upinzani vs Dr ulimoka

chelsea fc

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
864
211
habarini wana jf,
nimesikitishwa sana na jinsi wapinzani au vyama vya upinzani ulivyo ihendo ishu ya dr ulimboka, i'm very sad,huu ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu zen hawa jamaa (wanaishia kutoa matamko tu) a they seriouz kweli,nilitarajia kuona watu tunaingia mabarabarani,zen waziri wa mambo ya ndani,IGP mwema na wengine (dhaifuz) wote wana achia ofisi zao (wajiuzulu au kufutwa kazi) haya tutaona mwisho wake.

au mnasemaje wakereketwa,km we dhaifu don't comment pls!!!
A%20S%20465.gif
A%20S%20465.gif
A%20S%20465.gif
 
Kwani movement ni lazma zianzishwe na wapizani tuu?
"Be a change which u wish to see in this World"
 
habarini wana jf,
nimesikitishwa sana na jinsi wapinzani au vyama vya upinzani ulivyo ihendo ishu ya dr ulimboka, i'm very sad,huu ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu zen hawa jamaa (wanaishia kutoa matamko tu) a they seriouz kweli,nilitarajia kuona watu tunaingia mabarabarani,zen waziri wa mambo ya ndani,IGP mwema na wengine (dhaifuz) wote wana achia ofisi zao (wajiuzulu au kufutwa kazi) haya tutaona mwisho wake.
au mnasemaje wakereketwa,km we dhaifu don't comment pls!!!
A%20S%20465.gif
A%20S%20465.gif
A%20S%20465.gif

Hili ni moja tu ya mapendekezo mengi yanayoweza kutolewa kama njia ya watanzania kuunga mkono mission ya Dr. Steve Ulimboka na kuisaidia iwe na matokeo chanya.

Hoja yako inaonyesha kwamba unaamini kwenye kuviona vyama vya upinzani peke yake vikifanya kazi ya kuibana serikali. Nachelea kusema kuwa ndugu yangu msimamo wako unathibitisha kwamba wewe ni mvivu kidogo. Inaonyesha kwamba hujiamini kwamba wewe mwenyewe una nafasi ya kuchukua hatua bila kumsubiri mwingine yeyote kuhakikisha kwamba unaibana serikali vilivyo.
Hata hivyo vyama vya upinzani hasa CHADEMA vimerudi nyuma kidogo kuepuka kufanya mgogoro huu kuonekana kuwa wa kisiasa.
 
yaan ww ukae tu alaf sie tuandamane, mi nafikir ww na mm tuunganishe nguvu tulianzishe
 
Back
Top Bottom