Elections 2010 Urafiki wa Lema na Mawazo wafikia ukingoni

Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
18,800
30,725
Urafiki wa muda mrefu baina ya Godbless Lema na Mawazo Alphonce umefikia hatua ya kutishiana kumalizana kisiasa.Ikumbukwe Lema na Mawazo walikuwa wanachama wa TLP kabla ya kujiondoa na kujiunga na CHADEMA na CCM respectively.Lema kupitia radio 5 amekuwa akijigamba atahakikisha Mawazo anashindwa kutetea nafasi ya udiwani Sombetini kwasababu ni yeye aliempeleka CCM na kumpigania hadi kupata nafasi ya udiwani.

Mawazo Alphonce kwa upande wake amedai Lema alitapeli watu kiasi cha tsh 3,6000,000/ kama ada ya kiingilio cha wanachama kupitia taasisi PTN [Positive Thinker Network] na vifaa vya ujenzi vyenye thamani tsh 4,428,000/=.Lema aliweza kufanya utapeli huo kwa kumweka mke wake Bi Neema Lema mweka hazina wa PTN.kabla ya kutimuliwa yeye na mke wake.

Mawazo Alphonce pia amedai Lema hakumaliza elimu ya msingi huku kwako Nronga Machame.anashangazwa sana kusikia Lema ana shahada ya juu [Advance Diploma Human Resource Managemant].Bwana Alphonce Mawazo ametoa ahadi kupitia radio 5 kwamba siku Lema atakapoweza kuwasilisha vyeti vya kuhitimu shahada anayodai anayo yeye Mawazo ataondoa jina lake kutetea udiwa na kumpigia kampeni mgombea wa CHADEMA.

Nina hakika wapo waJF wengi hapa Arusha wamefuatilia malumbano haya lakini kwakuwa yanamdhalilisha mbunge wao mtarajiwa hakuna hata mmoja aliyekuwa tayari kuhabarisha wanajamvi.Pia nina hakika waraka wa kumkashifu Lema utakuwa umesomwa na watu wengi lakini kama ilivyo ada na mazoea watu wamepiga kimya.

Tayari waraka wa kumchafua Bwana Lema umeshatoa na kusambazwa kama pipi sehemu mbali mbali mkoani Arusha.

"JE UTAPENDA KUONGOZWA NA MBUNGE TAPELI"

Napata taabu kidogo kuattach bado nafanya juhudi ikiwezekana mtausoma waraka wenye kichwa cha habari hapo juu.

Maoni yangu.

Nadhani Lema ameingia kirahisi kwenye mtego wa malumbano yasiyokuwa na tija na pengine CCM wamekusudia kuendelea ili apoteze muda badala ya kujikita zaidi kwenye lala salama ya kampeni za ubunge.

Pia si sahihi Lema kugombana na mgombea udiwani na kumwacha mgombea nafasi ya ubunge akiendelea kupeta.Madhaifu mengi ya Lema yalikuwa hayafahamiki sawasawa kwa wapiga kura sasa yameanza kufahamika hasa suala la elimu.

Radio 5 inamilikiwa na Lowassa, Lema kukubali kuitumia ni ukosefu wa akili kupindukia.Hii radio iko pale kuwasaidia CCM na mtandao wa Lowasa sioni sababu za msingi mtu anayegombea ubunge ashindwe kujua hili.
 
:preggers::preggers::preggers:
 
pUMBA:preggers::preggers::preggers::preggers:
 
Duu, naona hawa ni Tupac na BIG wa Kisiasa...... teteteteeee.....

shakur.jpg
 
Nimefanikiwa mnaweza kuisoma inga haiko katika hali nzuri.
 
Attachments

  • JE UTAPENDA KUONGOZWA NA MBUNGE TAPELI.jpg
    JE UTAPENDA KUONGOZWA NA MBUNGE TAPELI.jpg
    339.1 KB · Views: 86
pUMBA:preggers::preggers::preggers::preggers:

Heshima Mkuu,

Naona povu linakutoka taratibu mbona mnakua hampendi kusikia habari mbaya za mtu wenu lakini ndiyo demokrasia mshaurini aache kulumbana ashuhulikie madai ya Mawazo kistaharabu ikiwezekana aende kuleta cheti Nronga kata ya Sombetini mnaichukua bila jasho.
 
Heshima Mkuu,

Naona povu linakutoka taratibu nakua hampendi kusikia habari mbaya za mtu wenu lakini ndiyo demokrasia mshaurini aache kulumbana ashuhulikie madi ya Mawazo kistaharabu ikiwezekana aende kuleta cheti Nronga kata ya Sombetini mnaichukua bila jasho.

WEWE UNAPENDA HII

Bilal.jpg
 
Yaan kweli na wewe KILAZA HAYA MAMBO YA MTU KUJITUNGI NDO UNAYALETA HAPA

Habari nyingine sina uhakika nazo sana ingawa nilishawahi kusikia hii kitu PTN lakini kuhusu elimu mzee huyu jamaa yenu ni kilaza wakutupwa ujanja ujanja wa bure tu.Halafu ianonyesha umeshakutana na huu waraka ni kwanini mlipiga kimya wengine vichwa vyetu haviwezi kukaa na mambo makubwa kama haya.Ingekuwa ni Mama Batilda nakwambaia pasinge tosha hapa wakati mwingine kupenda kitu sana kunakufanya uwe kipofu.
 
Heshima Mkuu,

Naona povu linakutoka taratibu nakua hampendi kusikia habari mbaya za mtu wenu lakini ndiyo demokrasia mshaurini aache kulumbana ashuhulikie madi ya Mawazo kistaharabu ikiwezekana aende kuleta cheti Nronga kata ya Sombetini mnaichukua bila jasho.

NA WEWE UNAMSUPPORT HUYU?

Sheikh-Yahya.JPG
 
Habari nyingine sina uhakika nazo sana ingawa nilishawahi kusikia hii kitu PTN lakini kuhusu elimu mzee huyu jamaa yenu ni kilaza wakutupwa ujanja ujanja wa bure tu.Halafu ianonyesha umeshakutana na huu waraka ni kwanini mlipiga kimya wengine vichwa vyetu haviwezi kukaa na mambo makubwa kama haya.Ingekuwa ni Mama Batilda nakwambaia pasinge tosha hapa wakati mwingine kupenda kitu sana kunakufanya uwe kipofu.

INA MANA NA WWE UNAMSUPPORT HUYU?

Sheikh-Yahaya-Hussein-700347.JPG
 
Habari nyingine sina uhakika nazo sana ingawa nilishawahi kusikia hii kitu PTN lakini kuhusu elimu mzee huyu jamaa yenu ni kilaza wakutupwa ujanja ujanja wa bure tu.Halafu ianonyesha umeshakutana na huu waraka ni kwanini mlipiga kimya wengine vichwa vyetu haviwezi kukaa na mambo makubwa kama haya.Ingekuwa ni Mama Batilda nakwambaia pasinge tosha hapa wakati mwingine kupenda kitu sana kunakufanya uwe kipofu.

uNATAKA TUFIKE HUKU??

end_yahya_hussein_al_raghwah.jpg
 
Chenge shule yake kali sana kama ya Obama na Baba yake - Wote wamesoma chuo kimoja.

Pamoja na Chenge kusoma shule nzuri sana na kuwa Mwanasheria mzuri, badala apiganie awe Rais wa nchi kama Obama, yeye anapigania KUIIBIA nchi yake. Kama shule zenyewe ndiyo hizi, sijui zinawasaidia vipi.................

Msuya niliambiwa kwa hesabu alikuwa mzuri sana, kaishia tu kuungza BoT zetu.

CCM wasomi kibao lakini ndani ni kama Maboga, vimbegumbegu tu, heheheeee ..................

Habari nyingine sina uhakika nazo sana ingawa nilishawahi kusikia hii kitu PTN lakini kuhusu elimu mzee huyu jamaa yenu ni kilaza wakutupwa ujanja ujanja wa bure tu.Halafu ianonyesha umeshakutana na huu waraka ni kwanini mlipiga kimya wengine vichwa vyetu haviwezi kukaa na mambo makubwa kama haya.Ingekuwa ni Mama Batilda nakwambaia pasinge tosha hapa wakati mwingine kupenda kitu sana kunakufanya uwe kipofu.

attachment.php
 
Heshima Mkuu,

Naona povu linakutoka taratibu mbona mnakua hampendi kusikia habari mbaya za mtu wenu lakini ndiyo demokrasia mshaurini aache kulumbana ashuhulikie madai ya Mawazo kistaharabu ikiwezekana aende kuleta cheti Nronga kata ya Sombetini mnaichukua bila jasho.

hAYA NDO MAFANIKIO YENU??

6.JPG
 
WEWE UNAPENDA HII

Bilal.jpg

Hivi mna maana gani kutulelea mgombea ubunge makao makuu EAC darasa la saba mwanzo nilidhani kapiga O level kumbe yale yale ya Korogwe na Rorya afadhali huko hawakuficha kitu.Hivi unajua ikitokea Lema akishinda ubunge ataburuzwa mahakamani kwa kudanganya ana elimu asiyokuwa nayo.Kumbuka kesi ya Kihiyo wa Temeke alivyodhalilika !
 
VERY GUUUD NA NYIE KWANINI MMENLETA HUYU??

saddam_hussein.jpg
 
Hivi mna maana gani kutulelea mgombea ubunge makao makuu EAC darasa la saba mwanzo nilidhani kapiga O level kumbe yale yale ya Korogwe na Rorya afadhali huko hawakuficha kitu.Hivi unajua ikitokea Lema akishinda ubunge ataburuzwa mahakamani kwa kudanganya ana elimu asiyokuwa nayo.Kumbuka kesi ya Kihiyo wa Temeke alivyodhalilika !

katuni.jpg
 
KATUNI(121).jpg
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom