Upepo wa ccm wabalidili mwelekeo arumeru

MPAMBANAJI.COM

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
712
331
Katika hali ya kushangaza na kukatisha tamaa jana ktk kampeni zinazoendelea, hapa ktk kijiji cha waathirika walionyang'anywa ardhi na wanaoitwa wawekezaji, MAMBO YALIBADILIKA PALE WANANCHI WALIPOHOJI ccm ILIKUA WAPI WAKATI WOTE HADI TATIZO HILI LIKEKUA KERO.na kama CHADEMA hawana serikali kwani isipewe nafasi nayo ikaunda Serikali,kuna serikali aina ngapi?na serikali inawekwa na nani.Alihoji mzee maarufu ajulikanaye kwa jina la Pallangyo,huku Nchemba na wenzake wakihaha kujibu.lilikua ni swala gumu, huku timu kampeni ikihaha kujieleza

Kwa hali hii CCM inaelekea pabaya.
 
Timu ya kampeni kama ndo ya akina kibajaji, hawawezi kujibu hoja labda matusi
 
NA HAPO NI KWENYE KIPINDI CHA LALA SALAMA...WANANCHI mnayo siri ya kadhia hii...siri iko 1/4/2012
 
CCM imekaa madarakani kwa muda mrefu sana na imetawala kwa muda mrefu sana. Mafanikio mengi tunayoyaona yametokana na serikali yake na matatizo mengi tunayoyaona kwa sehemu kubwa yametokana na serikali hiyo hiyo, kutokana na kushindwa kwa sera zao, ubinafsi na ufisadi.

Sasa kwa kuwa umasikini na matatizo ya wananchi walio wengi yapo kwa kiwango kikubwa kuliko mafanikio hayo, tutakuwa sahihi tukisema, WANASTAHILI KUADHIBIWA kwa hilo. Na adhabu pekee ni Ballot Box.
Sasa kwa wananchi waliokwisha kutambua haki zao, wajibu wao na nguvu walizonazo si rahisi tena kuwarubuni kwa hoja nyepesi nyepesi na propaganda za kisiasa.
Ngoja tuone hawa wananchi wa Arumeru watatuma Ujumbe gani kwa watawala
 
Katika hali ya kushangaza na kukatisha tamaa jana ktk kampeni zinazoendelea, hapa ktk kijiji cha waathirika walionyang'anywa ardhi na wanaoitwa wawekezaji, MAMBO YALIBADILIKA PALE WANANCHI WALIPOHOJI ccm ILIKUA WAPI WAKATI WOTE HADI TATIZO HILI LIKEKUA KERO.na kama CHADEMA hawana serikali kwani isipewe nafasi nayo ikaunda Serikali,kuna serikali aina ngapi?na serikali inawekwa na nani.Alihoji mzee maarufu ajulikanaye kwa jina la Pallangyo,huku Nchemba na wenzake wakihaha kujibu.lilikua ni swala gumu, huku timu kampeni ikihaha kujieleza

Kwa hali hii CCM inaelekea pabaya.
Tuwaachie wana-Arumeru wataamua april 1 kama kuna maendeleo au la!
 
Katika hali ya kushangaza na kukatisha tamaa jana ktk kampeni zinazoendelea, hapa ktk kijiji cha waathirika walionyang'anywa ardhi na wanaoitwa wawekezaji, MAMBO YALIBADILIKA PALE WANANCHI WALIPOHOJI ccm ILIKUA WAPI WAKATI WOTE HADI TATIZO HILI LIKEKUA KERO.na kama CHADEMA hawana serikali kwani isipewe nafasi nayo ikaunda Serikali,kuna serikali aina ngapi?na serikali inawekwa na nani.Alihoji mzee maarufu ajulikanaye kwa jina la Pallangyo,huku Nchemba na wenzake wakihaha kujibu.lilikua ni swala gumu, huku timu kampeni ikihaha kujieleza

Kwa hali hii CCM inaelekea pabaya.

Mpambanaji hao CCM wakiwa kwenye kampeni walikutana na wakati mgumu wakati akiutubia ukuakitumia mifano ya mabetri ambayo wananchi waliona kama ni dhiaka kwao ndipo aliposimama mzee mmoja akauliza kwanini tunapotezeana muda kwa porojo sizizo za msingi badala ya kueleza sera!meza kuu wakadata wamjibu nini
 
Back
Top Bottom