Upumbavu wa TBC,Wabunge na Serikali

TBC ivunjwe,ianzishwe upya

  • Ndiyo, imeshindwa kazi,ivunjwe

    Votes: 2 100.0%
  • Hapana, uongozi tu ndo uondolewe

    Votes: 0 0.0%
  • Iachwe hivyo hivyo,inafanya vizuri

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    2

mkonozi

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
300
197
Ni aibu kubwa kwa nchi yenye watu milion 50 kupigania kuonesha bunge wazi, ambapo kimsingi ni haki ya wananchi kuona kinachoendelea ndani ya bunge lao.
Lakini upumbavu mkubwa ni pale unaposikia eti bei ya kurusha live ni BILIONI MOJA KWA SAA. Huu ni uwendawazimu.
Teknolojia wanayotumia TBC ni ya kizamani ambayo haitumiki tena duniani. Gharama ya ku live stream event kwa saa moja haizidi milioni 20. Tena hiyo milioni 20 ni mpaka mishahara ya watakaofanya hiyo kazi, na live streaming ya masaa manne.
Ziko mbinu nyingi mno rahisi, kwa sababu za kibiashara sitaweka hadharani ufundi wote unaohitajika.
Si ajabu,,wengi mmeona kwenye maharusi,,jinsi harusi inavyooneshwa live hapo hapo ukumbini.
Si ajabu,,wengi wenu mnafuatilia YouTube Live streaming.......wagombea karibu wote wa uraisi marekani wanaonesha kampeni zao live.
Usafirishaji wa habari na matukio ya bunge ni rahisi kuliko inavyoelezwa na serikali na TBC.
Tatizo mijitu haijasoma,,inakaa kwenye nafasi za serikali inajifanya kama TZ ni ya kwao wao na wake zake.
Serikali ilipaswa kutangaza tenda ya nani anaweza kurusha matangazo hayo kwa bei rahisi,,tunaweza tukawapa hao wachovu wa TBC.
Nape na kujifanya mtoto wa mjini,,haujui kitu kuhusiana na broadcasting,,hauna elimu yeyote ya broadcasting,,na umezungukwa na wapumbavu waliozoea status quo.
Gharama ya kurusha live bunge kwa masaa manne ni milioni 20
 
Kwa hiyo Mkuu kwa saa moja ni milioni tano, si ndio?
So 20 times 10 days za Bunge jumla ni mil 200.
Kuna vibao vingapi vya Bunge kwa mwaka ili tupate hela kamili? Anayejua atamwaga hapa!
 
Ni aibu kubwa kwa nchi yenye watu milion 50 kupigania kuonesha bunge wazi, ambapo kimsingi ni haki ya wananchi kuona kinachoendelea ndani ya bunge lao.
Lakini upumbavu mkubwa ni pale unaposikia eti bei ya kurusha live ni BILIONI MOJA KWA SAA. Huu ni uwendawazimu.
Teknolojia wanayotumia TBC ni ya kizamani ambayo haitumiki tena duniani. Gharama ya ku live stream event kwa saa moja haizidi milioni 20. Tena hiyo milioni 20 ni mpaka mishahara ya watakaofanya hiyo kazi, na live streaming ya masaa manne.
Ziko mbinu nyingi mno rahisi, kwa sababu za kibiashara sitaweka hadharani ufundi wote unaohitajika.
Si ajabu,,wengi mmeona kwenye maharusi,,jinsi harusi inavyooneshwa live hapo hapo ukumbini.
Si ajabu,,wengi wenu mnafuatilia YouTube Live streaming.......wagombea karibu wote wa uraisi marekani wanaonesha kampeni zao live.
Usafirishaji wa habari na matukio ya bunge ni rahisi kuliko inavyoelezwa na serikali na TBC.
Tatizo mijitu haijasoma,,inakaa kwenye nafasi za serikali inajifanya kama TZ ni ya kwao wao na wake zake.
Serikali ilipaswa kutangaza tenda ya nani anaweza kurusha matangazo hayo kwa bei rahisi,,tunaweza tukawapa hao wachovu wa TBC.
Nape na kujifanya mtoto wa mjini,,haujui kitu kuhusiana na broadcasting,,hauna elimu yeyote ya broadcasting,,na umezungukwa na wapumbavu waliozoea status quo.
Gharama ya kurusha live bunge kwa masaa manne ni milioni 20
Hapana, hizo billion ni kwa mwaka sio kwa siku ndugu!
 
Back
Top Bottom