Urafiki wa madesa unakera!

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
Wasichana wa chuo urafiki wa madesa siyo mzuri, inakuwaje unakuwa karibu na mtu mkiwa chuo tu hasa pale unapohitaji kufundishwa? Ukienda likizo kimya, ukirudi zinaanza sms za "I MISS U", Mara nilipoteza simu, mara ooh nimerenew line, naomba namba yako. Mnaowashobokea watu wa aina hii mnapoteza muda, kwani hakuna urafiki hapo.
 
wasichana wa chuo urafiki wa madesa siyo mzuri, inakuwaje unakuwa karibu na mtu mkiwa chuo tu hasa pale unapohitaji kufundishwa? Ukienda likizo kimya, ukirudi zinaanza sms za "i miss u", mara nilipoteza simu, mara ooh nimerenew line, naomba namba yako. Mnaowashobokea watu wa aina hii mnapoteza muda, kwani hakuna urafiki hapo.
1.ulitaka ulipwe mkuu?????kwa servise ya tuition???
2.kule home kuna wazazi,ndugu na vidume walivyosoma navyo vipo kibao......subiri zamu yako wakirudi likizo.
3.lakini wakati mwingine ni kweli network haikamati. Kuna watu wanakaa porini kupita maelezo.
 
asiyekuwepo machoni ........ teh teh yaani ndiyo unataka hata akiwa na switie wa ukweli achat na wewe ? Lol kila jambo na wkt wake bwana teh teh
 
1.ulitaka ulipwe mkuu?????kwa servise ya tuition???
2.kule home kuna wazazi,ndugu na vidume walivyosoma navyo vipo kibao......subiri zamu yako wakirudi likizo.
3.lakini wakati mwingine ni kweli network haikamati. Kuna watu wanakaa porini kupita maelezo.

siongelei kulipwa, bali ni unafiki uliotawala, mtu anajijali yeye tu na shida zake.
 
Mkuu ukipata tumia ukikosa jutia. Sasa akiwa likizo she is busy with someone akirudi be happy karudi salama.
 
Wasichana wa chuo urafiki wa madesa siyo mzuri, inakuwaje unakuwa karibu na mtu mkiwa chuo tu hasa pale unapohitaji kufundishwa? Ukienda likizo kimya, ukirudi zinaanza sms za "I MISS U", Mara nilipoteza simu, mara ooh nimerenew line, naomba namba yako. Mnaowashobokea watu wa aina hii mnapoteza muda, kwani hakuna urafiki hapo.

tindikali bana!

Unawaonea wivu wanafunzi wenzio wa kike? Mbona hata akiwa "HALL 7" anachukuliwa na vijana wa mujini unakaa kimya? Sasa iweje anapokuwa yupo Singida DUMUNI?

Anywayz - Wakija tena kuomba madesa wakumbushe kuwa "there no such thing as FREE LUNCH"
 
Mkuu ukipata tumia ukikosa jutia. Sasa akiwa likizo she is busy with someone akirudi be happy karudi salama.

asante mkuu hapo umesema!!!

alafu hiyo avatar yako inanikumbusha enzi zangu, mnajiandaa kwa sikukuu, mnatembea kijiji kizima mkila pilau kwenye majumba ya watu, alafu nashangaa sijui tulikuwa hatushibi au vipi!!!
 
Ilikuwa maandalizi ya mwenge wa uhuru. Imagine enzi hizo mwenge ulivokuwa, sherehe kama xmass.
 
Hawezi kuhangaika na mabuti wakati jua linawaka.Acha afurahie sendoz zake mpaka mvua inyeshe tena.Nwy urafiki wa kweli ni ule unaohangaikiwa wakati wote...mlio nao ni urafiki wa msimu kama huutaki uvunje!
 
urafiki wa msimu kwangu hauna nafasi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom