Uraia Pacha Tanzania: Siasa ya Bernard Membe na hatma yake

Miaka ya hivi karibuni kumekuwepo hoja ya uraia wa nchi mbili, ''Dual Citizenship'' kutoka miongoni mwa baadhi ya Watanzania. Hoja hii ilipata msukumo wa kufikishwa bungeni, kwa bahati nzuri haikupata fursa ya kujadiliwa lakini hata hivyo bado iko nia miongoni mwa Watanzania walioianzisha hoja hiyo kutaka kuiendeleza kwa kuiuwasilisha.

Ni bahati nzuri haikuwahi kupata fursa ya kujadiliwa kwa sababu suala la uraia ni nyeti mno kwa usalama wa taifa changa kisiasa, na tete kiuchumi tena lenye rasilimali nyingi kama Tanzania. Rejea sakata la vijisenti vilivyohifadhiwa katika nchi za kigeni na Mwanasiasa mwandamizi wa Serikali ya CCM-Andrew Chenge (MB).

Mheshimiwa huyu alikubali na kukiri kuwa alichohifadhi yeye ni vijisenti tu, akilinganisha na kilichohifadhiwa na wenzake kama inavyojiri sasa kupitia taarifa za vyombo vya habari juu ya mapesa yaliyofichwa katika mabenki ya Uswisi. Kwa sasa waporaji hawa wanalindwa na mfumo wa utawala wenye mahakama isiyo huru, endapo hoja ya uraia wa nchi mbili itajadiliwa na hatimaye kupitishwa kuwa sheria itatoa mwanya makhsusi kwa waporaji na wanyonyaji raia waliokosa uzalendo kama hawa na kupata mahala pa kukimbilia, huko kwenye nchi nyingine ambako nako watakuwa raia wanaostahili ulinzi na haki zote za kiraia kama huku, ambako wataishi bila bughudha wakitafuna mali waliokwishaipora kutoka Tanzania.

Hebu rejea tena sakata la wizi wa fedha za EPA katika BoT. Hadi sasa Watanzania wengi hatuamini kuwa aliyekuwa Gavana wa BoT, Dk. Ballali aliugua, kufa na kuzikwa huko Marekani alikopelekwa kutibiwa. Imani yangu ni kwamba baada ya kufanikisha uporaji ule, alikimbizwa na kufichwa nchini Marekani akiendelea kula bata bila khofu ya kushitakiwa.
 
Usiwe kama huelewi mwanangu. Mbona wezi wengi wa Tanzania hawana uraia wa nchi mbili ingawa wanawatumia wenzao toka india wenye uraia wa nchi nyingi? Bahati nzuri umejijibu kwa kusema Chege aliiba mipesa na kuificha nje. Je ana uraia wa nchi mbili? Majambazi wa EPA ambao wengine wana vyeo vya juu nao wana uraia wa nchi mbili?Mbona sioni hoja kwenye mada yako kijana?
 
Watanzania ndiyo watanufaika na uraia wa nchi mbili na si vinginevyo.

Hoja nyingi za kupinga hili hazina misingi. Watu wengi watakaopata uraia wa nchi mbili ni Watanzania ambao wanaishi nje kwasasa hivyo wengi wao hawako hata Tanzania! hivyo kudanganya watu kuwa hawa ni wezi si kweli ni Watanzania wengi sasa wana ndugu walio nje na tunawajua si wezi wala mafisadi. Wengi wa Watanzania walio nje hawajawahi kutoa rushwa au kuibia serikali hata siku moja! wezi wengi na mafisadi wa Tanzania wako Tanzania.

Vijana wengi tuliosoma nao mikaka ya tisini na themanini ndiyo wapo nje ni kwamba wamekaa muda mrefu huko na wanasumbuliwa na sheria ambayo wanaogopa kuchukulia mali zao hasa za mirathi kama wakichukua uraia wa nchi mbili hivyo wengi wao wameweka pesa nje kwenye Funds za kazini badala ya kujenga nchi. Ukifanya utafiti utaona hawa watanzania wanatuma pesa nyingi nje kuliko pesa ya Tanzania inavyoenda nje.

Mfano je unafikiria Watanzania walio Marekani ni wangapi wanapata pesa kutoka Tanzania na ni wangapi wanapeleka pesa Tanzania. Je ni kijana jani wa Kitanzania ambaye amekibia nje na pesa ya ufisadi na hajashikwa kwasababu ya uraia wa nchi mbili.

Watanzania ni lazima muwe wa kweli wezi wa Tanzania ni Watanzania walio Tanzania.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hoja hii ilipata msukumo wa kufikishwa bungeni, kwa bahati nzuri haikupata fursa ya kujadiliwa lakini hata hivyo bado iko nia miongoni mwa Watanzania walioianzisha hoja hiyo kutaka kuiendeleza kwa kuiuwasilisha. Ni bahati nzuri haikuwahi kupata fursa ya kujadiliwa kwa sababu suala la uraia ni nyeti mno kwa usalama wa taifa changa kisiasa, na tete kiuchumi tena lenye rasilimali nyingi kama Tanzania.

Rejea sakata la vijisenti vilivyohifadhiwa katika nchi za kigeni na Mwanasiasa mwandamizi wa Serikali ya CCM-Andrew Chenge (MB). Mheshimiwa huyu alikubali na kukiri kuwa alichohifadhi yeye ni vijisenti tu, akilinganisha na kilichohifadhiwa na wenzake kama inavyojiri sasa kupitia taarifa za vyombo vya habari juu ya mapesa yaliyofichwa katika mabenki ya Uswisi.

Mkapa, Mzee wa Vijisenti, Fisadi Lowassa na mafisadi wengine wengi waliowahi kushika nyadhifa za juu Serikalini hawa wote hawana uraia wa nchi mbili na bado walikwapua mali za Watanzania ili kujitajirisha kwa kutumia nyadhifa zao, kwa hiyo wizi/ufisadi wa mali ya walipa kodi wa Tanzania hauhusiani kabisa na uraia wa nchi mbili.

Na kama sikosei hili la kuruhusu uraia wa nchi mbili litakuwemo kwenye katiba mpya kama halitapigwa vita na watu wenye uelewa mdogo kuhusu uDC.
 
Kamundu

Watanzania wanaoishi nje walioukaa uraia wa Tanzania wanaweza kurudishiwa uraia wao kama wakiona kuna faida ya kufanya hivyo. Wakati tunajadili hili hao tuwaweke kando kwanza. Hao raia wa kigeni wanaotuibia mchana kweupe kwa upambavu wetu (ndio upambavu na sio ujinga) wakipata uraia itakuwa balaa mara mbili.

Maana hawatahitaji kuwatumia tena vikaragosi wao maana watakuwa na haki ya kufanya watakalo!
 
Last edited by a moderator:
Usiwe kama huelewi mwanangu. Mbona wezi wengi wa Tanzania hawana uraia wa nchi mbili ingawa wanawatumia wenzao toka india wenye uraia wa nchi nyingi? Bahati nzuri umejijibu kwa kusema Chege aliiba mipesa na kuificha nje. Je ana uraia wa nchi mbili? Majambazi wa EPA ambao wengine wana vyeo vya juu nao wana uraia wa nchi mbili?Mbona sioni hoja kwenye mada yako kijana?

mleta mada anaona ni sawa mafisadi kukumbiza hela nje, hajui kama kuna walala hoi wengi wanauraia wa nchi za nje wanaogopa ku-invest Tz kwa sababu Tz hairuhusu raia pacha.
 
Watanzania wanaoishi nje walioukaa uraia wa Tanzania wanaweza kurudishiwa uraia wao kama wakiona kuna faida ya kufanya hivyo. Wakati tunajadili hili hao tuwaweke kando kwanza. Hao raia wa kigeni wanaotuibia mchana kweupe kwa upambavu wetu (ndio upambavu na sio ujinga) wakipata uraia itakuwa balaa mara mbili. Maana hawatahitaji kuwatumia tena vikaragosi wao maana watakuwa na haki ya kufanya watakalo!

Mimi nachosema kwa sisi Watanzania ambao tumekuja huku nchi nyingine kutafuta maisha jamani tunasaidia Tanzania sasa sana kuliko hata mnavyofikiria. Sasa wengine tunakazi za kusafiri na zinaitaji uraia wa hapa. Mimi nikifanikiwa familia imefnikiwa, ndugu na nchi vilevile zinafanikiwa maana tunajenga na kusaidia community za Watanzania. Hivyo mimi naona Watanzania wa Diaspora wasichukuliwe uraia maana ni wazalendo na si wezi wala mafisadi. wengi wao wako hapa kwenye mtandao
 
Kamundu

...plain and clear...it's a case of either white or black...!!! for the sake of keeping patriotisim of the motherland, denounce, u r foreign citizenship, and remain tanzanian or go to where u think u belong...no room for "popo"...!
 
Last edited by a moderator:
Wengi wetu naona tunachukulia swala la Uraia pacha kirahisi. Tuweke sheria kama nchi zingine kabla ya mtu kupata uraia wa TZA. Kupata urai wa nchi yeyote huapply over night na second day unaupata. LA HASHA! Hii inapaswa kuwa process ambayo itachukua miaka kumi au ishirini ili uwe raia. Mfano; Weka sheria ili uwe raia wa TZA timiza yafuatayo 1) Lazima uwe umekaa TZA kwa miaka kumi au ishirini 2) Usiwe umevunja sheria ya TZA 3)Ukionekana umefanya vitu vya KIFISADI unaweza vuliwa uraia at anytime 3)Fees

Ni hayo tu: Kwa mtazamo wangu Uraia PACHA is inevitable now.
 
Wana JF,

Hili suala limefikia wapi?. Tafadhali mwenye habari zaidi naomba kufahamu.
 
MwanaFalsafa1

Kaka! Hivyo unafikiri kila kilichopitishwa hapo mwanzo kilikuwa sahihi? Kama ni hivyo basi tusingedai Katiba mpya!
Hivyo unafikiri ni sahihi kumnyanganya uraia wa kuzaliwa mtu eti kwa kuangalia maslahi? Yaani unafikiri ni dhambi mtu kupata sifa ya kuweza kuendesha maisha yake akiwa nje ya nchi yake? Hii ndiyo inayowalazimisha Watanzania wachukuwe uraia wa nchi nyengine ili wapate sifa ya kuwafanya wapate masilahi ndani ya nchi ya ugenini. Sasa iwapo wenyeji wa nchi ile hawajali wewe kubaki na uraia wa nchi yako uliyozaliwa inakuwa kichekesho kuwa wewe uliemzaa unasema huyu si mwanangu.

Hili suwala la mtu kuukana uraia wa Tanzania limewekwa katika Katiba kimakosa kama mambo mengi yaliyowekwa huko nyuma na tuikaamuwa kuyabadilisha kwa maslaha yetu. Huko nyuma ilikuwa sheria mtu asifanye kazi zaidi ya moja kujitafutia riziki, asipangishe nyumba yake na sheria chungu nzima zisizo na tija kwa mwananchi.

Hili la kumkataa raia wa Tanzania eti kwa kuangalia maslahi si sahihi halafu Kaka unasema eti mtu huyu awe na moyo wa kuekeza kwao na huku umemkataa? Nafikiri ipo haja ya kutafakari na kuondokana na ukungu tuliotandaziwa na siasa za Kijamaa.

swali dogo tu!!! kwa nn ulikana uraia wako in the first place....uliamua kujifanya mtumwa mwenyewe alafu leo unataka kutulazimisha tukuondoe kwenye utumwa ulojitakia mwenyewe.......ths daznt click in a sensible mind..hii ndo gharama ya kujidharau...tujifunze kutambua kwamba thaman ya utu wako ni kubwa
 
Last edited by a moderator:
Jamani naona tatizo letu ni uelewa, kweli watu wengi hawajui umuhimu wa dual citizenship na hofu ya watu nadhani imepitwa na wakati. Hebu tuone makala ya rafiki yangu alipata kuitoa kwenye dailynews tanzania miaka kadhaa:

What doesDual Citizenship (or Dual Nationality) mean to Tanzanians?
By Frederick Longino
Dual citizenship (or dual nationality) is simply beinga citizen of two countries. For example, if you were born in Tanzania youare a native-born Tanzanian. If you move to the United Kingdomor elsewhere and become a naturalized citizen, you now have dual citizenship.Dual citizens can carry two passports and essentially live, work, and travelfreely within your native (Tanzania)and naturalized countries in Africa, America,Asia, Australia or Europe.
Dualcitizenship is becoming more common in our increasingly interconnected, globaleconomy. Many countries are now seeing the advantages of dual citizenship andare liberalizing or have liberalized their citizenship laws (Nigeria, Ghana,Ivory Coast, Togo, Morocco,India, the UK etc, are fewexamples).
The Tanzania government is ever so slowly waking upto the fact that there are more benefits in terms of economic opportunities andTanzaniacultural expansion than risks in allowing dual citizenship. However, Dualcitizenship is still controversial in the United Republic of Tanzania. AndDespite an at least creeping increase in the secretive incidences of dualnationals, the issue has not received significant attention from Tanzanianpoliticians or policy-makers in recent decades. Dual citizenship has theadvantages of broadening a country’s economic base by promoting trade andinvestment between the dual citizen’s two respective countries.
Some dualcitizens also enjoy the privilege of voting in both countries, owning propertyin both countries, and having government health care and education in bothcountries, in particular, a person with dual citizenship has greaterflexibility in a choice of where to live, work or access grants, socialsecurity, education and good health services without having to incur expensesor pay extra. Socially, dual citizenship offers practical advantages such associal security. It may also enhance the feeling of belonging because dualcitizens have strong personal ties to more than one country.
Dual citizenship, as a Tanzanian, hasmany advantages without any disadvantage, the right to invest in land and inany business reserved for Tanzanians only; the right to practice licensedprofession in an African, Asian, European, American country and Tanzania, e.g.,law, medicine, accountancy, architecture, and many others; retirement orextended stay in an American, African, European country or Tanzania without anyimmigration worries; continued ability to receive social Security benefits; andno double taxation—there is no Tanzanian tax on income earned abroad.
In the United Republic of Tanzania, I feel thatwe need to talk and debate reasonably and objectively without any course tocreating fear in people of dual nationality, to assess the issues at stake inthis controversy; we must begin by exploring the historical source of anxietiesabout dual nationality and their relevance in a changed international context.In fact, these origins are far more prosaic than the specter of spies andsaboteurs would suggest. Therefore, the impending debate must pose anopportunity to reexamine old anxieties, to address such concerns as may persist(regarding, for instance, service in the government), and ultimately to embracethe status. Perhaps the time has come as well for a new designation to reflectthe shedding of old baggage, so that those who have more than one status arecharacterized not as "dual" but rather as co-nationals. Thegovernment should be looking at areas of improvement rather than areas of ‘ifmisused’.
Today, the prospect of serious internationalfrictions arising from dual nationality seems significantly diminished. Toimagine now even hypothetical situations in which dual nationality poses a threatto the national interest is increasingly difficult, as the Deputy Minister forhome affairs Hon. Lawrence Masha tried to suggest in the parliamentary sessionpreviously in Tanzania whilst responding to a question from the Isle’s MP Dr.Ali Tarab Ali who wanted to know about the government’s future plan on dualnationality. Once again, few days ago at the debate at The University of Dar essalaam, those fears featured eminently from perhaps few ill-informed, jealous orunaware participants of what entails dual nationality. For example, my learnedprofessors, Doctors and IDS students failed to give experience or exemplifytheir fears of the by-product of dual nationality in countries that haveadopted dual nationality system; instead, they largely made loose and sweepingemotional statements such as fear for national security, neo-colonialism, landownerships and divided loyalty etc. For me, Dual nationality has seldompresented a direct threat to national security—in the sense that its incidencehas not, for instance, increased vulnerability to spying and sabotage. If dualnationality once presented a threat to international stability, it nolongerdoes today. The protection of persons is no longer so dependent on theparticular state of the affected national, since it is covered by the umbrellaof international human rights, under which the international community protectsindividuals irrespective of nationality.
Now that countries owe certain obligations,respecting the treatment of individuals—that is, they have an obligation to allother nations to respect the human rights of all persons, regardless of theirnationality—dual nationality no longer adds much risk of inter-state conflict.If, for instance, Tanzaniamistreats a UK,US, Indian citizen, that mistreatment will be sufficient cause for diplomaticprotest by other states.
The continual refusal of dual nationality by the Tanzaniagovernment may lose actual benefits, at least from a Tanzanian perspective.Such refusal would put off the political, social, economic and culturalassimilation of immigrants unwilling either for economic or sentimental reasonsto forsake their countries of origin or naturalization, for exampleKalimangonga Ongala was unable to play for Taifa stars against Burkina Faso recentlybecause he was advised to denounce his British citizenship, but he refused,presumably for professional football career and economic reasons. Had he optedto become Tanzanian it means his team abroad (Scandinavian club) would havesought international football clearance and immigration clearance as he wouldbe deemed to come from non-EU countries (i.e. from a non-recognized nation inthe world of football called Tanzania).Dual nationality could also advance the global cause of democracy, as those whobecome steeped in native or naturalized constitutional values are able to applythem in other polities.
Dual nationality has more also surfaced from themarriage of persons with different nationality. Whereas in the past a womanmarrying a foreigner would as a general rule automatically lose her originalcitizenship and assume that of her husband, both husbands and wives are now,presumably under human rights, entitled to retain their original citizenshipand in many cases to also acquire that of their spouse. The children of theseunions will often be entitled to the nationalities of both parents (as theinterstate marriage continues to rise, and so grows as a source of dualnationality too).
However, itis important to realize that there can be difficulties and disadvantages aswell. The following suggests some of the consequences of having dualcitizenship. In general, the laws that apply to you at any time are the laws ofthe country in which you are physically present at that time. The laws of acountry may provide, for example, that people residing in the country of theirsecond citizenship may travel only on the passport of their country ofresidence. Possession of a second passport could result in its beingconfiscated, or even in a fine.
There may belaws in a country to which a foreign traveler is not subject, but which applyto you as a citizen of that country. For example, there may be restrictions onexit, compulsory military service, and special taxes or financial compensationfor services received in the past, including educational costs. There mighteven be special circumstances that apply to you in particular. For example,friends or relatives may be affected by your visiting that country, or theremay be legal proceedings pending against you that could begin again if youreturn.
If you areseriously planning to seek a political office in the UK,US, Brazil, South Africa or Tanzania -- especially in thegovernment -- it is extremely possible that having a second citizenship may bea serious liability. Your opponent will almost certainly be sorely tempted to(mis)represent your status for his/her own political gain -- questioning yourloyalty to the UK, US, Indian or Tanzania and your suitability for office --and any efforts on your part to explain or justify your situation are likely tofall on deaf ears. This is likely to be an issue if you are running for apolitical office.
In a worldincreasingly being penetrated by extremists and corrupt officials, the passportof a developing country like Tanzaniacould provide a “security blanket”. Present day reality makes the citizenshipof the only superpower a magnet for potential personal attack abroad.
Communitarians, like Michael Walzer, defend theright of states and of communities generally to determine who is allowed toenter the community and who is allowed to be a citizen. By contrast,cosmopolitans, like Jürgen Habermas, argue that, because a person’s birthplaceis beyond that person’s control, it is not a morally justifiable basis fordenying them the same benefits enjoyed by others; and furthermore eachindividual should be allowed to migrate freely in pursuing their basic humanright to self-preservation.
These arguments suggest why dual nationalityshould be tolerated, if not actively facilitated and encouraged, in thenational interest. With the political incorporation of those who retain theiroriginal citizenship, dual nationality may present affirmative benefits as afunction of dual nationality itself. The dual national who becomes politicallyassimilated in the United Republic of Tanzania or UK, US, Indian, Nigerian, Brazilianwill presumably come to internalize our constitutional values. If that personremains politically active in his or her country of origin, he or she will alsopresumably apply those values there. As this occurs, dual nationality maybecome a vehicle for advancing the cause of global democracy and economy.
I would like to finish my article by leaving youwith food for thought, as follows:
(1) Is dual citizenship (dual nationality)compatible with patriotism? Or is it more compatible with liberalindividualism?
(2) If a person is truly patriotic, must s/healways want to put the interests of her/his own country ahead of the interestsof other countries (and the interests of the rest of the world)?
(3) Does increased immigration and multiculturalmixing make it more likely that people will feel less loyalty to any singlenation and more loyalty to just themselves, taken individually? If so, doesthis mean that citizenship is becoming a lost or dead idea?
(4) Does a free global market in labour openborders for Tanzanians limitlessly? Is such a global market just even when itresults in saturating labour markets (increased unemployment and lower wages)in the host country?
(5) Is it morally acceptable to allow (guest)workers to contribute to a nation’s wealth without also allowing them to jointhe country as citizens who have an equal voice in decisions affecting them?
(6) Is the freedom to associate a basic right? Ifso, does it favour the right of those who want to join an association or theright of those already associated to prevent them from doing so?
(7) How strong is the argument that, becauseTanzanians are allowed to immigrate, inter-marry, live and belong to anothertribe, district or region, yet remain with their identity of their tribe orregion (Msukuma, Mkurya, Mchaga, Mngoni, Mmakonde, Mfipa, Mgogo, wa Bukoba,waMbeya etc), Should we allow others to do the same?
(8)Suppose you learn that you have, or a member of yourfamily has dual citizenship or that you might acquire it. Would dualcitizenship be good for you? Would it have more advantages than disadvantages?
 
swali dogo tu!!! kwa nn ulikana uraia wako in the first place....uliamua kujifanya mtumwa mwenyewe alafu leo unataka kutulazimisha tukuondoe kwenye utumwa ulojitakia mwenyewe.......ths daznt click in a sensible mind..hii ndo gharama ya kujidharau...tujifunze kutambua kwamba thaman ya utu wako ni kubwa

Baadhi ya Watanzania (samahani kwa kukupigia mfano wewe) Hamna msimamo na mnaonekana kuwa na roho zisizotambulika. Ajabu pale anapotokea cellebrity (mtu maarufu) akanasibishwa na Utanzania mnakuwa wa mbele kumshabikia lakini hawa wadogo wadogo ambao katika kujitafutia maisha walilazimika kuukana uraia na walifanya hivyo(naomba niibold hii, walifanya hivyo kwa siasa yenu mbaya ya kumkataa mwenzenu eti kaamuwa kupata masilahi. Wenyeji hawalazimishi kuuukana uraia lakini ni siasa yetu ndio inayosema hivyo)
Hebu angalia ndugu yangu siku zote tunalalamika maisha magumu hapa sasa wanapotokea wengine wanapoamuwa kutafuta riziki kwengine , kwa roho zetu mbaya tunawalazimisha kuukana uraia wao. Wafanye nini iwapo tumeshindwa kuwapa maisha ya mwelekeo? Huwezi hata kidogo kuwalaumu Watanzania wanaoukana uraia wao kutokana na kushurutishwa na sisa zetu. Upande mmoja hatuwezi kuwapa maisha mazuri na upande mwengine tunawaadhibu kwa kutafuta riziki kwengine ,riziki ambayo mara nyingi huileta hukuhuku juu ya kuwa tuliwalazimisha kuukana uraia wao.
 
Usiwe kama huelewi mwanangu. Mbona wezi wengi wa Tanzania hawana uraia wa nchi mbili ingawa wanawatumia wenzao toka india wenye uraia wa nchi nyingi? Bahati nzuri umejijibu kwa kusema Chege aliiba mipesa na kuificha nje. Je ana uraia wa nchi mbili? Majambazi wa EPA ambao wengine wana vyeo vya juu nao wana uraia wa nchi mbili?Mbona sioni hoja kwenye mada yako kijana?

Kaulize pia wale walioficha pesa pale uswiz kama wanaraia mbili. Hoja zingine hazina mshiko, watu wanashindwa kuelewa mtu akishakuwa kiongozi kwa ngazi fulani anakuwa zaidi hata ya mtu mwenye raia tatu. Maana anakuwa na pass la kidplomasia, kukaguliwa pale airport hakaguliwi kama anavyokaguliwa mwenye raia mbili.

Ama wakamuulize yule mbunge aliyekuwa anavusha mademu anawapeleka ujerumani kama ana raia mbili. Hoja zingine hazina mshiko wape watu haki yao ya raia mbili ama mjenge hoja nyingine.

Maana wenye raia mbili wanatoa pesa huko nchi zingine na kuzipeleka kwao kwa asili Tanzania, lakini walio na raia moja waziiba pesa toka kwao Tanzania na kuzificha kusiko kwao yani ugaibuni. Kama mnabisha chukueni takwimu western union na pia uswiz, uk na ulaya nyingine muone nani analeta pesa ndani na nani anatoa pesa ndani.
 
Salaam wanaJF!

Kabla sijaenda mbele zaidi, naomba niulize, hivi ni sahihi kwa suala hili kujadiliwa na wizara inayoongozwa na ndugu Membe? Suala linaluhusu uraia kwanini lijadiliwe na wizara ya mambi ya nje, badala ya wizara ya mambo ya ndani?!

Membe kama waziri wa mambo ya nje anahusika moja kwa moja na uraia wa nchi mbili. Wanaotaka uraia wa nchi mbili wako nje ya nchi na kule wanasimamaiwa na mabalozi ambao wako chini ya Wizara ya mambo ya nje.

Kama miaka 5 hivi nyuma kuna waziri mmoja wa mambo ya nje na uhamiaji wa sweden aliulizwa swali na mhandishi wa habari! Kwa nini waafrika wanapenda kuamia ulaya:

Waziri akajibu: Kuna wakimbizi wa vita na uchumi. mfano wanigeria walio ulaya wanatuma pesa nyingi sana Nigeria kuliko pesa ambazo umoja wa ulaya inaipatia msaada afrika.

Kwahiyo tusiwachukie ndugu zetu bila shaka nao wanatuma pesa nyingi kwa ndg zao na kupunguza umasikini na wewe usie na ndg nje acha wivu tuwapigie debe wapate uraia wa nchi mbili ili waje wajenge mabanda home
 
Kwani hawawezi kufanya hivyo wasipokuwa na uraia wa nchi mbili?!

Haiwezekani mpaka wawe na uraia wa nchi mbili hapo ndipo wataweza kujakuwekeza kama mtanzania na wakati huo huo nchi anayoishi akaishi kama raia ili haweze kukopa pesa na kuja kuwekeza Tanzania. Vinginevyo tutaendelea kukumbatia wawekezaji wazungu ambao faida wanaipeleka kwao. Siku ya siku wanaondoka wakiwa matajiri ili hali walikuja masikini.

Mwenye uchungu wa nchi ni mwananchi
 
Back
Top Bottom