Upotoshaji huu wa Gazeti la Jambo Leo ni mpaka lini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ngaliba Dume, Apr 16, 2012.

 1. Ngaliba Dume

  Ngaliba Dume JF-Expert Member

  #1
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,186
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 38
  Leo ktk gazeti la Jambo Leo, ukurasa wa kwanza kuna kichwa cha habari kinachosema CHADEMA Inahusishwa na mashetani, na eti Dr.Slaa ana jini lake linalomsaidia mambo yake ya kisiasa, pia ktk dini hiyo kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Pope naye yumo.

  Mwandishi amekwenda mbali zaidi kwa kumuhusisha Marehemu Kanumba na hiyo dini ya mashetani. Katika kujenga hoja amewaonyesha viongozi mbalimbali wa Dunia kuwa ni waumini wa dini hyo ya kishetani.

  Nimesikitishwa na umbumbumbu wa mwandishi, ujengaji wake wa hoja na zaidi kuwadhalilisha watu bila ushahidi wa kimantiki..msingi wa hoja yake kuwa CHADEMA na Dr. Slaa ni wafuasi wa shetani ni aina ya salamu ya vidole viwili inayotumiwa na CHADEMA, kuwa ni salamu ya kishetani na hivo CHADEMA ni ya mashetani na Dr. Slaa ana jini linalomlinda.

  Kwa kweli huu ni upotoshaji mkubwa,haupaswi kuachwa,kulivamia pia kanisa kwa kumuhusisha kiongoz wao ni upotoshaji,ni kuuambia umma kuwa wote walio chini ya kiongozi huyo (Pope) nao ni waabudu sanamu!huu ni uzushi,uzandiki na ukomo wa uelewa wa mambo ya kidunia.

  MY TAKE:...Alama ya "V" inayotumiwa na CHADEMA haina uhusiano na mashetani. Miaka mingi iliyopita, Jemedari wa vita toka Urumi(Roma) Julius Caiser aliwavamia maadui zake na kuwapiga kwa kusafiri umbali mrefu, alipofika ktk himaya ya adui aliua na kuteketeza kila kilicho cha adui..kufikisha ujumbe kwa walio Rome na Senator J.Caiser alisema "Veni,Vidi,Vici" = "I came,I saw,I conquered".. Hii ndo ikawa alama ya ushindi,na J.Caiser alipopita mbele za watu alikunja vidole kwa alama ya V kama tafsiri ya ushindi, na askari wote waliopigana ktk vita hvyo waliwekewa alama ya "V" tatu ktk mabega yao kama alama ya ushujaa,na toka hapo V ikawa alama ya cheo ktk jeshi...

  Kumbe alama ya V kwa CHADEMA si ushetani, haina mahusiano na mashetani...ni alama ya "Victory"...mashabiki wa mpira hutmia, wachezaji na hata makocha wao (japo wengine hufikili kuwa wanamanisha watashnda goli mbili).,si CHADEMA peke yao! JAMBO LEO Lisigeuke kuwa udaku, lisidhalilishe dini na viongozi wa watu, wajiheshimu! Wasitumike..kuna mbinu nyingi za kuibana Chadema lakn si kwa mtindo huo! kweli CHADEMA imewabana na bado kidogo mtaachia...NAWASILISHA
   
 2. domo bwakubwaku

  domo bwakubwaku Senior Member

  #2
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  magamba at work haya mambo wanaayaanzisha wenyewe mwisho yankulaga kwao hivi tukianza kuwataja waumini wa freemasons hapa mjini mbona magamba watakimbia
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 8,787
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 38
  Labda walikosa heading ya maana wakaon iyo itauza!
   
 4. qq.com

  qq.com JF-Expert Member

  #4
  Apr 16, 2012
  Joined: Jan 9, 2012
  Messages: 372
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nani mmiliki wa gazeti hili?
   
 5. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #5
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,822
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii ni hatari, huyo mhariri aliyeidhinisha huo upuuzi uchapwe ni balaa kubwa zaidi! Sijui wanatumia nini kufikiri hawa majitu!
   
 6. M

  Mukalunyoisa JF-Expert Member

  #6
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 139
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Basi hata mmlikiwa gazeti naye ni freemason
   
 7. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #7
  Apr 16, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 6,672
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 48
  Vijana waliomkamata Ghadafi na kumuua kule Libya walikuwa wanashangilia kwa kuonyesha alama ya V... Je nao ni Freemasonry??
   
 8. Babuu Rogger

  Babuu Rogger JF-Expert Member

  #8
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 629
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 18
  Hili gazeti linatumiwa sana na MAGAMBA baada ya kuona gazeti la Uhuru halisomwi tena.
   
 9. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #9
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,319
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 38
  Dr Ridhiwani Kikwete LLB,LLM,LLD
   
 10. M

  Molemo JF-Expert Member

  #10
  Apr 16, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,196
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 48
  Juma Pinto
   
 11. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #11
  Apr 16, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 4,817
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 48
  Na jeshini mtu mwenye cheo cha "vv" inamaanisha ana mashetani mawili...lol. CCM wapo katika wakati mgumu Watanzania tushirikiane kuikataa katakata CCM
   
 12. K

  Kintiku JF-Expert Member

  #12
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 519
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 18
  Watu wanaposikia kuwa kuna hatua UKIMWI hushambulia mishipa ya fahamu, yaani mtu anakuwa na ''afya'' yake tu lakini kichwani anakuwa dakika tatu. Hali hii ikimpata mtu watu huwa hawaelewei hatua aliyopo mtu huishia tu kusema ''siku hizi fulani simuelewi ana mambo fulani ya ajabu sijui nini kimempata".
   
 13. D

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #13
  Apr 16, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,330
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 38
  V stand instead of VICTORY.wameishiwa propaganda
   
 14. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #14
  Apr 16, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,160
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 38
  TATIZO ni kwamba umesoma mwenyewe na kuchambua mwenyewe na kila mmoja anatakiwa ku-comment ulichoandika wewe!
   
 15. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #15
  Apr 16, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,789
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 48
  Aliyewakaribisha Freemason Tanzania ni Benjamin Mkapa.
  Kikwete na Sheikh Yahya, Kapuya, Membe, Mengi, Magufuli, Mkono, Mwale, Lowassa ni baadhi tu ya mamembers wa Freemason.
  Wana Lodge yao maeneo ya Ngaramtoni panaitwa Masonic Lodge.

  CHADEMA inawanyima usingizi magamba wamebaki wanahaha tu.

  Wao wana fedha za Freemason

  Sisi tuna Mungu tusiogope tutashinda!
   
 16. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #16
  Apr 16, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,691
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 38
  Hiki kijarida sijawahi kunkinunua hata kukisoma
   
 17. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #17
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,603
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Waandishi makanjanja,
  mnatumwa mumcha
  fue docta na chadema!
  Na mnamuweka na papa!
  Nyie hamna adabu.
  Mmetafuta mbinu nyingi
  za kumchafua lakini docta
  hachafukiki. Tena watakao
  soma watawaona ni
  makanjanja!
   
 18. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #18
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 3,984
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 63
  ukiunganisha hizi dots zote huwezi kumuweka nje Sheikh Yahaya na kama unavyojua hawa jamaa kwenye mtandao huu hawaamini kitu kingine chochote mbali ya mashetani kuwa ndio chanzo cha mafanikio. Hivyo wakiona mtu yeyote anaelekea kufanikia katika jambo lolote ni lazima wayaongee mambo haya wazi wazi kudhiirisha wanachokiamini.

  Fanya mambo yako mengine, achana na hao. Kibaya pesa ilishaingia mikononi mwao!


   
 19. p

  peter tumaini JF-Expert Member

  #19
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 575
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hana uelewa na alichokiandika.
   
 20. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #20
  Apr 16, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 11,426
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 48
  Mbona hata marehemu AA Karume alionyesha vidole hivyo? a-google aone na atuambia kama na yeye ni freemason.
   
 21. W

  WILSON MWIJAGE JF-Expert Member

  #21
  Apr 16, 2012
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 277
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndugu,

  Nilishatoa swali siku za nyuma kama baadhi ya magazeti wanafanya utafiti au wanaandika kwa sababu wananyenzo za kuandika. Magazeti haya inabidi walete ushahidi wa kudhibitisha wanachokisema vinginevyo ni kuleta vurugu na uasama baina ya watanzania.

  Waliowaonyesha katika picha HAWAONYESHI alama ya vidole viwili (V), bali vidole vitatu. Baraza la Habar Tanzania wako wapi kwa hili?
   
 22. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #22
  Apr 16, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,377
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 38
  Lazima atakuwa Mh Lusinde, a.k.a. Chizi wa Kuzaliwa!
   
 23. M

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #23
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 15,413
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 48
  Sheikh Professa Basalleh
   
 24. e

  evoddy JF-Expert Member

  #24
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 18
  Siku zote CHADEMA tunaamini katika Mungu na wale wanao usisha viongozi wetu hawana sera bali wanatumiwa.

  Nataka kujua huyu mhariri wa gazeti hili alikwenda na kusoma shule ipi ?amewadharirisha wanafani hii
   
 25. M

  Mercyless JF-Expert Member

  #25
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 637
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  Bila shaka mhariri na mtayarishaji wa hiyo habari wote watakuwa wanafikiri kwa kutumia masaburi!!!!! Viboga wakubwa!!
   
 26. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #26
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,177
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 38
  Macho ya habari maelezo yanatizama Mwanahalisi tu, huku kwingine mnaweza andika chochote.
   
 27. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #27
  Apr 16, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 880
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  Kweli kabisa,hilo gazeti la jambo leo linamilikiwa na Ridhiwani Kikwete.Gazeti jingine ni TAZAMA.
   
 28. Aggrey86

  Aggrey86 JF-Expert Member

  #28
  Apr 16, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 856
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 18
  Huyo mwandishi ni mpuuzi tu na mwariri wake akaacha habari ichapishwe vichwaa vyao vimejaa Matope tu!
   
 29. Makete Kwetu

  Makete Kwetu JF-Expert Member

  #29
  Apr 16, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 531
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 18
  Hili gazeti kwa nini lisifutwe au wanasubiri achafuliwe Muikulu kwanza....Ze utamu mtandao ilikuwa hivihivi..waliacha ikachafua watu....ilivyo mgusa Muikulu ndo wakashituka
   
 30. kanga

  kanga JF-Expert Member

  #30
  Apr 16, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ASKOFU MKUU MWANDHAMA KARDINAL POLYCARP PENGO ASKOFU MKUU KATOLIKI DAR ES SALAAM NAOMBA SANA UWASILISHE MALALAMIKO YETU WAKIRISTO BARAZA LA MAADILI LA HABARI ILI MHARIRI NA MCHAPISHAJI AWE RESPONSIBLE.
  Mhariri wa jambo leo kuwa mtumishi na mbeba simu wa familia ya janga la Taifa siyo sahihi kutukanisha watu imani yao kwa sababu ya misimamo ya siasa zao.Mbona hakuwa wa kwanza kuandika wakati sheikh yahaya akitoa ulinzi wa mashetani kwa JK na kutabiria watu vifo.LAZIMA SASA IRRESPONSIBLE JOURNALIST TO FEEL THE PINCH OF THEIR RYTHM
   

Share This Page