Genekai
R I P
- Feb 9, 2010
- 12,517
- 4,985
Sioni mantiki ya hiyo rufaa! Box la kura litaamua jamani.
Siyo kwamba huoni mantiki bali hujaelewa mada. Ni hivi Siyoi alizaliwa Nairobi Kenya ( So He is a Kenyan by birth) na alipaswa kuukana uraia wa Kenya pindi alipofikisha umri wa utu uzima (18) na pingamizi la Chadema ni kuwa hakuukana na hata kama aliukana hakuna vielelezo. So pingamizi ndo hilo!!!!!!