Upweke unanisumbua wakuu

Mkuu, naona wapo wanalio na vigezo tayari. Bila shaka ungeweka hata contacts zako. Si umeamua kuweka wazi??? Amua sasa, weka mawasiliano, mabinti waanze kujimwaga. Ushauri ili uweke ndani kabisa, interview miaka 2-3. Ok?!
 
hahahh lol
thanx for the compliment

hii signature sasa ya weza kukupatia mtu
"Natafuta ubavu wangu wajameni.

Thanks thanks thanks, ile avatar yako unaoneka bado mdogo(samahani lakini) kwa mambo ya ndoa na uchumba au naweza kuzungumza walau neno moja tuu
 
Thanks thanks thanks, ile avatar yako unaoneka bado mdogo(samahani lakini) kwa mambo ya ndoa na uchumba au naweza kuzungumza walau neno moja tuu

hahahahah lol
suit urself
its a free world my dear ..

( duu huyo sio mimi )lol
 
kweli leo tusiokua na elimu ya baada ya kuzaliwa tumekumbukwa lol

Umeona Maty eeehhhh,yaani huyu kaka ana ubinadamu wa hali ya juu....AGAPE love,si mtu anatubagua tusio soma....utapata mke mwema.....
 
ngoja nitie neno hapa....mkuu je unajua upweke ni ugonjwa? je umeona kuwa tatizo hilo la upweke ni mwenza? isije ikawa unaugua upweke wa majmbozi tu hii ndio hofu yangu...na je ukipata tiba je unajua tiba ile ni dozi ya muda mrefu na kama ikikuchosha upweke utakwisha kweli? ..ok GOD IS FIRST BEFORE ALL.
 
jamani mkifanikiwa,muwe mnasema,ili na mimi nikiwa tayari kutafuta wangu,nitume application yangu j.f.maybe na mimi wangu yupo humu jf
 
si nilikwambia subiri hadi mods waattach thanks zangu na kisses.
hao ma mods wenyewe wanakumaind wewe unazani wataleta hako ka parcel kangu ? mimi napoteza uvumilivu bana! nikiugua kisukari basi sabab ni wewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom