upungufu wa nguvu za kike

sababu ya kukosa hamu ya kufanya mapenzi zipo nyingi.

mfano
...mawazo au stress za kazi, nyumbani, shule n.k
...maambukizi katika sehemu za siri na via vya uzazi
...maandalizi wakati wa kufanya mapenzi/ wenza wengine wanashindwa kuwandaa vyema wenza wao.
...umri kuanzia miaka 45 na kuendelea kwa wanawake


kwa maelezo zaidi ya kidaktari........... napaiya@hotmail.com
 
Kwa kuwa haujaolewa maana yake hauna mahali pa kujaribia vuta subira wakati ukifika wewe utashangaa nguvu zitakapotoka nguvu unazo sema haujiamini tu goodday.
 
njia mbadala ndo zipi? maana siangalii picha za ngono kabisa wala sina mpenzi ila sina nguvu kabisa

sasa km huna mpenzi,umegunduaje kama una upungufu! kugundua si mpaka ufanye ili upime perfomance yako?
 
hiyo ni dalili ya kuwa na JINI MAHABA nione nikusaidie au nipigie 071* 964795 Kwa msaada zaidi.
 
tatizo hili ni kubwa sana kwa wanawake siku hizi.
Sababu
  1. kuanza ngono mapema i.e miaka tisa
  2. kuangalia mikanda ya ngono
  3. kupiga chabo wazazi
tiba
  1. kuwa na mpenzi mmoja unayempenda ki ukweli (usipende kwa sababu ya pesa)
  2. acha kuangalia picha za ngono
  3. tumia njia mbadala
njia mbadala zipi we mkimbizwa mbio?
 
Back
Top Bottom