Urafiki wa Members Jf umekaa KIUNAFIKI zaidi, kuliko uhalisia.

ulyoyasema yana ukweli sana. Itakuwa poa endapo utakutana na mtu anaye jua urafiki. Waweza juana na m2 humu halafu akawa tatizo. Mwngne anakimbilia kwenye malovedavi.

Mimi humu nafahamiana na member kadhaa. Wengne tayari tumeshaonana na wengne bado tunawasliana kwa simu tu...
JF ni mahala pazuri sana kuwepo
Aminia Mtei....
 
Wazo zuri JG mie nishajuana na member kadhaa,tunasaidiana,tunashauriana,tunapeana madili,na kuenjoy mjin hapa!kwa habari zangu za uhakika wasiliana na mme wangu kipenz papa Rejao.napatikana tanzania
 
Last edited by a moderator:

Jg hataki wake za watu....wewe na wenzako hampo
 
Last edited by a moderator:
Wazo zuri JG mie nishajuana na member kadhaa,tunasaidiana,tunashauriana,tunapeana madili,na kuenjoy mjin hapa!kwa habari zangu za uhakika wasiliana na mme wangu kipenz papa Rejao.napatikana tanzania

Alaaa! Kumbe? hvi c nshawah kukutia machoni wewe?
 
Last edited by a moderator:
mkubwa Judgement ,tatizo mbona ni dogo sana japo ulio eleza yote ni ya msingi.Fanya kama mimi jina halisi,avatar ni picha yangu,kwa njia hii mimi utanijua je wewe ntakujuaje?tatito ulilolileta linaanzia kwako.

Alafu ukome kumuharasi mpenzi wangu Madame B
 
Last edited by a moderator:
wewe ndio umechemsha kichwa cha habari, kujiongelea na kulilia urafiki. embu soma ulichoandka then tafakari then jiulize.

Nadhani uwezo mdogo wa upambanuzi unahusika nao. Mf wewe umeng'angana mtoa mada NALILIA URAFIKI, hili neno KULILIA unali'create kutoka wapi ?
Huo pekee ni ufinyu wa capacity yako ya uelewa.
Aidha sijazungumzia member mmoja afahamiane na members 60 elfu waliopo hapa.
(na ikitokea mtu kujaribu hivyo hana muda Mirembe patamuhusu)
Hebu weka akili yako huru, katika uelewa ya unachokua unakisoma.
Naposema Marafiki nina maana ni kwa wale ambao kwanza ni Jf members , then ni marafiki.
Si kila member hapa atakua rafiki yako, mf hai ni huu "wewe Mzurimie ni member mwenzangu lakini hatuna urafiki"
Na wapo wengi tu, hapa nilio nao hivyo.
Hata ndugu katika ukoo huwepo ndugu, mkaishia undugu tu, na kuna undugu ukaongezeka na urafiki juu.
Hence panapotokea una Rafikimember mabadilishano ya hospitality of coz yatahusu, o/wise urafikimember hautaleta maana. Mf. Mwingine hapa Jf mimi nimebahatika kupata Rafikimember ambae yuko Chuo hatujawahi kuonana physical na yuko mkoa mbali namie, ni mwanaume mwenzangu tulishapeana contact na nikampa go ahead kwa kila kwazo atakalokua nalo asisite kuniomba msaada, na hadi leo tumekua brothers, kwa maono yako hili ni baya?
Cha kunishangaza ni kutaka kwako kuifafanua sredi yangu kama umeiandika wewe! Hatwendagi hivyo kitu kimekushinda kukielewa kiache, ziko shughuli nyingine za kufanya kafanye.
 
Wazo zuri JG mie nishajuana na member kadhaa,tunasaidiana,tunashauriana,tunapeana madili,na kuenjoy mjin hapa!kwa habari zangu za uhakika wasiliana na mme wangu kipenz papa Rejao.napatikana tanzania

mmje bas kwenye kile kikao changu cha harus jumapil msikose,umesikia eeh
 
Last edited by a moderator:
Judgement uko sawa kabisa na hili suala ni zito sana kwa baadhi ya watu hope wana sababu zao.
Ila kwa aliyeko Arusha im available.

Chugga robo tatu tunajuana......au wewe unaishi Chugga ipi...?
 
Nadhani uwezo mdogo wa upambanuzi unahusika nao. Mf wewe umeng'angana mtoa mada NALILIA URAFIKI, hili neno KULILIA unali'create kutoka wapi ?
Huo pekee ni ufinyu wa capacity yako ya uelewa.
Aidha sijazungumzia member mmoja afahamiane na members 60 elfu waliopo hapa.
(na ikitokea mtu kujaribu hivyo hana muda Mirembe patamuhusu)
Hebu weka akili yako huru, katika uelewa ya unachokua unakisoma.
Naposema Marafiki nina maana ni kwa wale ambao kwanza ni Jf members , then ni marafiki.
Si kila member hapa atakua rafiki yako, mf hai ni huu "wewe Mzurimie ni member mwenzangu lakini hatuna urafiki"
Na wapo wengi tu, hapa nilio nao hivyo.
Hata ndugu katika ukoo huwepo ndugu, mkaishia undugu tu, na kuna undugu ukaongezeka na urafiki juu.
Hence panapotokea una Rafikimember mabadilishano ya hospitality of coz yatahusu, o/wise urafikimember hautaleta maana. Mf. Mwingine hapa Jf mimi nimebahatika kupata Rafikimember ambae yuko Chuo hatujawahi kuonana physical na yuko mkoa mbali namie, ni mwanaume mwenzangu tulishapeana contact na nikampa go ahead kwa kila kwazo atakalokua nalo asisite kuniomba msaada, na hadi leo tumekua brothers, kwa maono yako hili ni baya?
Cha kunishangaza ni kutaka kwako kuifafanua sredi yangu kama umeiandika wewe! Hatwendagi hivyo kitu kimekushinda kukielewa kiache, ziko shughuli nyingine za kufanya kafanye.

temana naye huyo. Hajui maana ya urafiki.
 
Poor husband poulee jamanii hun watakuwa wamekusikia lakin tatizo faking nying mi nahis huku kuficha id ndo shida dats why bt smtms hiz social network ts nt only havn fun bt also to participate ktk suala moja au jingne but mylove people hapa by observation dnt wana know one another n dats real bad huwez mjua au fahamiana na kila mtu jf bt sm of u can baana. Naunga mkono
NB:sio kisa mi mkewe

Beibe ! Mamboo? Umekuaje wewe! Jana nimekutafutaje? Na issue ikiwa tunajipangaje hapa kuna mnuso wa harusi Ruhazwe Jr & Madame B
hujaiona hiyo? Watu wanasogeza mautamu yao karibu!
 
Back
Top Bottom