Unadhan Kamati kuu itampinga mtei wakat mkwe wao? huyo mzee hana lolote anataka mwanae akae ikulu sasa anaona zito ndo kikwazo chama cha familia na serikal mnataka ya family...pumzka we mzee mda wa vijana huu...zito kamua baba
Mwasisi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMA Edwin Mtei amemuonya mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe kuacha kutangaza mambo ya Urais sasa kwani anasababisha mpasuko ndani ya CDM na badala yake ajikite kukijenga chama mpaka muda utakapofika ili chama kitoe utaratibu.
Mzee Mtei amesema amemshauri mara kadhaa Zitto umuhimu wa kutulia kama wenzake ndani ya chama na kukijenga chama lakini mbunge huyo amekuwa mkaidi na hasikii.
Pia Mzee Mtei amesema endapo mbunge huyo ataendeleza harakati zake za kutaka umri wa Urais ushuke hadi miaka chini ya 40 ili tu yeye apate nafasi ya kugombea basi atakuwa ni mbinafsi wa kupindukia na mwenye uroho mkubwa wa madaraka.
Akijibu madai hayo ya Mzee Mtei, Zitto Kabwe amewataka wazee ndani ya CHADEMA kuheshimu Demokrasia na kusema anaamini ni yeye atakayeweza kuishinda CCM mwaka 2015 na anataka Mzee Mtei akiwa bado hajafa amshuhudie jinsi atakavyobadili nchi akiwa kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Source: Mwananchi Jumamosi.
My Take:
Nadhani umefika wakati sasa wa Kamati Kuu kutoa mwongozo kuhusu suala hili. Hili suala la kila mtu kujitangaza kugombea Urais sasa linataka kupoteza mwelekeo wa harakati za CHADEMA kujijenga.
Imefika wakati wa M/kiti na Katibu mkuu wa chama kuongoza Kamati kuu kutoa hitimisho la jambo hili. Simaanishi kufukuza watu Hapana! Lakini itangaze muda muafaka wa wanachama kutangaza nia, kwani binafsi naamini DEMOKRASIA BILA NIDHAMU NI FUJO.
mambo ya zito kabwe ni haya1
1:zitto ahusishwa na rostam | gazeti la mwanahalisi
2:usalama wa taifa wavamia chadema | gazeti la mwanahalisi
jitahidini kumjua zito,muone mambo yake!
....commender wa first order anatakiwa kuwa mkweli na mwenye kumaananisha anachokisema...anatakiwa kuwaongoza watu wake kwa kutokea mstari wa mbele, na si kwingineko...hili suala la nia ya kugombea uraisi kupitia mo'vt inavyoelekea limeshaanza kututafuna....haieleweki, ikimaananisha nini wakati ule ilipotolewa kauli kuwa mwisho wa uchaguzi mmoja ni mwanzo wa maandalizi ya uchaguzi unaofuata...kibaya zaidi, ni kama tumemuogopa zzk kwa kiwango cha kutaka hata kuifinya demokrasi ndani ya mov't...yeye na atangaze nia, na kama kuna wengine wana nia ya kugombea watangaze pia.(.kwa nafasi zote, uraisi, ubunge, udiwani, uenyekiti wa tawi, mpaka taifa nk.)...Mwasisi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMA Edwin Mtei amemuonya mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe kuacha kutangaza mambo ya Urais sasa kwani anasababisha mpasuko ndani ya CDM na badala yake ajikite kukijenga chama mpaka muda utakapofika ili chama kitoe utaratibu.
Mzee Mtei amesema amemshauri mara kadhaa Zitto umuhimu wa kutulia kama wenzake ndani ya chama na kukijenga chama lakini mbunge huyo amekuwa mkaidi na hasikii.
Pia Mzee Mtei amesema endapo mbunge huyo ataendeleza harakati zake za kutaka umri wa Urais ushuke hadi miaka chini ya 40 ili tu yeye apate nafasi ya kugombea basi atakuwa ni mbinafsi wa kupindukia na mwenye uroho mkubwa wa madaraka.
Akijibu madai hayo ya Mzee Mtei, Zitto Kabwe amewataka wazee ndani ya CHADEMA kuheshimu Demokrasia na kusema anaamini ni yeye atakayeweza kuishinda CCM mwaka 2015 na anataka Mzee Mtei akiwa bado hajafa amshuhudie jinsi atakavyobadili nchi akiwa kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Source: Mwananchi Jumamosi.
My Take:
Nadhani umefika wakati sasa wa Kamati Kuu kutoa mwongozo kuhusu suala hili. Hili suala la kila mtu kujitangaza kugombea Urais sasa linataka kupoteza mwelekeo wa harakati za CHADEMA kujijenga.
Imefika wakati wa M/kiti na Katibu mkuu wa chama kuongoza Kamati kuu kutoa hitimisho la jambo hili. Simaanishi kufukuza watu Hapana! Lakini itangaze muda muafaka wa wanachama kutangaza nia, kwani binafsi naamini DEMOKRASIA BILA NIDHAMU NI FUJO.
Hivi mzee mtei bado yupo hai???!!!!!!!!!!!!
Mkuu hujaona picha za Jana humu jamvin jamaa kakaa kwenye ile mikokoteni inayovutwa na farasi Huku sisi tunataabika kwenye barabara mbovu?
Mkuu Molemo, alichofanya ZZK sio kutangaza kugombea urais kupitia Chadema, bali kutangaza nia ya kuiomba Chadema kumpitisha kama mgombea wa Chadema 2015!. Naomba sana utofautishe kati ya "kutangaza nia" na "kutangaza kugombea"!.My Take:
Nadhani umefika wakati sasa wa Kamati Kuu kutoa mwongozo kuhusu suala hili. Hili suala la kila mtu kujitangaza kugombea Urais sasa linataka kupoteza mwelekeo wa harakati za CHADEMA kujijenga.
Imefika wakati wa M/kiti na Katibu mkuu wa chama kuongoza Kamati kuu kutoa hitimisho la jambo hili. Simaanishi kufukuza watu Hapana! Lakini itangaze muda muafaka wa wanachama kutangaza nia, kwani binafsi naamini DEMOKRASIA BILA NIDHAMU NI FUJO.
NI kweli nakubalina na wewe kabisa ni family Kama vile mtoto ni mjumbe wa nec bagamoyo mama ni mjumbe wa nec mtwara na baba ni mwenyekiti wa Chama kwi! Kwi! Kwi! Kwi
mkuu hapo umenena ha haa haa haa
Naona Magamba mnamtetea sana kijana wenu kwani kazi mlomtuma anakaribia kuikamilisha... Kama mnamuona wa muhimu sana si mumkaribishe kwenye chama chenu mapovu ya nini? Mbona kwenu mlisema anayetaja kugombea urais sasa atemewe mate??Amefufuka kumtoa Kyasaka kwenye NGO yangu.
We jamaa mbona huwa unapenda kupindisha maneno? Cdm kila mtu anahaki ya kugombea huo urais tatizo muda muafaka ndo bado. Huyo zzt hakuna anae mzuia ila asubili muda huu ni kujenga chama tu.Kwa hiyo ndani ya Chadema ni marufuku kutangaza kugombea urais.
Mkuu Ritz;
Nakumbuka juzi Aweda alidai ndani ya Chadema hakuna makundi mambo ni mswano tu; leo molemo anatuhabarisha mwenye chama mzee Mtei hapendezwi na mh. Zitto na harakati zake za kugombea uraisi, na nimeshtushwa na hii kauli ya mh. Mbowe kutumia 72% ya pesa yaani kigezo cha yeye aachiwe kugombea uraisi; kwa mantiki hii huu mradi apate kurejesha pesa zake hivi kweli Chadema inaweza ni suluhisho la matatizo ya Tanzania? Mkuu hawa jamaa ni mafisadi kama wale wanaowapigia kelele hii ni hatari sana kwa mustakabli wa taifa letu.
Chama
Gongo la mboto DSM
Zitto akiona picha za mr dhaifu akiwa Canada akivutwa na vitoroli kupitia farasi naona ndio anachanganyikiwa kabisa kwa tamaa anataka hata kubadilisha birth certificate yake ili isome miaka 42 afikapo 2015