Upendo wangu wa kweli kwa wanawake umepotea kabisaaa..

Nakapanya

JF-Expert Member
May 22, 2012
2,096
708
Nakumbuka wakati nipo shule ya msingi kuna msichana nilimpenda sana na yeye alijua ya kuwa ninampenda kutokana na jinsi nilivyokuwa namfanyia,sikuweza kuwa naye kwasababu ya kukosa uthubutu wa kumwambia yanayonisibu.Nilipofika sekondari kwakweli kuna msichana nilitokea kumpenda ile mbaya,naye vile vile tukawa naye karibu sana lakini sikumwambia kilichokuwa ndani ya moyo wangu.Baadaye huyu msichana akapata boyfriend kwakweli roho iliniuma sana lakini tuliendelea kuwa marafiki wa kawaida,baada ya kumaliza o level na mimi kuingia form 5 nilifanikiwa kuwa naye katika uhusiano,nilihisi moyo wangu kutulia na kuwa na furaha tele,kifupi huyu binti nilimpenda sana.

Bahati mbaya mapenzi yetu hayakudumu sana kwani alinimwaga kwa visingizio kibao,kwakeli sitaisahau siku ile maishani mwangu mpaka naingia kaburini,nakumbuka nilikaa wiki nzima kama nimechanganyikiwa hata kitabu hakipandi;baadae nilizoea na kuikubali hali hiyo.Sasa baada ya hapo upendo kwa wanawake uliisha kabisaaaa,nikipata mwanamke ujue ni wa siku moja au mbili umekwisha yaani tukisha kutna kimwaili mara moja tu ujue ndio mwisho wa mahusiaono,kweli mpaka sasa nimeshakuwa na wanawake kibao na wengine kweli huonyesha kunipenda kwa dhati lakini kwavile moyo wangu umeshakufa ganzi na hauna mapenzi ya kweli tena;muda mwingine huwanawaonea huruma sana wasichana hao lakini ndo hivyo,hisia za mapenzi kwa yule msichana hadi leo zinantesa kiukweli bado nampenda,i think she is the woman if my life though she dont want me anymore.wadau naomba ushauri wenu nifanyeje juu ya hili.ahsanteni.
 
du,kumbe kicheche hivyo.kama ni hivyo,kaa mwenyewe single na sio kikojoleo chako kukiingiza kwa kila mwanamke.kuumizwa katika mapenzi ipo sana tu,jaribu kuikubali hali iliyotokea iwe kama ur past,na kujaribu ku move on,mbona wengine tumeweza kwa nini wewe ushindwe?kuna watu hukumbwa na majanga makubwa kuliko yako na wanajitahidi na wana songa mbele,na wewe jaribu kuwa mmoja wapo.usi wa use hao wanawake bwana,haipendezi
 
nimejaribu sana kumove on,marafiki wamenisaidia sana katika hili,inatokea namsahau kwa muda fulani ila baadaye namkumbukatena.pia natanmani kurudisha sana moyo wanu uwe na mapnezi ya dhati lakini nashindwa,nashindwa kumkea mwanamke yani it's like a disaster to me
 
Kubali hali halisi mkuu.. Achana na mambo ya mahusiano.. Yatajipa yenyewe baadaye..
 
Nakumbuka wakati nipo shule ya msingi kuna msichana nilimpenda sana na yeye alijua ya kuwa ninampenda kutokana na jinsi nilivyokuwa namfanyia,sikuweza kuwa naye kwasababu ya kukosa uthubutu wa kumwambia yanayonisibu.Nilipofika sekondari kwakweli kuna msichana nilitokea kumpenda ile mbaya,naye vile vile tukawa naye karibu sana lakini sikumwambia kilichokuwa ndani ya moyo wangu.Baadaye huyu msichana akapata boyfriend kwakweli roho iliniuma sana lakini tuliendelea kuwa marafiki wa kawaida,baada ya kumaliza o level na mimi kuingia form 5 nilifanikiwa kuwa naye katika uhusiano,nilihisi moyo wangu kutulia na kuwa na furaha tele,kifupi huyu binti nilimpenda sana.Bahati mbaya mapenzi yetu hayakudumu sana kwani alinimwaga kwa visingizio kibao,kwakeli sitaisahau siku ile maishani mwangu mpaka naingia kaburini,nakumbuka nilikaa wiki nzima kama nimechanganyikiwa hata kitabu hakipandi;baadae nilizoea na kuikubali hali hiyo.Sasa baada ya hapo upendo kwa wanawake uliisha kabisaaaa,nikipata mwanamke ujue ni wa siku moja au mbili umekwisha yaani tukisha kutna kimwaili mara moja tu ujue ndio mwisho wa mahusiaono,kweli mpaka sasa nimeshakuwa na wanawake kibao na wengine kweli huonyesha kunipenda kwa dhati lakini kwavile moyo wangu umeshakufa ganzi na hauna mapenzi ya kweli tena;muda mwingine huwanawaonea huruma sana wasichana hao lakini ndo hivyo,hisia za mapenzi kwa yule msichana hadi leo zinantesa kiukweli bado nampenda,i think sheis the woman if my life though she dont want me anymore.wadau naomba ushauri wenu nifanyeje juu ya hili.ahsanteni.

ngoja nikuulize swali umesema upendo wa huyo msichana unakutesa,je kama ungekuwa naye halafu akakusaliti au akafariki,ina maana usingependa tena?
 
Le'mi ask u a question,umesema upenda wa huyo mdada ndio unaokutesa,je kama ungekuwa naye halafu akakusaliti au akafariki ina maana usingependa tena?
 
Nakumbuka wakati nipo shule ya msingi kuna msichana nilimpenda sana na yeye alijua ya kuwa ninampenda kutokana na jinsi nilivyokuwa namfanyia,sikuweza kuwa naye kwasababu ya kukosa uthubutu wa kumwambia yanayonisibu.Nilipofika sekondari kwakweli kuna msichana nilitokea kumpenda ile mbaya,naye vile vile tukawa naye karibu sana lakini sikumwambia kilichokuwa ndani ya moyo wangu.Baadaye huyu msichana akapata boyfriend kwakweli roho iliniuma sana lakini tuliendelea kuwa marafiki wa kawaida,baada ya kumaliza o level na mimi kuingia form 5 nilifanikiwa kuwa naye katika uhusiano,nilihisi moyo wangu kutulia na kuwa na furaha tele,kifupi huyu binti nilimpenda sana.

Bahati mbaya mapenzi yetu hayakudumu sana kwani alinimwaga kwa visingizio kibao,kwakeli sitaisahau siku ile maishani mwangu mpaka naingia kaburini,nakumbuka nilikaa wiki nzima kama nimechanganyikiwa hata kitabu hakipandi;baadae nilizoea na kuikubali hali hiyo.Sasa baada ya hapo upendo kwa wanawake uliisha kabisaaaa,nikipata mwanamke ujue ni wa siku moja au mbili umekwisha yaani tukisha kutna kimwaili mara moja tu ujue ndio mwisho wa mahusiaono,kweli mpaka sasa nimeshakuwa na wanawake kibao na wengine kweli huonyesha kunipenda kwa dhati lakini kwavile moyo wangu umeshakufa ganzi na hauna mapenzi ya kweli tena;muda mwingine huwanawaonea huruma sana wasichana hao lakini ndo hivyo,hisia za mapenzi kwa yule msichana hadi leo zinantesa kiukweli bado nampenda,i think she is the woman if my life though she dont want me anymore.wadau naomba ushauri wenu nifanyeje juu ya hili.ahsanteni.

Pole sana,ndo maisha,kubal kwamba its over pia amin you can let her go,wewe sio wa kwanza na wewe sio wa mwisho kupitia tabu za mapenzi,ila unaweza ukawa wa kwanza kumruhusu mtu mwingine ayaharibu maisha yako,
here is what you can do.
kwanza pray to God,pil waza kuwa unaweza kufanya jambo lolote ikiwemo kumsahau huyo dada na kumpenda msichana mwingine,tatu ongea positively"comfesion z possesion"
 
Usilipize watu wasio kua na hatia,na ukijenga akili hiyi ktk maisha yako ujue utapotea sanaaaa,na hutokua na mwelekeo utajikuta unamiaka 50 bado una chovya chovya tuu na humalizi..
 
nikuulize swali, huyo mwanamke ulizaliwa nae?
kwa nini mtu akuumize akili?
afterall hurt n pain ni kawaida kwenye mapenzi,
ukishindwa unaacha/unaachwa....

unatafuta mwingine......
 
ngoja nikuulize swali umesema upendo wa huyo msichana unakutesa,je kama ungekuwa naye halafu akakusaliti au akafariki,ina maana usingependa tena?

kessy bora angefariki ningejua kwamba sitamuona tena,lakini sasa yupo na ninamuona,mbaya zaidi anapokuwa na boyfriend wengine hapo mi ndio naumia zaidi na yeye anajua kama mi kwake nimeoza na ninahic anafanya makusudi ili kunitesa.
 
Pole sana,ndo maisha,kubal kwamba its over pia amin you can let her go,wewe sio wa kwanza na wewe sio wa mwisho kupitia tabu za mapenzi,ila unaweza ukawa wa kwanza kumruhusu mtu mwingine ayaharibu maisha yako,
here is what you can do.
kwanza pray to God,pil waza kuwa unaweza kufanya jambo lolote ikiwemo kumsahau huyo dada na kumpenda msichana mwingine,tatu ongea positively"comfesion z possesion"

thanx,i shal work on that
 
Back
Top Bottom