Uraia wa Sioi utata mtupu,CCM kutangaza mgombea mpya ARUMERU leo!!

come what may, Arumeru wamethibitisha kwamba ni wakati wa vijana... Nasare, Sioi, Sarakikya you name it, ntasgangaa kidogo kama wazee watataka kuharibu rehearsal ya 2015, tutaona sura za vijana kwenye almost 80% ya majimbo kama changes za kweli zinakuja
 
Nadhani kwasasa haina haja ya kuleta habari ambazo hazina uhakika hapa JF....Kikao cha CC kinaanza muda si mrefu kuanzia sasa,nadhani tutapata jina hilo mida ya mchana hivi.
 
Kama cc ya ccm itamtosa mkwewe Lowassa SIOI kwavile alizaliwa Kenya,nadhani huyu bwana atataka kuonesha power yake kwa kumpigia chapuo huyo mgombea wa Chadema ili hilo jimbo ccm ilikose halafu awasute kuwa ni kwasababu walimtosa mkwewe!!
 
Habari za uhakika kutoka kwa wazito wa NEC ya CCM ni kuwa SIOI SUMARI atapigwa chini na mgombea aliyemfuata Bw. Sarakikya atateuliwa kupeperusha bendera ya chama hicho katika uchaguzi wa Arumeru Mashariki.
Hata hivyo mpango huo umeendelea kuwa mgumu kufuatia mashambulizi mapya ya nguvu ambayo mgombea mwingine Elishilia Kaaya ameyaanza. Habari ni kuwa Elishilia amekwaza na jinsi mpango ulivosukwa wa kumzunguka kiasi kwamba watu aliokuwa nao karibu ndio walioshiriki kummaliza ili kumjengea mazingira mazuri SIOI. Hata hivyo SIOI SUMARI inaelezwa na NEC kuwa hana mvuto wa kisiasa kabisa ila kwa nguvu ya koo na washili ana nafasi kubwa ya kushinda kwenye kunyang'anyiro.

NEC imejiridhisha kuwa Sarakikya ana uwezo na mvuto wa kisiasa kuweza kupeperusha bendera ya ccm dhidi ya mgombea wa CHADEMA.
Inathibitisha kuwa CCM inazidi kugawanyika
 
Nadhani kwasasa haina haja ya kuleta habari ambazo hazina uhakika hapa JF....Kikao cha CC kinaanza muda si mrefu kuanzia sasa,nadhani tutapata jina hilo mida ya mchana hivi.

Kijana siku nyingine huwa unaamka na hangover..........mangapi huwa yanaanza kwa tetesi na baadae inakuwa kweli.......hii ni JF.....kabla kitu hakijatokea angalizo huwa tayari kuna taarifa .........maana Jf ina watu wa kila kona hata huko mkutano unakotaka kufanyika matokeo yanajulikana na ndio maana........watu wanakueleza. Pia ndio maana kuna ka -kitufe ka "tetesi" katika kupost thread. Peoples......................................poweeeeer
 
Kama kawaida magamba yanafurumushana tu hakuna mtu kutoka mwisho wa siku watarahisisha kusambaratika kwa magamba
 
Back
Top Bottom