Upendo wa wanyama kwa watoto katika picha..

sosoliso

JF-Expert Member
May 6, 2009
8,539
9,462
kid 1.jpg

kid 2.jpg

kid 3.jpg

Pet mwenye upendo kwa watoto..
 
mijibwa koko haichelewi kubaka

Ha ha ha Mkuu.. Unakumbuka kipindi fulani Arusha mtoto aliliwa korodani zake na mbwa..? Ati kawaida yao ilikuwa mtoto akishajisaidia mbwa ndo anakuja kumlamba.. Siku hiyo mbwa akapitiliza na kutafuna korodani.. It's not good at all..
 
Ha ha ha Mkuu.. Unakumbuka kipindi fulani Arusha mtoto aliliwa korodani zake na mbwa..? Ati kawaida yao ilikuwa mtoto akishajisaidia mbwa ndo anakuja kumlamba.. Siku hiyo mbwa akapitiliza na kutafuna korodani.. It's not good at all..
sosoliso

soda1.jpg

The sad effect of a dog attack of a child
 
Email:
June 28, 2012
My 6 year old son was bit by the babysitter's dog yesterday, i don't know what led to the bite and I don't know how or if it was provoked. Here are the photos. his nose injury is actually a laceration about 1/2 inch deep. He also had a puncture wound on his neck and in between his fingers. His cheek they were unable to repair, so a chunk of his cheek is missing and will have to heal from the inside out.
DogBite_MBKid_01.jpg
DogBite_MBKid_02.jpg
DogBite_MBKid_03.jpg
DogBite_MBKid_04.jpg
 
kila kitu kizuri kina ubaya wake sema kuna law moja ya newton ina apply kwenye mambo mengi kweli yani...! it states.." in every action there is equal and opposite reaction.." hii inaweza kuelezeka MORALLY kua kwa kila kizuri tunachopata kutoka kwa vitu au watu basi kibaya chake ni noma vile vile kwa magnitude ile ile kama kile kizuri..! kama ungeweza ku imagine upendo ambao mtu angeweza kuupata kutoka kwa simba ni equally opposite na kifo...! so do these dogs..!
 
mnyama ni mnyama tu na hamuna cha kumuondoshea unyama wake cheza naye we asli yake ikimrejea atakukumbusha kwamba yeye ni mnyama.
 
Mnyama ni mnyama tu, mbwa vile vile.hao ni hayawani tu. Chukua tahadhari
Halafu ukute jibwa umelichelewesha au umelidunga vaccine fake ya rabbies, nouma.
 
Back
Top Bottom