Upeo wa Maige watia mashaka makubwa!

Acha kuponda mawazo ya mwenzio, utumbo gani alioandika? yote aliyosema ni kweli! au hufuatilii matukio na taarifa mbali mbali? Kwani siku ana jitetea bungeni akitaja jina la Mungu hukumuona wala kumsikia? Aliye andika namsifu sababu ana kumbu kumbu nzuri. UTUMBO NI WEWE MNAO JAZA JF KWA MAWAZO MGANDO NA UWEZO FINYU WA KUFIKIRI KABLA HAMJA CHANGIA THREAD ZA WATU.
Eeeh Chaimaharage Samahani naomba kuuliza swali, ni kuhusu hio Avatar yako. mweeeh
 
Last edited by a moderator:
jamaa anayepinga kichwani kwake hamna kitu unapinga pasipo kuwa na hoja,watu wengine bwana wamefilisika kweli kimawazo na hakuna kitu kibaya kama hicho.
 
Maige anapaswa ashtakiwe kwa matumizi mabaya ya ofisi, asimame kizimbani aieleze mahakama na watanzania ni nani alitorosha wanyama hai wapatao 120 akiwamo twiga kwenda nje ya nchi, ajibu kuhusu ufisadi wa kutisha TANAPA, ajibu kuhusu ugawaji holela wa vitalu vya kuwindia, ajibu kuhusu ufisadi wa kutisha mamlaka ya hifadhi Ngorongoro........
 
Kulewa madaraka kubaya sana...kunafanya mtu kijisahau na kufikiri kuwa " am untouchable". Kuna viongozi watakuja kufungwa ukweli ukweli siku si nyingi...just watch out!!!
 
Ruta katika mabaraza ya mawaziri yaliyopita hakuna waziri alionyesha wizi wa waziwazi kama Maige! Ilifikia mpaka madalali walikua wanamgombania kama mpira wa coner! kwakua jamaa alikua akionyeshwa nyumba tena iko finished jamaa alikua anatoa cash bila malumbano hata JK alisema kuna waziri kamuaibisha mno! Huyu ndie bwana mdogo Maige kutoka kwenye ubunge na kua waziri kwa kipindi kisichozidi miaka miwili na kua milionia.
 
Maige anapaswa ashtakiwe kwa matumizi mabaya ya ofisi, asimame kizimbani aieleze mahakama na watanzania ni nani alitorosha wanyama hai wapatao 120 akiwamo twiga kwenda nje ya nchi, ajibu kuhusu ufisadi wa kutisha TANAPA, ajibu kuhusu ugawaji holela wa vitalu vya kuwindia, ajibu kuhusu ufisadi wa kutisha mamlaka ya hifadhi Ngorongoro........

Kivumah tuko pamoja...........................atumike kutoa mfano wa ya kuwa ufisadi never pays.............
 
Last edited by a moderator:
Rutashubanyuma.
Katika Mawaziri vijana waliomuangusha JK ni huyu Maige pamoja na Ngeleja. Huwezo wao ni mdogo sana kuongoza wizara.
 
Last edited by a moderator:
Kijana Eddie unafikiri kwakutumia MASABURI...????au akili zako zimehamia kwenye MASABURI...??

Panga La Shaba huyu Eddie nafikiri yupo kwenye payroll ya akina maige na mafisadi wengineo...........tatizo wangelitafuta mtu ambaye hata anaweza kujanga khoja hata ya kuwateta badala kulipuka na matusi matupu akaona tutashawishika kutombana tajiri yake.................safari hatuogopi hata chembe mafisadi wao zamu yao kutetemeka............
 
Last edited by a moderator:
Ruta katika mabaraza ya mawaziri yaliyopita hakuna waziri alionyesha wizi wa waziwazi kama Maige! Ilifikia mpaka madalali walikua wanamgombania kama mpira wa coner! kwakua jamaa alikua akionyeshwa nyumba tena iko finished jamaa alikua anatoa cash bila malumbano hata JK alisema kuna waziri kamuaibisha mno! Huyu ndie bwana mdogo Maige kutoka kwenye ubunge na kua waziri kwa kipindi kisichozidi miaka miwili na kua milionia.

Ndallo tunasubiria kama Takukuru watasema hakuna ufisadi hapo kama walivyozoea kutupotosha.................baada ya wao pia kukatiwa kitu kidogo...............
 
Last edited by a moderator:
Rutashubanyuma.
Katika Mawaziri vijana waliomuangusha JK ni huyu Maige pamoja na Ngeleja. Huwezo wao ni mdogo sana kuongoza wizara.

ritz itafika mahali JK itabidi atueleze vigezo anavyovitumia kuteua wateule wake....................maana naona huteua watu kimzahamzaha au naye hunufaika na huu ufisadi kwani kama Bunge na CAG wasingelimshinikiza basi JK angefumbia macho madudu haya yote...........
 
Last edited by a moderator:
Huyu jamaa wakati anasoma plae IFM hakuwai kuwa kiongozi,alikuwa msongo wakupenda kusoma kwa mashindano,alikuwa ni anti social kabisa,na shangaa sana siasa kaijulia wapi,labda ukubwani au...maana wanasiasa wazuri huwa waanzia mashule,ila ndio kashapotea tena arudi kwa Msasila akafundishe masomo ya jioni......ila kwake kama kijana ni msikitiko sana ndani ya mwaka mmoja kama full minister kachemsha vibaya mmno....
Hivi tuseme alikuwa kipanga fulani pale IFM?
 
JF ID ya Eddie ,mwenye nayo anitumia kwa kuchafua threads tu,au kuichangamsha thread kwa kuanzisha vurugu,the best thing is to ignore such ID ,usipoteze muda wala time ,kujibu hoja/vibwagizo vya ID - edie,
since 2008 amepost 158, Thanks given 0
nadhani utaelewa lengo la hiyo ID
user-online.png
Eddie

Today 09:33
#17
Senior MemberArray

Join Date : 28th November 2008
Posts : 158
Rep Power : 511
Likes Received10
Likes Given0
 
Alipoulizwa na Lembeli afafanue kazipatapataje dola 700'000 kwakununua nyumba kule Mbezi alijikanganya eti ooh nilimkopesha dada yangu hela halafu akawa anazizungusha halafu analipwa na interest! yeye na dada yake wote wezi!
 
Hii thread inajumuisha taarabu pia??? maana naona watu wanasutana humu kama tunaimba taarabu bwana yani mi nasoma comments ni mipasho tu, thread nzuri ila mipasho baada ya kuchangia, acheni izo... ukibishana na chizi na wewe utakua chizi bana.... Thank You
 
ritz itafika mahali JK itabidi atueleze vigezo anavyovitumia kuteua wateule wake....................maana naona huteua watu kimzahamzaha au naye hunufaika na huu ufisadi kwani kama Bunge na CAG wasingelimshinikiza basi JK angefumbia macho madudu haya yote...........

Rutashubanyuma.
Kwanza unatakiwa ufahamu kuwa JK ndio katoa meno kwa CAG na yeye ndio karuhusu ripoti ipelekwe bungeni haraka baada ya kukabidhiwa na CAG kwa mamlaka aliyokuwa nayo rais angeweza kuiweka pembeni kama walivyokuwa wanafanya marais waliyopita ripoti ya CAG inapelekwa bungeni baada ya miaka mitano halafu inasomwa kama hotuba baada ya hapo hakuna kinafuata...sasa hivi JK kampa meno CAG.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom