Upinzani watangaza mapambano 2008

Jmushi,

Unajichanganya sana kwenye posts zako hadi inakuwa vigumu kukujibu. Kuwa na kitu kimoja specific unachotaka kujibiwa na utajibiwa (if any). Unajichanganya sana mkuu hadi inatisha.

Nataka majibu yote!

Nataka pia unionyeshe nilipojichanganya!

NANI ANAMCHANGANYA NANI NA SASA INAONEKANA KUWA NYIE MNAMPIGIA KIFUA KIKWETE NA ZITTO...SI NDIO WACHANGANYAJI NYIE?...AMA NDO MIMI MUULIZA MASWALI MCHANGANYIKO NINAEWACHANGANYA?

Nani mwenye kumchanganya nani?

Be specific Pls
 
Nataka majibu yote!

Nataka pia unionyeshe nilipojichanganya!

NANI ANAMCHANGANYA NANI NA SASA INAONEKANA KUWA NYIE MNAMPIGIA KIFUA KIKWETE NA ZITTO...SI NDIO WACHANGANYAJI...AMA NDO MIMI NDI MUULIZA MASWALI MCHANGANYIKO?

Nani mwenye kumchanganya nani?

Be specific Pls

Twende na maswali machache at a time...

What about three at a time.....

Anza:
 
Nataka majibu ambayo yataondoa utata wa nani ni nani na nani anataka nini na ni kivipi!
 
Twende na maswali machache at a time...

What about three at a time.....

Anza:

Kwanini hajiangaishi na utafutwaji wa Balali yeye kama mzalendo na mtu mzito KUTOKA Tanzania ambaye na yeye alishaweka wazi kupinga ufisadi?
Ama na yeye anakubaliana na Kikwete kuwa Balali haitajiki?
 
Kwanini hakupewa uwaziri mkuu ama something ambayo ataweza kuwatumikia wananchi ipasavyo kimaamuzi?
Ye anakubali vipi kuwa cheap kiasi hicho?
Kwa nini yeye ndio amsikilize Kikwete tu kila siku!?
Je Kikwete naye keshawahi kumsikiliza hata siku moja?
Je atamsikiliza this time around?
Kwanini ajitoe mzima mzima kussapoti mambo amabyo bado hatujaona umuhimu wa kuyasapoti kwasababu ya namna wananvyodili na mafisadi?
Je Zitto amepinga urafiki na Kikwete kiasi cha kujipindua kiasi hicho?
JE ANAAMINI KUWA MABADILIKO HAYO YATAHUSISHA KUWAKWIDA MAFISADI KAMA BALALI NA CHENGE?
Ama they still share the same ideas with His Excellence kuwa wasijali kuitwa mafisadi?

Ebo! Yaani wewe umeshatufanya sisi wanafunzi wako, unaibuka na maswali yako ambayo hayana ground yeyote unataka tukujibu tu ili? Sisi tunatoa maoni yetu katika issues hapa ambazo zimeibuliwa na Shy, sasa kama una personal issues na Zitto mpigie simu umalizane naye.
 
Kwanini hajiangaishi na utafutwaji wa Balali yeye kama mzalendo na mtu mzito KUTOKA Tanzania ambaye na yeye alishaweka wazi kupinga ufisadi?
Ama na yeye anakubaliana na Kikwete kuwa Balali haitajiki?

Issue ya Balali ni issue ya polisi na vyombo vya usalama. Zitto ameletwa hapa na state dept ya USA kwa mambo tofauti kabisa so sidhani kama ni kazi yake kutumia muda huu kudai mambo ya Balali.

Kama ni hivyo, anaweza kurudi nyumbani na kuomba visa upya na akaja tena US kumtafuta Balali.

BTW.... wewe uko marekani, je umefanya nini kumpata Balali?
 
Ebo! Yaani wewe umeshatufanya sisi wanafunzi wako, unaibuka na maswali yako ambayo hayana ground yeyote unataka tukujibu tu ili? Sisi tunatoa maoni yetu katika issues hapa ambazo zimeibuliwa na Shy, sasa kama una personal issues na Zitto mpigie simu umalizane naye.

Sina personal issue yoyote ile na Zitto!
Kwanza mimi ni shabiki wa Zitto ila nina maswali jamani na si tuanze kudharauliana na kufikiriana kivingine!
There's nuttin btn me n Mh!
 
Issue ya Balali ni issue ya polisi na vyombo vya usalama. Zitto ameletwa hapa na state dept ya USA kwa mambo tofauti kabisa so sidhani kama ni kazi yake kutumia muda huu kudai mambo ya Balali.

Kama ni hivyo, anaweza kurudi nyumbani na kuomba visa upya na akaja tena US kumtafuta Balali.

BTW.... wewe uko marekani, je umefanya nini kumpata Balali?

Sasa kwasabau umeshaamua kunidharau na ndio maana huja take time kusoma previous postings!
Mimi nina uwezo wa kukusanya signature za wamarekani hapa na itakuwa mshike mshike!
 
Kwi kwi kwi...NO COMMENT!
 
Sasa kwasabau umeshaamua kunidharau na ndio maana huja take time kusoma previous postings!
Mimi nina uwezo wa kukusanya signature za wamarekani hapa na itakuwa mshike mshike!

Ninasubiria kuona ukifanya hivyo mkuu.... Katika hili la ziara ya Zitto hapa USA na kukamatwa kwa Balali, naona kama unafanya kusudi kulazimisha Zitto afanye jambo ambalo ni kinyume na makubaliano ya kidplomasia kati ya nchi na nchi, na pia ni kinyume na utendaji wa vyombo vya usalama duniani.

Next....
 
1)MKJJ Nauliza kwasababu ni maswali muhimu na wala si eti ni for the sake of kuuliza!

Maswali magumu kwa nani?

Hii naweza kuona kama ni dharau kwangu!

Inawezekana nimedharau mtindo wa maswali yako.

2)Hili la uwaziri mkuu ni ni mfano tu!

Ni mfano mbovu!

Kwanza nilishawahi kukutana na yeye akiwa na Mbowe..Tena kabla ya umaarufu huu!

Which means what? ur special?

Na kuwaambia kuwa kwanini Kikwete haja consider kuwashirikisha wapinzani kwenye ujenzi wa nchi provided wana nia nzuri na nchi?

Wapinzani hawahitaji kushirikishwa kuijenga nchi yao, kila mtu kwa nafasi yake na kwa namna yake anashiriki. Yaani unaamini ili kuijenga nchi lazima uwe kwenye serikali ya Kikwete? Halafu hili ni swali ambao mwenye kulijibu ni Ikulu. Kama unahitaji contacts za Salva au JK nishtue nitakupatia maana hili ni swali zuri. Lakini kwa vile linauliza official response, then only the official channels zihusishe.

Kama hakumbuki nitamkumbusha..Coz anaweza akawa amesahahu kwasababu huyu bwana kama ilivyo kwa watu wengine maarufu anakutana na watu wengi!

Itakuwaje kama nini wewe unayehitaji kukumbushwa?

3)Kama hataki dezo dezo..Then kamati ya madini unaiita nini?

Kamati ya Kupitia sekta na sheria ya Madini iliyoundwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano. Sijuo "dezo" imetoka wapi?

4)Na pia nina weza ku assume hajawahi kumsikiliza ama kama kasikilizwa na mambo yenyewe ndiyo haya then i might as well as consider kuwa si wenzetu tena hawa!

wenzako na nani, na lini walikuwa ni wenzako?lakini kwenye suala la kuassume una haki ya kuassume lolote lile.

5)Kujitoa mzima mzima ni ile confidence aliyonayo kuwa he is 100% kuwa His Excellence would not let him down or facilitate his political demise!

Huwezi kufanya jambo huku una mashaka vinginevyo usifanye. Nchi haiwezi kuongozwa kwa misingi ya "urafiki wenye mashaka". Kama asingemuamini Rais kuwa ana lengo zuri asingeingia, so the burden is not on Zitto but on Kikwete, so you are barking at wrong tree pal!

6)Kujipindua ni kussapoti any decision that does not incorporate the arrests of the criminals like Balali and others!
[/QUOTE]

yeye Zitto anahusiana vipi na wahalifu? Badala ya kuwapigia kelele kina Mwema, Hosea, Othman, Manumba na wenzake unampigia kelele Mbunge Kigoma Kaskazini ambaye hana amri juu ya kitu chochote kinachohusiana na usalama!
 
Kwani kukutana na Zitto ndo uspecial?
Kwani hakutoa namba yake wazi hapa JF?
Ningekuwa nataka kujifanya special si ningevuta waya tu?
Naona mnaanza kuingiza hasira na madudu hapa!
 
Nataka majibu yote!
Na usipopewa utafanya nini? na unataka kama nani!!

Nataka pia unionyeshe nilipojichanganya!

NANI ANAMCHANGANYA NANI NA SASA INAONEKANA KUWA NYIE MNAMPIGIA KIFUA KIKWETE NA ZITTO...SI NDIO WACHANGANYAJI NYIE?...AMA NDO MIMI MUULIZA MASWALI MCHANGANYIKO NINAEWACHANGANYA?

Nani mwenye kumchanganya nani?

Be specific Pls

Unajichanganya:

a. Unapodhani JK anaweza kumteua Zitto kumpa Uwaziri Mkuu (inaonesha hujui Katiba)
b. Unajichanganya unapodhania kuwa Zitto ana nguvu fulani serikalini, hana.
c. Unajichanganya unapotaka mazungumzo ya Rais na Mbunge yawekwe hadharani ili ujue nani alimuambia nini nani. Haiwezekani kuna vitu vinafanywa in confidence.
d. Na unajichanganya unapodhania kuwa Zitto ana la kusema rasmi kuhusu mambo ya Kamati wakati msemaji wa Kamati hiyo ni Jaji Bomani.
 
Sina personal issue yoyote ile na Zitto!
Kwanza mimi ni shabiki wa Zitto ila nina maswali jamani na si tuanze kudharauliana na kufikiriana kivingine!
There's nuttin btn me n Mh!

sasa wenzio wanapojikomba, hawajikombi hivi!! yaani unauma halafu unapuliza!? kwikwikwi!
 
Na usipopewa utafanya nini? na unataka kama nani!!

Unajichanganya:

a. Unapodhani JK anaweza kumteua Zitto kumpa Uwaziri Mkuu (inaonesha hujui Katiba)
b. Unajichanganya unapodhania kuwa Zitto ana nguvu fulani serikalini, hana.
c. Unajichanganya unapotaka mazungumzo ya Rais na Mbunge yawekwe hadharani ili ujue nani alimuambia nini nani. Haiwezekani kuna vitu vinafanywa in confidence.
d. Na unajichanganya unapodhania kuwa Zitto ana la kusema rasmi kuhusu mambo ya Kamati wakati msemaji wa Kamati hiyo ni Jaji Bomani.

Hakuna anayejali kuwa ana nguvu serikalini or not!
Kwani si anamtetea Kikwete?
Hivi nyie mnafikiri watu ni pumbavu?
Mnakwepa kwepa!
Kwanza we unayesema Balali kafa labda umemficha nyumbani wewe!
 
Sasa kwasabau umeshaamua kunidharau na ndio maana huja take time kusoma previous postings!
Mimi nina uwezo wa kukusanya signature za wamarekani hapa na itakuwa mshike mshike!

sasa Zitto angekuwa na uwezo huo wapi? wewe ukitaka unaweza; anzisha online petition na mimi nitakuwa wa kwanza kutia sahihi! Yaani Zitto aje na shughuli zake halafu aanze kuwakusanyia sahihi watanzania walioko Marekani? grrrrr.. na sisi tulioko Marekani tukakusanyie wa wapi?
 
Back
Top Bottom