Upinzani unachukua Nchi Zambia

Status
Not open for further replies.

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
Nimefarijika sana na matokeo yanayoendelea kutolewa zambia
UPF inayoongozwa na Mr Sata inaongoza kwa mbali sana,sasa tuone hayo majizi yanayofanana na ccm watafanya nini,je watatangaza mshindi au watachakachua kama walivyo hawa mambwa ccm? na wakichakachua nini kitatokea?
 
International observers can't authenticate the polls because they don't have a slightest idea of how rigging is done in an African country like Zambia. Even the electrol commission of Zambia (EAZ) must be very surprised at what is happening to their system as they also don't know and understand whats happening. this time more anomalies can be discovered because those who used to rig for the MMD are in the opposition. never trust politicians just believe in God
 
Nimefarijika sana na matokeo yanayoendelea kutolewa zambia
UPF inayoongozwa na Mr Sata inaongoza kwa mbali sana,sasa tuone hayo majizi yanayofanana na ccm watafanya nini,je watatangaza mshindi au watachakachua kama walivyo hawa mambwa ccm? na wakichakachua nini kitatokea?

Mmmh watachakachua hukawii kusikia vijijini tunawapiga kura wengi
 
[h=1]In Zambia Election, the Big Issue Is China[/h]

A presidential vote in Zambia, Africa's top copper producer, is shaping up as a battle between two septuagenarian candidates at odds over one of the continent's most divisive issues-investment from China.
The incumbent welcomes China's capital in his poor country. His primary challenger has slammed exploitative Chinese investors. Such issues resonate across Africa, as China has brought billions of dollars into the continent's capital-hungry economies but attracted criticism for flouting labor laws and fostering official corruption.
Voting was largely peaceful as Zambians headed to the polls Tuesday to choose among 10 presidential contenders. But in Lusaka, the capital, Zambian police clashed with opposition protesters angered by alleged vote-rigging, witnesses and police said.
 
Nipo Lusaka na ninafuatilia matokeo yanavyotolewa ni kwamba, yale ambayo tayari released upinzani wamewaacha chama tawala kwa ushindi wa Landslide.
Hata ungeiajiri sisiem mabigwa wa kuiba kura Africa sidhani kama wana njia ya kuweza kuyabadili haya matokeo ili chama tawala kishinde.
.
 
majeshi ya zambia yazingira ikulu na kufunga barabara zote
Armed Military personel have blocked all roads to state house & have been deployed into various compounds. Muvi whats going on?
 
ounted
and verified 85
constituencies. so far
the results are follows:
presidential polls results
- Sata 639,787 ( 42.9 %)
- RB 542, 362 (36.41%)
,HH- 247,284 (16.6%)
 
ndola residents have taken to the streets demanding the announcement of presidential results.
Some shops owned by Somalians were gutted by riotious youths near ndeke township.
Goods worth millions of kwacha have been destroyed as shop owners went into hiding.
Police and fire-brigade arrived at the scene very late as damage was already done
“They are on the streets with stones and we can only urge them to stop the riotous behavior,” Copper Belt police chief Martin Malama said.
“We have not assessed the extent of the damage yet because we are still trying to contain the situation.”

Tujadili madudud aliyoyafanya Mzindakaya Jana...kasain na wachina mktabat wa 4.16 tirion kabla ya kupata ushauri wa mwansheria mkuu wa serikali ,tunakwenda wapi?
 
Nimefarijika sana na matokeo yanayoendelea kutolewa zambia
UPF inayoongozwa na Mr Sata inaongoza kwa mbali sana,sasa tuone hayo majizi yanayofanana na ccm watafanya nini,je watatangaza mshindi au watachakachua kama walivyo hawa mambwa ccm? na wakichakachua nini kitatokea?

Hivi na hao UPF wakaingia madarakani mtawaita 'majizi' na 'mambwa'?
 
Kamanda wa operation, alitangaza kusimamisha biashara ya mapanga asijue wengui ni wakulima hivyo panga ni kifaa chao cha kazi wanazo majumbani kwao
 
Hivi na hao UPF wakaingia madarakani mtawaita 'majizi' na 'mambwa'?

Sio UPF, chama kinaitwa PF.
Sasa hivi mji wa Lusaka ni shamra shamra za ushindi kwa wapinzani ijapokuwa tume ya uchaguzi haijamaliza kutangaza majimbo 34 ya uchaguzi kati ya 150. Lakini kwa majimbo 116 yaliyotangazwa chama cha PF kina tofauti ya kura za ushindi 185,584 kwa chama tawala.
.
 
Thnks very much election results update in zm, and what about 2015 is chadema going to make it.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom