Upendo wa mume na mke uwe namna hii...tayari kubebeana mizigo

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
Jamaa mmoja alimpa mimba sekretari wake,na baada ya kufikiria sana hakatamani kumwambia mke wake na mazungumzo yalikuwa hivi;

Mume: Mke wangu leo nimepata tatizo kubwa ofisini.

Mke: Usiseme hivyo mume wangu, tatizo lako ni tatizo langu, usiseme umepata tatizo bebi sema tumepata tatizo kubwa ofisini.

Mume: Sawa mke wangu, ni hivi tumepata tatizo, tumezaa na sekretari wetu.

Mke:kilio na kuzimia.......
 
Hahahahahaaaaaaa kwa kweli nilikuwa nimechoka ila imenibidi nicheke sana tu dah kweli familia
 
Hiyo familia huwaga naijuaga,huyo mama hanaga mtoto ndo maana kazimiaga.
 
Ni nouma japo jamaa kafanya jambo zuri kukiri mbele ya wife
 
mke hakukosea si aliambiwa watakuwa mwili mmoja, wapendane kwenye shida na raha.
 
Jamaa mmoja alimpa mimba sekretari wake,na baada ya kufikiria sana hakatamani kumwambia mke wake na mazungumzo yalikuwa hivi;

Mume: Mke wangu leo nimepata tatizo kubwa ofisini.

Mke: Usiseme hivyo mume wangu, tatizo lako ni tatizo langu, usiseme umepata tatizo bebi sema tumepata tatizo kubwa ofisini.

Mume: Sawa mke wangu, ni hivi tumepata tatizo, tumezaa na sekretari wetu.

Mke:kilio na kuzimia.......

Samahani sana only83, naomba usikwazike. Nasema hivi: utani mzuri hauna conclusion kama hiyo niliyobold. utani unakuwa mtamu pale imagination za watu zinafanya kazi bila kusaidiwa na conclusion kama ulivyoweka. Joke hii uliyoleta ni superb ila kwangu mimi conclusion imeondoa utamu wooote!
 
Back
Top Bottom