hili wazo nami linanisumbua, kwani ni nani aliamua Pyramid za Giza, Taj Mahal, nk viwe sehemu ya maajabu. Alafu hili ni suala linalohusu 'maajabu ya dunia" na hizi sms zinatumwa tu hapa hapa TZ. Na mhamasishaji ni Mama Salama JK, au ndiye ameteuliwa na hao wanaouchagua kuhamasisha?
Sasa kwa nini sisi wenyewe tusiamue tu kuwa ni 'ajabu la dunia' bila kuutegemea hao 'wachaguaji'?
Huenda tunaambukizwa ukilaza bila kujijua
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.