Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 30,689
- 39,757
What about Nokia C2-03? Itaweza support WhatsApp?
kwa simu zote za java zenye resolution ya 240x320 hazina watsapp so siku wakitoa zitakubali na kwenu. Hapa ni matter ya version ya simu haipo na sio uwezo wa simu
Yap utawezamie natumia nokia N 70 je naweza ku update pia