Upotevu wa hela CBE Dodoma

Magarinza

Senior Member
May 9, 2008
122
13
Habari nilizonazo kutoka chuo cha biashara (CBE) Dodoma zinabainisha kuna wizi wa juu wa kiasi cha tshs 7mil za serekali ya wanafunzi wa chuoni hapo.

Juma tano ya wiki hii bunge la wanafunzi katika chuo hicho lilipitisha azimio la kuundwa tume huru ili ichunguze ni wapi hasa pesa hizo zilipelekwa.

Taarifa kutoka chuoni hapo zinaonyesha fedha hizo zilitumiwa na viongozi waliomaliza muda wao March 2009.

Inaonesha fedha hizo zimetumika pasipo vielelezo vyovyote vinavyoonesha zilitumiwa kufanyia shughuli gani.
 
Mbegu ya ufisadi ikianza kwa wanafunzi..je hawa wakiwa viongozi baadae mustakbali wa taifa utakuwaje?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom