Urafiki wa mashaka ndo huu

Kaitaba

JF-Expert Member
Jun 30, 2009
916
52

Hivi hawa ni marafiki wa kweli au ni wa mashaka?, wapo wananwake wa hivi pindi wakiwa na wanaume wao, wanawabembeleza lakini wana siri kubwa moyoni ya kuwatafunia mali zao tu,

je wa kwako yukoje?
 
Wanawake wengi ndio wana urafiki wa sampuli hii, hawafai kabisa

na mimi nikisema wanaume wengi wana urafiki wa sampuli hii je utakataa? kuvaa ngozi ya mwana kondoo nadni mbwa mwitu......(hapa sina maana ya penzi la pesa tu bali penzi la ulaghai kwa ujumla wake)
 
bht, siwezi kukataa kwakweli maana kuna ukweli fulani ndani yake. Ukiniambia hivi nakutwanga na thanks ya kutimiza ahadi yako
 
Hivi hawa ni marafiki wa kweli au ni wa mashaka?, wapo wananwake wa hivi pindi wakiwa na wanaume wao, wanawabembeleza lakini wana siri kubwa moyoni ya kuwatafunia mali zao tu,

je wa kwako yukoje?

Ukimwona mkeo anakunyenyekea na kukubembeleza saaaaaaana, hata kwa jambo dogo tu, basi ujue kuna walakini......! Lazima kuna kitu ndai ya pazia! So, be very carefull......!
 
bht, siwezi kukataa kwakweli maana kuna ukweli fulani ndani yake. Ukiniambia hivi nakutwanga na thanks ya kutimiza ahadi yako
na mimi officially nakwambia hivi hapo ngoma droo
kila jinsia inamaumu jinsia nyingine
conclusion ni kwamba wote tunatendana
 
Mfano mzuri ni wa Delila na Samsoni, mnakumbuka kilichompata Samsoni baada ya kutoa siri zake zote kwa Delila?, Delila anawakilisha wanawake 99%
 
Back
Top Bottom