Upo wapi saa hizi mkuu..?

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,491
54,884
Nipo hapa maeneo ya bakule club najaribu kuwaza na kuwazua. nlikuja kula mdudu pande hizi lakini naona pamepoa sana. napenda kukaa sehemu yenye makelele na fujofujo. napendaa kukaa sehemu iliyo changamka. Wapi ulipo? pamechangamka/kumekucha? Ndulu kacheka kwa wafanyakazi serikalini, naamin wengi mumetoka. upo wapi? enjoy. mia
 
Afu huyu mdudu anaharibu shape wa wanaume wa Dar kama nini.
Unakutana na mwanamme uso mwembamba hauna nyama, mikono myembamba, miguu myembamba, afu ana kitambi kirefu.

Jamani punguzeni mdudu na bia au muwe mnaenda gym. Duh siku ya kwanza nlidhani niko Mars
 
Dah!!! :lol:
 
Its not even funny, yaani unakutana na mtu hujui hata umtumieje. Kakongorolewa na mdudu, dah wananichoshaje!?

Eti ana kitambi chini ya manyonyo yake afu maeneo ya kitovu tumbo dogo, si wizi huu

hahahahahah.......duh...The Finest huyo! Mi simo!:lol: nimechekaje!
 
Aaah, mimi asubuhi hii nitakuwa shambani tu.
Baada ya shughuli za shamba na mifugo kwa wiki nzima, huwa wikiendi baada ya vikao vya kiji kama vipo asubuhi, huwa napenda kwa kipindi hiki kuja shamba nakaa kivulini nikiangalia mazao jinsi yalivochomoza na maendeleo yake.
Hiyo ni kwa wikiendi hizi.
Tofauti na kipindi hiki huwa nakwendaga either kwenye maporomoko ya maji, milimani au kuendesha baiskeli, kote huko lazima nibebe miziki ya kispanish/latino au country musics pia Mang'oma
 
Afu huyu mdudu anaharibu shape wa wanaume wa Dar kama nini.
Unakutana na mwanamme uso mwembamba hauna nyama, mikono myembamba, miguu myembamba, afu ana kitambi kirefu.

Jamani punguzeni mdudu na bia au muwe mnaenda gym. Duh siku ya kwanza nlidhani niko Mars

mdudu anaendana na valuu. halafu baadae unazimua na kili baridi.mia
 
Nipo hapa maeneo ya bakule club najaribu kuwaza na kuwazua. nlikuja kula mdudu pande hizi lakini naona pamepoa sana. napenda kukaa sehemu yenye makelele na fujofujo. napendaa kukaa sehemu iliyo changamka. Wapi ulipo? pamechangamka/kumekucha? Ndulu kacheka kwa wafanyakazi serikalini, naamin wengi mumetoka. upo wapi? enjoy. mia

kama unapenda fujo na makelele njoo hapa workshop yetu hapa Keko, kuna mashine za kuchana mbao zina kelele b'laa. Bila kusahau sisi wenyewe ambao ili tuskizane inabidi tuongee kwa sauti kubwa!
Huyo mdudu unaeza chukua 'take away' ukaja kulia huku.
Sawasawa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom