Upweke unanisumbua wakuu

huko bank huyawapata???? barabarabi?, jirani? kanisani? hadi uje huku??? wacha mchezo bana, mke mwema anatoka kwa Mungu na wala hutakiwi kutoa tangazo.

Biashara matangazo ikunda, ikibidi hata promoshen unafanya.
 
Ha ha ha ha Hatimae..........ha ha ha ngoja nikupigie simu kwanza, :clap2::clap2::clap2:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom