Upotoshaji huu wa Gazeti la Jambo Leo ni mpaka lini?

Pinto ni "Nshuti" ya wenye mali.........mwenye kagazeti hako ni yule aliyetumwa akaseme na Mshua wake......
 
Gazeti kama hili linatakiwa kufunguliwa KESI YA UCHOCHEZI. Kilichoandikwa na mwandishi kanjanja wa Gazeti hili ni UCHOCHEZI WA WAZI KWA KUWATUKANA VIONGOZI WA KANISA KATOLIKI TANZANIA NA DUNIANI AKIWEMO KIONGOZI WAKE MKUU PAPA. Mwandishi huyu anaonekana ni kihiyo na anatumiwa tu na CCM kuandika uongo na ujinga kujaribu kuwaghilibu Watanzania wamchukie Dr. Slaa,Kanisa Katoliki na hatimaye CHADEMA. Hivi nani hajui salamu ya CHADEMA YA KUNYOSHA VIDOLE VIWILI NI ALAMA YA USHINDI YAANI 'V'-VICTORY??Ushetani hapa unatoka wapi??????

Kwa heshima na taadhima NAOMBA VIONGOZI WA CHADEMA WAKISHIRIKIANA NA UONGOZI WA KANISA KATOLIKI TANZANIA PAMOJA NA FAMILIA YA MAREHEMU STEVE KANUMBA WAFUNGUE KESI MAHAKAMANI YA UZALILISHAJI NA UCHOCHEZI
.

Kweli CCM inaelekea mwisho. Haya ni maneno ya MFA MAJI. Juzi kule Arumeru tulisikia DR.SLAA AKITUKANWA NA STEVEN WASSIRA ATI ALIIBA HELA YA MICHANGO YA MWALIKO WA PAPA KUJA TANZANIA NDO MAANA AKAFUKUZWA UPADRE. Ni maneno yaleyale toka kwa wana-CCM waliochoka na kufulia katika uwanja wa Siasa.Wanajaribu kutumia vijigazeti uchwara kuwapotosha Watanzania!

Chonde chonde Viongozi wa Kanisa Katoliki Tanzania hebu msikubali KUTUKANWA NA KUDHALILISHWA KWA DINI YENU KITWA NI YA MASHETANI. Huu ni uongo ambao unaweza kuchochea hasira za WAUMINI WA DHEHEBU HILO NA KUPELEKEA MACHAFUKO HAPA NCHINI. Msikubali,chukueni hatua za maksudi kukomesha ushenzi huu.
 
MCT- Media Council of Tanzania wako wapi katika hili?

Nini msimamo wao? Kwanini wanaachia watu washenzi wanaandika ushenzi kwenye magazeti kutukana watu,vyama na dini zao????Je,wanataka Tanzania iwake moto kama Rwanda ile miaka ya 1994? Hivi MCT hamjui kuwa WACHOCHEZI WAKUBWA WA MAUAJI YA KIMBARI YA RWANDA ILIKUWA NI VYOMBO VYA HABARI(REDIO NA MAGAZETI)???

MCT tunataka mtoe tamko. Vinginevyo mjiuzulu.
 
Leo ktk gazeti la Jambo Leo,ukurasa wa kwanza kuna kichwa cha habari kinachosema Chadema Inahusishwa na mashetani,na eti Dr.Slaa ana jini lake linalomsaidia mambo yake ya kisiasa,pia ktk dini hiyo kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Pope naye yumo. Mwandishi amekwenda mbali zaidi kwa kumuhusisha Marehemu Kanumba na hiyo dini ya mashetani.Katika kujenga hoja amewaonyesha viongozi mbalimbali wa Dunia kuwa ni waumini wa dini hyo ya kishetani..Nimesikitishwa na umbumbumbu wa mwandishi,ujengaji wake wa hoja na zaidi kuwadhalilisha watu bila ushahidi wa kimantiki..msingi wa hoja yake kuwa Chadema na Dr.SLAA ni wafuasi wa shetani ni aina ya salamu ya vidole viwili inayotmiwa na Chadema,kuwa ni salamu ya kishetani na hivo Chadema ni ya mashetani na Dr.Slaa ana jini linalomlinda.. Kwa kweli huu ni upotoshaji mkubwa,haupaswi kuachwa,kulivamia pia kanisa kwa kumuhusisha kiongoz wao ni upotoshaji,ni kuuambia umma kuwa wote walio chini ya kiongozi huyo (Pope) nao ni waabudu sanamu!huu ni uzushi,uzandiki na ukomo wa uelewa wa mambo ya kidunia. MY TAKE:...Alama ya "V" inayotumiwa na Chadema haina uhusiano na mashetani..miaka mingi iliyopita,Jemedari wa vita toka Urumi(Roma) Julius Caiser aliwavamia maadui zake na kuwapga kwa kusafil umbali mrefu,alipofika ktk himaya ya adui aliua na kuteketeza kila kilicho cha adui..kufikisha ujumbe kwa walio Rome na Senator J.Caiser alisema "Veni,Vidi,Vici" = "I came,I saw,I conquered".. Hii ndo ikawa alama ya ushindi,na J.Caiser alipopita mbele za watu alikunja vidole kwa alama ya V kama tafsiri ya ushindi,na askari wote waliopgana ktk vita hvyo waliwekewa alama ya "V" tatu ktk mabega yao kama alama ya ushujaa,na t oka hapo V ikawa alama ya cheo ktk jeshi...kumbe alama ya V kwa Chadema si ushetani,haina mahusiano na mashetani...ni alama ya "Victory"...mashabiki wa mpira hutmia,wachezaji na hata makocha wao(japo wengine hufikili kuwa wanamanisha watashnda goli mbili).,si Chadema peke yao!JAMBO LEO Lisigeuke kuwa udaku,lisidhalilishe dini na viongozi wa watu,wajiheshimu!Wasitumike..kuna mbinu nyingi za kuibana Chadema lakn si kwa mtindo huo!kweli Chadema imewabana na bado kidogo mtaachia...NAWASILISHA
Mkuu inaonesha unataka kutuaminisha kuwa wanaotumia hiyo alama ni wauaji tena wanaoteketeza vitu angalia hapo kwenye RED na hayo tumeyashuhudia kule Misri,Tunisia na Libya waliokuwa wanatumia alama kama hiyo ya CDM tumeona walichokifanya na hadi leo hizo nchi hazina amani.Nakushauri unapoanzisha thread fanya uchaguzi wa maneno ili ionekane unapingana na jambo lililokukera vinginevyo hapo hujasema kitu.
 
Mjahidina Juma Pinto ndiye mmiliki na mhariri mkuu wa gazeti la Jambo Leo. Hainishangazi mtu huyu kuruhusu habari hiyo make huwa ni nazi wa chama cha magamba na mdini sana. Huyu bwana alikuwa uingereza kipindi lakini alivyotimliwa uk yeye anajua siri. Hata hivyo alipata kupewa tenda kubwa sana ya kuandaa matangazo ya ku-promote utalii kwa kuandaa mabango ambayo yalipaswa kuwekwa kwenye mabasi ya jijini London na vituo vya train lakini hakuna alichofanya matokeo yake akaweka matangazo ya kichovu kabisa tena ya kuhesabu akishirikiana na rafiki yake Abuu. Pia wakapewa hela nyingi tu na Malinzi huyu mkiti wa BMT sasa kuanzisha gazeti ambalo nalo lingewahabarisha watanzania na kutangaza utalii nalo akashiriki kuchakachua. Bila shaka ndiko alikopatia mtaji wa kuja kuanzisha gazeti na rafiki yake mchovu juma mabilikila.

Mkuu Juma Pinto sio mmiliki wa gazeti hilo.. Yeye anatumika pale na analipwa vizuri kwa kazi yake.. Gazeti linaendeshwa na Riz1 kwa niaba ya baba yake..
 
Mkuu inaonesha unataka kutuaminisha kuwa wanaotumia hiyo alama ni wauaji tena wanaoteketeza vitu angalia hapo kwenye RED na hayo tumeyashuhudia kule Misri,Tunisia na Libya waliokuwa wanatumia alama kama hiyo ya CDM tumeona walichokifanya na hadi leo hizo nchi hazina amani.Nakushauri unapoanzisha thread fanya uchaguzi wa maneno ili ionekane unapingana na jambo lililokukera vinginevyo hapo hujasema kitu.

Soma vizuri tena,ruhusu oxygen ktk mwili ili ubongo urelax na ufikili vizuri...usikaribishe uti wa mgongo uchukue nafasi ya ubongo,mana haya ndo madhala yake!...tafsili rahisi ni kuwa "V" SI ALAMA YA VITA,.ni alama ya ushindi,humtia moyo yvue aliye ktk harakati za kusaka ushindi,ndo mana nikakwambia hata makocha na wachezaji huitumia sana viwanjani...je nao ni wamwaga damu?nilitumia mfano huo ili vichwa kama wewe vitambue kwa urahisi,lakn inaonekana cdo!wenye uelewa wao wametambua
 
Gazeti kama hili linatakiwa kufunguliwa KESI YA UCHOCHEZI. Kilichoandikwa na mwandishi kanjanja wa Gazeti hili ni UCHOCHEZI WA WAZI KWA KUWATUKANA VIONGOZI WA KANISA KATOLIKI TANZANIA NA DUNIANI AKIWEMO KIONGOZI WAKE MKUU PAPA. Mwandishi huyu anaonekana ni kihiyo na anatumiwa tu na CCM kuandika uongo na ujinga kujaribu kuwaghilibu Watanzania wamchukie Dr. Slaa,Kanisa Katoliki na hatimaye CHADEMA. Hivi nani hajui salamu ya CHADEMA YA KUNYOSHA VIDOLE VIWILI NI ALAMA YA USHINDI YAANI 'V'-VICTORY??Ushetani hapa unatoka wapi??????

Kwa heshima na taadhima NAOMBA VIONGOZI WA CHADEMA WAKISHIRIKIANA NA UONGOZI WA KANISA KATOLIKI TANZANIA PAMOJA NA FAMILIA YA MAREHEMU STEVE KANUMBA WAFUNGUE KESI MAHAKAMANI YA UZALILISHAJI NA UCHOCHEZI
.

Kweli CCM inaelekea mwisho. Haya ni maneno ya MFA MAJI. Juzi kule Arumeru tulisikia DR.SLAA AKITUKANWA NA STEVEN WASSIRA ATI ALIIBA HELA YA MICHANGO YA MWALIKO WA PAPA KUJA TANZANIA NDO MAANA AKAFUKUZWA UPADRE. Ni maneno yaleyale toka kwa wana-CCM waliochoka na kufulia katika uwanja wa Siasa.Wanajaribu kutumia vijigazeti uchwara kuwapotosha Watanzania!

Chonde chonde Viongozi wa Kanisa Katoliki Tanzania hebu msikubali KUTUKANWA NA KUDHALILISHWA KWA DINI YENU KITWA NI YA MASHETANI. Huu ni uongo ambao unaweza kuchochea hasira za WAUMINI WA DHEHEBU HILO NA KUPELEKEA MACHAFUKO HAPA NCHINI. Msikubali,chukueni hatua za maksudi kukomesha ushenzi huu.

HATUCHUKUI HAtua hata kidogo. Akupigae la kushoto kofi geuza na la kulia pia na useme asante. Itajilipa yenyewe soon.
 
jaman sasa mwandishi unapotegemea kupata taarifa kutoka kwa akina Livingstone Lusinde...aka Kibajaj..then unategemea nini..
waandishi wengine hovyo kweli..akili zao bana shida kweli..
kwako mwandishi na Gazeti lako..."your embarasing yourself,your colleagues and your proffession......
 
Aliyewakaribisha Freemason Tanzania ni Benjamin Mkapa.
Kikwete na Sheikh Yahya, Kapuya, Membe, Mengi, Magufuli, Mkono, Mwale, Lowassa ni baadhi tu ya mamembers wa Freemason.
Wana Lodge yao maeneo ya Ngaramtoni panaitwa Masonic Lodge.

CHADEMA inawanyima usingizi magamba wamebaki wanahaha tu.

Wao wana fedha za Freemason

Sisi tuna Mungu tusiogope tutashinda!

Unaposema Freemasons walikaribishwa nchini hapa na Mkapa una maana walikuja hapa wakati wa enzi ya Urais wa Mkapa? Hiyo sio kweli hata kidogo kwani Andy Chande has been in this country for countless years long before Mkapa even dreamt of ever becoming President and he is the boss of Freemasons in East Africa!!
 
MCT- Media Council of Tanzania wako wapi katika hili?

Nini msimamo wao? Kwanini wanaachia watu washenzi wanaandika ushenzi kwenye magazeti kutukana watu,vyama na dini zao????Je,wanataka Tanzania iwake moto kama Rwanda ile miaka ya 1994? Hivi MCT hamjui kuwa WACHOCHEZI WAKUBWA WA MAUAJI YA KIMBARI YA RWANDA ILIKUWA NI VYOMBO VYA HABARI(REDIO NA MAGAZETI)???

MCT tunataka mtoe tamko. Vinginevyo mjiuzulu.

Ha ha haaa
Kitaani kwetu hapo kwenye red tungesema "why do you let this faken pipo, use their faken minds to wite this faken story in their faken papers because they are being paid faken money from our faken taxes stolen by our faken leaders to fulfill their faken desire?
 
Leo ktk gazeti la Jambo Leo,ukurasa wa kwanza kuna kichwa cha habari kinachosema Chadema Inahusishwa na mashetani,na eti Dr.Slaa ana jini lake linalomsaidia mambo yake ya kisiasa,pia ktk dini hiyo kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Pope naye yumo. Mwandishi amekwenda mbali zaidi kwa kumuhusisha Marehemu Kanumba na hiyo dini ya mashetani.Katika kujenga hoja amewaonyesha viongozi mbalimbali wa Dunia kuwa ni waumini wa dini hyo ya kishetani..Nimesikitishwa na umbumbumbu wa mwandishi,ujengaji wake wa hoja na zaidi kuwadhalilisha watu bila ushahidi wa kimantiki..msingi wa hoja yake kuwa Chadema na Dr.SLAA ni wafuasi wa shetani ni aina ya salamu ya vidole viwili inayotmiwa na Chadema,kuwa ni salamu ya kishetani na hivo Chadema ni ya mashetani na Dr.Slaa ana jini linalomlinda.. Kwa kweli huu ni upotoshaji mkubwa,haupaswi kuachwa,kulivamia pia kanisa kwa kumuhusisha kiongoz wao ni upotoshaji,ni kuuambia umma kuwa wote walio chini ya kiongozi huyo (Pope) nao ni waabudu sanamu!huu ni uzushi,uzandiki na ukomo wa uelewa wa mambo ya kidunia. MY TAKE:...Alama ya "V" inayotumiwa na Chadema haina uhusiano na mashetani..miaka mingi iliyopita,Jemedari wa vita toka Urumi(Roma) Julius Caiser aliwavamia maadui zake na kuwapga kwa kusafil umbali mrefu,alipofika ktk himaya ya adui aliua na kuteketeza kila kilicho cha adui..kufikisha ujumbe kwa walio Rome na Senator J.Caiser alisema "Veni,Vidi,Vici" = "I came,I saw,I conquered".. Hii ndo ikawa alama ya ushindi,na J.Caiser alipopita mbele za watu alikunja vidole kwa alama ya V kama tafsiri ya ushindi,na askari wote waliopgana ktk vita hvyo waliwekewa alama ya "V" tatu ktk mabega yao kama alama ya ushujaa,na t oka hapo V ikawa alama ya cheo ktk jeshi...kumbe alama ya V kwa Chadema si ushetani,haina mahusiano na mashetani...ni alama ya "Victory"...mashabiki wa mpira hutmia,wachezaji na hata makocha wao(japo wengine hufikili kuwa wanamanisha watashnda goli mbili).,si Chadema peke yao!JAMBO LEO Lisigeuke kuwa udaku,lisidhalilishe dini na viongozi wa watu,wajiheshimu!Wasitumike..kuna mbinu nyingi za kuibana Chadema lakn si kwa mtindo huo!kweli Chadema imewabana na bado kidogo mtaachia...NAWASILISHA
Tatizo in uandisshi iliojaa majungu na hauna research ni story za kijiweni any way jambo leo ni sister ya jambo london mmiliki Juma Pinto Education Zero so there you are do not expect anything of value from this lot
 
Waacheni wa-enjoy ustaarabu wa Wakatoliki na wakristu kwa ujumla. Kuna dini moja hapa Tanzania ambayo ingekuwa ndiyo gazeti limeiandika kuwa wanaabudu mashetani, na kuwa kiongozi wao nae anaabudu mashetani, then hayo maandamano ya Ijumaa kwenda kuchoma ofisi za hilo gazeti Kova asingetahimili. But kwetu wakatoliki, wakisema hivyo tunacheka, na kuwaombea siku moja waende shule waelimike na wastaarabike...

Kwa hili umenifurahisha safi sana siyo lile la CBE, Ni kweli maandamano yangekuwa hatari na watu wangepoteza maisha achana nao hawajeenda shule ndiyo maradhi yao.
 
Back
Top Bottom