uraia

Mulokozi Jr.

Member
Apr 9, 2012
14
0
naomba kuuliza je, ndoa inaweza kumfanya mgeni aliyeolewa na mtanzania kuwa mtanzania pia ni hatua zipi za kisheria za kufuata ili mtu aweze kupewa Uraia wa Tanzania???
ninaomba msaada wenu ni muhimu sana,, asanteni
 
kaka kuoa mtu wa nje ya nchi siyo shida taratibu zake kuishi hapa TZ taratibu zake ni kwamba baada ya kumleta tz unapeleka cheti cha ndoa Uhamiaji unalipia kitu kinaitwa DEPENDANT PASS na ADA yake ni USD 500 kwa kila baada ya miaka 2 na muda huo lazima awe na Passport ya nchi yake na ataishi hivyo kwa muda wa miaka 10 ndipo unaruhusiwa kumuombea URAIA naa lazima ajaze fomu maalum ya kukana uraia wa nchi yake na hapo wenyewe utalipia USD 5000 kijana muoaji umenipata
 
Back
Top Bottom