Uraia Wa Jenerali Ulimwengu

Kaburi hili la kitambo kidogo wengine tulikua Bado watoto tunatembea peku huko Kolomije!

Mleta mada nae hatunaye
Anyway R.I.P
Yona F.Marro
 
Jamani Nimeona Watu Wakijadala Kuhusu Uraia Wa Iddi Simba, Rostam Aziz Na Wengine Wengi Lakini Tukasahau Kuongea Kidogo Kuhusu Uraia Wa Jenereali Ulimwengu

Mimi Niliwahi Kusoma Makalakwamba Yeye Ni Mnyrwanda Enzi Hizo

Hili Suala Ni Ukweli Au Lilitumika Kunyamazisha Kisiasatu ?
Tuthibitishie uraia wake acha majungu
 
Shy ur Shy exactly.....mbona unauliza maswali yenye majibu??....anyway topic hii itawasaidia kujua nini kilimtokea Jenerali na ninadhani Saed Kubenea yuko njiani......ndio siasa zetu na ni moja ya njia inayotumiwa na wanasiasa wetu kunyamazisha wasema ukweli.....Unakumbuka pia Oscar Kambona na yeye aliwahi kuambiwa sio raia wa Tanzania???
Yaan siasa inafanya mtu kama mimi hapa niliyezaliwa kimbiji na nimesoma pale na nimeolewa pale ila naishi kigoma basi mtu aanze tu kuniambia siyo raia? Na itambulisho wa shule na kila kitu cyo cha tanzania? Haya nini kilimpata general ili tujumlishe na ya kubenea
 
Ulimwengu alivuliwa uraia baada ya kumkosoa Benjamin Mkapa pale Palm Beach Hotel kwenye vikao vya whiskey.

Mkapa na Ulimwengu walikuwa wanafanya kazi pamoja zamani na walikuwa karibu sana.Mkapa alivyopata urais siku za kwanza kwanza alikuwa anaenda Palm Beach Hotel pale Sea View kwenye vikao vya whiskey na wazee wa foreign/ usalama.Sasa Ulimwengu akajisahau kwamba Mkapa sasa ni "Mr. President" akawa anamchambua kama mshikaji tu mezani, Mkapa kama kawaida mtu wa hamaki akamwambia pale pale "utanitambua" ndio akaanzisha kampeni ya kumvua uraia, baadaye baadaye akaonewa haya akarudishiwa uraia wake.

Kuna wengine wanasema pia Ulimwengu alikuwa anafanya deal na Kagame Mkapa akammind.

Lakini kwa kufuata kizazi Ulimwengu ni Mnyarwanda aliyekaa sana Tanzania na I am not sure kama alichukua uraia formally au ndio wale watu waliokaa kwenye system mpaka unafikiri ni raia kumbe siyo (Mungai etc)
Paragraph ya mwisho imenifanya nisome mara tatu zaid huu uzi! Sasa aliingiaje kwenye idara nyeti na hao kina Mungai kwa namna hiyo ya utata wa iraia?
 
Lini hii?
chimbo Hili la 2008 huko Mimi nilikua Bado kwetu kolomije nachunga ng'ombe huyo mtoa mada nimeiona R.I.P Kwenye I'd yake hata sijui alitutoka lini maana inaonekana alikua verified ndio maana utambulisho wa kifo chake ulifahamika mapema!
 
Ulimwengu alivuliwa uraia baada ya kumkosoa Benjamin Mkapa pale Palm Beach Hotel kwenye vikao vya whiskey.

Mkapa na Ulimwengu walikuwa wanafanya kazi pamoja zamani na walikuwa karibu sana.Mkapa alivyopata urais siku za kwanza kwanza alikuwa anaenda Palm Beach Hotel pale Sea View kwenye vikao vya whiskey na wazee wa foreign/ usalama.Sasa Ulimwengu akajisahau kwamba Mkapa sasa ni "Mr. President" akawa anamchambua kama mshikaji tu mezani, Mkapa kama kawaida mtu wa hamaki akamwambia pale pale "utanitambua" ndio akaanzisha kampeni ya kumvua uraia, baadaye baadaye akaonewa haya akarudishiwa uraia wake.

Kuna wengine wanasema pia Ulimwengu alikuwa anafanya deal na Kagame Mkapa akammind.

Lakini kwa kufuata kizazi Ulimwengu ni Mnyarwanda aliyekaa sana Tanzania na I am not sure kama alichukua uraia formally au ndio wale watu waliokaa kwenye system mpaka unafikiri ni raia kumbe siyo (Mungai etc)
Ameanza kelele tunaanza kujifunza tabia yake ni nani. Kumbe kila wakati anahangaikia Rwanda na Kagame wake!
 
Back
Top Bottom