa, tusianze kuwanyooshea vidole vya kuwashutumu bali tunapaswa kuwaunga mkono kwa nguvu zote ili at the end of the day, tumpate mgombea bora kabisa!,

Mfano hakuna ubishi kuhusu uwezo wa Zitto katika masuala ya organization na mass mobilization!, hakuna ubishi kuhusu nguvu ya Zitto katika ushawishi na kujenga hoja na kusimamia utekelezaji. Kama ni kweli Zitto ni "presidential hopeful" ndani ya Chadema na sasa anajenga mtandao wa kuandaa mazingira hayo, this is very healthy kwa Chadema, kwa sababu by the time muda wa mchakato rasmi unawadia, na Chadema ikampitisha Dr. Slaa kupeperusha tena bendera ya Chadema, huo mtandao wa Zitto ndio utakuwa an added advantage kwa ushindi wa kishindo wa Chadema, na Zitto ndio atafaa zaidi kwa post ya Waziri Mkuu, kama alivyofanya Obama na Hillary Clinton!.

Kufuatia mimi kuufahamu msimamo wa Dr. Slaa, lets support Zitto or anybody else!,

Mhe. Zitto, just follow your dreams, "Sky is the limit!".

I wish Zitto all the best!.

Wasalaam.

Pasco. (wa jf).

NB. Pasco wa jf, sio mwanachama, mshabiki au mkereketwa wa chama chochoite cha siasa, bali ni muumini wa demokrasia ya kweli.

Update 1.
Kufuatia hoja nyingi ambazo zimeibuliwa na uzi huu, sitaweza kuzijibu zote, bali nazijinu kiujumla jumla humu

Wakuu kwanza lazima nikiri wazi kuwa baadhi ya wapenzi wa Chadema mliojibu uzii huu uu miongoni mwa hazina kubwa ndani ya Chadema kutokana na genuinity na objectivity ya majibu yenu makini kwenye hoja hii.

Niliwahi kusema humui kuwa chadema-haijajipanga nilishambuliwa sana. Wapenzi wa Chadema hawakusoma hoja zangu wakaishia kumjadili mtoa hoja!.

Kuna siku nilisema humu jinsi ccm imechokwa mpaka basi!, nikimaanisha there is an opportunity to be seized!.

Siku nyingine niliwaambia chadema, 2015 Ikulu njia nyeupe ila mjipange!, ni wachache waliojibu kwa makini!.

Hiyo siku nilipokaa na Dr. Slaa, nilimweleza reservations zangu kuhusu sio tuu mgombea urais wa Chadema, bali nilieleza kuhusu udhaifu mkubwa wa Chadema katika kuwapata wagombea wake wa nafasi mbalimbali za uongozi nje ya chama!.

Kwenye Chadema haijajipanga niliwaambia kuwa kuna baadhi ya maeneo, watu wameichoka CCM mpaka basi kiasi kwamba hata kama Chadema ingesimamisha jiwe, hilo jiwe lingepita!. Hii inamaanisha kama Chadema ingesimamisha wagombea kila jimbo, saa hizi mngekuwa na wabunge wengi zaidi ya hawa waliopo!.

Miongoni mwa ushauri wangu kwa Dr. Slaa, Chadema isishobokee wagombea maarufu wala kusubiria makapi ya CCM!, good leaders are made and not born!. Nikashauri, Chadema ifanye incouragement kwa wanachama wake wenye nia mbalimbali za kugombea, wajitanabaishe tangu sasa ili wawe groomed kuja kugombea mara wakati utakapo wadia na sio kusubiria kipenga cha NEC kipulizwe, the time left will be too little too late!.

Nikatolea mfano wa jimbo la Kinondoni, linashikiliwa na CCM miaka nenda, miaka rudi. Mgombea wa CCM tayari anajulikana, weaknesess zake zinajulikana, kama mimi ni mwana Chadema na nina nia ya kugombea Kinondoni come 2015, nitasema sasa na wote wenye nia wajitangaze ili miongoni mwetu, sote tujue nani ni best kutuletea ushindi, ndipo tumgroom tayari kwa kuiteka Kinondoni na sio kusubiri, CCM itamsimamisha nani!.

Mfano kwa Mwaka 2015, Jimbo Ubungo, CCM itampeleka Nape, Jimbo la Kawe, CCM itampeleka Kipi, na majimbo yote yanayoshikiliwa na wapinzani, CCM itapeleka watu makini, kama mimi ni mwana Chadema, najijua uwezo wangu kuiletea Chadema ushindi kwa jimbo la Kawe ni mkubwa kuliko uwezo wa Halima Mdee kulitetea jimbo la Kawe, nitaonyesha nia sasa kwa kujenga mtandao wa mazingira ya ushindi. Muda kuchukua fomu ukifika, mimi nitachukua fomo kwa jimbo la Kawe, Halima nae atajaza, Ben Saanane nae atajaza na Mzee Mwanakijiji pia atajaza, Chadema kitatupima wote, ni nani mwenye chances kubwa za ushindi, kinampitisha kupeerusha bendera ya Chadema. Baada ya kumuengua Charles Mwera Tarime, niliwaambia makosa yenu na jimbo mlilitoa sadaka bure kabisa kwa kukosa busara!.

Kwa sisi wapenzi wa demokrasia ya kweli, tunaamini hakuna mwana Chadema yoyote, mwenye hakimiliki ya kugombea nafasi yoyote. Nafasi zote za uongozi ndani ya chama na nje ya chama, ni haki ya kila mwanachama mwenye sifa, vigezo na uwezo!. Kama Zitto anazo sifa, vigezo na uwezo, kwanini asigombee?.

Kwenye ule uzi wangu wa Chadema Hamjajipanga, niliwaambia Chadema kinakabiliwa na tuhuma za "udini" na "Ukaskazini", japo tuhuma hizi sio za kweli, likini zipo na sio za kupuuzwa!. Nikawashauri ili Chadema kiaminiwe na Watanzania wote, wa dini zote na maeneo yote, lazima hilo koti lenye harufu ya udini na ukaskazini, livuliwe!. Nikawashauri Zitto ni mtaji mkubwa sana kwenye kwenye kuondoa dhana hizo potofu, utumieni vizuri mtaji mlio nao kujiongezea mavuno!.

Japo haikuandikwa popote, wagombea wa urais kwa CCM, wanapokezana, Muislamu na Mkristo!. Alianza Nyerere, Mkristo, akaja Mwinyi, Muislamu, akafuatia Ben Mkapa Mkristo, sasa ni JK, Muislamu, anayefuatia is more likely, Mkiristo (not necesarily). Prof. Lipumba, aligombea kama boya tuu ili kuhakikisha kura za Waislamu wasioipenda CCM, zisiende Chadema!. Kama 2015 CCM itamsimamisha mgombea Mkristo na Chadema ikamsimamisha Zitto ambaye ni Muislamu, Prof. Lipumba, hatathubuti kutia pua, maanayake boya halitaweza kufanya chochote!. Chadema itajivunia kura zote za ukanda wa Pwani zilizokwenda CUF!. Chadema itavuna kura za Waislamu wote wenye msimamo mkali walioko CCM, Chadema itavuna kura zote za Watanzania walioichoka CCM, Kundi kubwa la vijana, waliokata tamaa na kuamua kutopiga kura klwa sababu ya watu wale wale, chama kile kile na mambo yale yale, wakimuona Kijana mwenzao Zitto, anapeperusha bendera kuelekea magogoni, kwanza watajitokeza kujiandikisha kwa wingi, na watapiga kura kwa vingi kiasi cha CCM kuanguka chali, sio tuu kwa kifo cha mende, balki kipigo cha mbwa mwizi!. Hivio hizi opportunities zote za Zitto wenzangu hamzioni?!.

Kwa vile nilishazema toka juzi, jana, leo na kesho nitasema tena, mimi Pasco wa jf, sina chama!. Lakini kiukweli, CCM ndicho chama tawala kilichoko madarakani, namfagilia sana EL kama atakuwa ndie mgombea wa CCM, na nikasema kama afya yake ni mgogoro kuhimili pilika pilika za uchaguzi wa 2015, then the second best candidate kwa CCM ni Membe!.

Mwenye masikio na asikie!.

Pasco.
12:24 am

mkuu Pasco vp leo kuhusu JPM sio Mtu bora kuliko uliowataja hapo juu kwa maoni yako ya leo hii
 
Wakati wa kujiandikisha kwa kura uchaguzi wa 2015 tuliona watu wengi walijiandikisha kwa sababu walitaka kuichagua cdm, na wote tulijua Dr. Slaa angekuwa mgombea wa cdm na kweli alistahili.
Mkuu Tindo, Dr. Slaa hakuwa mgombea wa Chadema, nisome hapa chini

Wanabodi,

Mara baada ya mazishi ya Mhe. Regia, (RIP), on route back to Dar, nilibahatika kukutana mahali na Katibu Mkuu wa Chadema, Dr. Wibroad Slaa akiwa na wife wake, Fina, tuliendesha maongezi mafupi informally na sio mazungumzo rasmi na miongoni mwa maswali niyomuuliza, ni hili la iwapo atagombea tena nafasi ya urais kwa tiketi ya Chadema katika uchaguzi wa 2015!.

Nayakumbuka vizuri sana majibu ya Dr. Slaa kuhusu swali hilo!. Kwa vile yalikuwa ni maongezi tuu na sio mazungumzo rasmi, sisi waandishi wa habari, ukizungumza na mtu yoyote katika maongezi ya kawaida, huruhusiwi kuripoti mlichoongea, unless kama ulimjulisha utakwenda kuandika, hivyo kuna uwezekano Dr.Slaa alizungumza
"off the record", sio busara kuyaleta mazungumzo ya "off the record" kwenye public na kuyaweka "on the record" bila "idhini" ya msemaji.

Kwa vile msimamo wa "Dr. Slaa kuhusu kugombea urais 2015, mimi naujua!.

Mwenye masikio na asikie!.
Pasco.
Kama Dr. Slaa ndie angekuwa mgombea wa Chadema ile 2015, sana sana angevuna kura milioni 3 na sio 6.

Ila kitu ambacho nakubaliana na wewe, Dr. Slaa ni very influential kwa Chadema, hivyo asinge jitoa, margin ya kura za ukawa ingekuwa kubwa and you never know hata jazia jazia na kutosheleza isingefanikiwa.
P
 
Mkuu Tindo, Dr. Slaa hakuwa mgombea wa Chadema, nisome hapa chini

Kama Dr. Slaa ndie angekuwa mgombea wa Chadema ile 2015, sana sana angevuna kura milioni 3 na sio 6.

Ila kitu ambacho nakubaliana na wewe, Dr. Slaa ni very influential kwa Chadema, hivyo asinge jitoa, margin ya kura za ukawa ingekuwa kubwa and you never know hata jazia jazia na kutosheleza isingefanikiwa.
P

Mkuu bila kupinga maelezo yako mazuri, nasema alipata kura 6m+ akiwa na miezi miwili, je alipokuwa na miaka miwili alileta kura ngapi? Ok, basi hata nitajie alifungua matawi mangapi ya cdm ili nijue hizo kura milioni 6 zilikuwa ni kwa sababu yake? Hapa sioni ww wala wote mnaotetea uwepo wa Lowassa ndani ya cdm mkinyoosha maelezo. Kimsingi huu utetezi wenu wa Lowassa upo kipropaganda au mnapotosha kwa sababu maalum. Ingekuwa hizo kura kazipata akiwa TLP ningekuona una hoja. Kinyume na hapo nakuona ni mpotoshaji fulani au bendera fuata upepo wa maoni ya wanaccm.
 
Duh...!. Haya bana!.
P
 
Wanabodi,

nilibahatika kukutana mahali na Katibu Mkuu wa Chadema, Dr. Wibroad Slaa na miongoni mwa maswali niyomuuliza, ni hili la iwapo atagombea tena nafasi ya urais

Nayakumbuka vizuri sana majibu ya Dr. Slaa kuhusu swali hilo!.

Kwa vile msimamo wa "Dr. Slaa kuhusu kugombea urais mimi naujua!,

Pasco.
12:24 am
Bado tunaamini,safari ya Dkt. Slaa ktk kuikomboa nchi hii inawezekana na kwa hulka na misimamo yake katika kusimama na ukweli vinaishi mioyoni mwa watanzania.

Huyu Mzee ni hazina pekee iliyobaki nchi hii,walau yupo kutanabaisha ukweli,na ndugu zetu CCM na CHADEMA ambao bado wanafikra za kichamachama,watapata tabu sana.
Niliwahi kuongea nae face to face kuhusu kugombea urais, hana mpango huo kabisa!.
P
 
Wanabodi,

Kwenye ule uzi wangu wa Chadema Hamjajipanga, niliwaambia Chadema kinakabiliwa na tuhuma za "udini" na "Ukaskazini", japo tuhuma hizi sio za kweli, likini zipo na sio za kupuuzwa!. Nikawashauri ili Chadema kiaminiwe na Watanzania wote, wa dini zote na maeneo yote, lazima hilo koti lenye harufu ya udini na ukaskazini, livuliwe!. Nikawashauri Zitto ni mtaji mkubwa sana kwenye kwenye kuondoa dhana hizo potofu, utumieni vizuri mtaji mlio nao kujiongezea mavuno!.

Mwenye masikio na asikie!.

Pasco.
12:24 am
Naomba references za makala zako ambazo headline zake umekemea wanaoiita CHADEMA kuwa ni chama cha Wachaga na ulipokemea neno chagadema kuwa ni ubaguzi na halipaswi kutumika na wanaowabagua Wachaga karma will definitely hit them.
Karibu
P
 
Hata angekua nao angetumia chama gani
Alipojitoa CCM na kujiunga Chadema, hakurudisha kadi yake ya CCM! Kiongozi wa Juu BAVICHA amhujumu Dr Slaa
Ile siku anatangaza kujitoa Chadema pale Serena, waliosimamia show ni hawa Ana kwa ana na Dkt. Mwakyembe: Awashangaa Waliomuona yeye tu, Lakini wengine hawakuwaona!

Ni hao ndio walimpeleka Canada, wakampa ubalozi hadi anastaafu hajawahi kurudisha kadi ya CCM au ya Chadema, hivyo akiamua kurejea Chadema milango iko wazi!.

P
 
Back
Top Bottom