my God yaani hela ya Msumbiji imeshaizidi thamani hela yetu? hii ni aibu kubwa kwa serikali yeu.mwaka 2004 nilikuwa Maputo na buku yetu ilikuwa sawa na meticais 23000.inakuwaje hela yetu inashindwa kuwa stable? au bwana Materu umekosea kidogo?
so?EAST,WEST, HOME IS THE BEST:redface:
Hawa jamaa ndugu zetu wengi tu walimwaga damu kwa ajili ya ukombozi wao, makabuli yamehamishiwa mtwara miaka ya karibuni tuu. But wameshaa sahau. Walitutukuza wakati hou leo wamesahau. Wakishajua wewe ni mtanzania hawakupi hata nafasi ya kujitetea wanajua utawashinda Tns peche nyingi.
Play safe or come back home arawa.
ninachowaomba watanzania tuwe wazalen
do,kwa kukosa kwetu uzalendo ipo siku mtu
ataukataa uso wake,kisa mbaya! tunacholal
amika ni kupigwa,kuporwa,kuzalilishwa na
vyombo vya dola vya msumbiji.suala la mtu
kuhonga mwanamke dola 300 ni suala binafsi,lakini askari kuchukua paspoti na
kuichana hata wewe ulioko hm umezalilishw
a! kushikwa sehemu za siri kila saa ni suala
baya hata ingekua somalia
Acha uongo wewe unataka tukuonee huruma wakati mnafanya utapeli katika nchi ya watu! Askari wa Msumbiji hawataki longolongo wala ufisadi.
Mimi nimefika huko na kuona jinsi baadhi ya wabongo mnavyofanya uhalifu kama ifuatavyo:
Kwa kweli mnastahili mnayoyapata na kwa kweli mnaathiri watanzania wenzenu wanaofanya shughuli zao kihalali.
- mnaingia kinyemela;
- mnafanya utapeli;
- wezi, majambazi na wasafirishaji wa madawa ya kulevya;
- mnaharibu maliasili yao kwa kukata misitu ovyo na kuchimba madini bila vibali;na
- pia mnahusika na usafirishaji wa wasomali na waethiopia wanaozamia Afrika Kusini.
Naishauri serikali yetu kuwa wote watakaopatikana na makosa huko na kurudishwa nchini waadhibiwe vikali ili kutoa funzo kwa wote wanaotaka kwenda huko bila kufuata taratibu zilizowekwa!
my God yaani hela ya Msumbiji imeshaizidi thamani hela yetu? hii ni aibu kubwa kwa serikali yeu.mwaka 2004 nilikuwa Maputo na buku yetu ilikuwa sawa na meticais 23000.inakuwaje hela yetu inashindwa kuwa stable? au bwana Materu umekosea kidogo?