Elections 2010 Upinzani Uko Juu sana-Kituo Kidogo Mwaswale-Bariadi Mashariki

Mtanga Tc

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
235
84
Waheshimiwa wa JF-matokeo ya kituo kidogo cha Sopa-Mwaswale,bariadi ya mashariki ni kama yafuatavyo:
Urais:Chadema=59 CCM= 7 APP =1
Ubunge:UDP = 46 CUF = 10 CCM =11
Udiwani:CHADEMA=54 CCM=8 UDP 5.
Kituo hiki hakikuwa na wakala toka chama chochote kile na muda punde tu ndio wahusika wamechukuwa kalabrasha kupeleka kituo maalumu jimboni.The whole experience in terms of system was a bit concern to poor me!
Hata hivyo nawapongeza wote ambao wameonelea vyema to give a chance to Maendeleo ya kweli kwa wote!!!!!!:peep:
 
Back
Top Bottom