Upi ujinga kati ya haya

Ujinga na kutokuelewa jambo ni vitu viwili tofauti..........mfano hii...Duh! Konda kusubiri gari liondoke ndio akimbilie ni ujinga sawa na kumwamsha mgonjwa usingizini ili umpe dawa ya usingizi. Hapa nikutokuelewa, lakini kwakuwa nia nikucheka, basi tucheke. Salute.
 
Ujinga ni pale mama aliyejifungua mtoto kumdanganya mwanae kuwa amenunua mtoto dukan kwa wahindi.
 
ujinga ni kuita kila petrol station ni shell... ilhali kuna oilcom, gapco, total, camel na nyingine nying
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom