upugufu wa damu na maji

Kadudu

Member
Mar 22, 2008
71
10
upungufu wa damu na maji kwa mama mjamzito wa miezi 2 unasababishwa na nini?
je vyakula gani vinafaa kurejesha damu na maji?
niwatakie eid mubarak njema.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom