Upendeleo wa wazi TBC Habari

Nilikuwa naangalia taarifa ya habari apa TBC ya 20hrs leo!
Walianza taarifa ya wabunge wa ccm waliopigwa bw Aeshi na mdada mmoja ivi.
Then ikafuata taarifa inayohusu CDM ya watu wake kuvamiwa hotelini
Hatimae ikaja taarifa ya hotuba ya Zito neno nililosikia akisema Tuko tayari kuwatete mara TV ikawa black ghafla then ikaendelea nkakosa flow ya speech ya Zito.
IVi mumelazimishwa kuonesha mambo ya chadema kama hamtaki mwache sio kukata kata news za cdm na za ccm zinaflow vyema as if walipa kodi wa nchi hii ni CCM peke yao

ndugu kwanza nikupongeze kwa kuwa thread yako imerushwa na moderetors.
Mimi niliaanzisha mada kama hii lakini nikiwafananisha TBC na DC Fatuma Kimario, wanaotumia kodi za mlalahoyi si kuutetea umma wa mtanzania bali kuwatetea na kuwafanyia kampeni CCM kitu ambacho ni kinyume na maadili ya kazi zao. Thread hiyo haijarushwa hewani mpaka sasa.

TBC kwa kuwa wamekosa sura ya kitaifa, waendelee tu na ufisadi huo, lakini watambue kwamba siku upinzani wakishika nchi wanaweza kusitafishwa kwa manufaa ya umma kwa kuwa walikiuka maadili ya kazi zao.

kila nikiaangalia TBC habari, kuhusiana na IGUNGA, inaonekana CCM pekee ndio wanaoendelea na kampeni. Utadhani vyama vingine haviko IGUNGA.

TBC wanatakiwa kutupa taarifa za vyama hivyo hata kama wagombea wao hawajapata wanannchi wa kuwasikiliza, ndo kazi yo. sasa kila siku DK KAFUMU mpaka walishaniboa.
TUMIENI KODI ZETU VIZURI
 
TBC ni janga la kiakili hapa Tanzania, watu kama kina marine, shirima ni tatizo. Labda Simbeye tu.
 
Maafa yoyote TZ YA KISIASA TBC watakuwa wamechangia kwa kiasi kukubwa mnoooooooooooooooooooooooooooo ni kero wamebaki kuuza sura tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu,upendeleo kwao ndo dhana ya ukweli na uhakikaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.Mshana pole sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.Unalo,utajibu moja baada ya jingine ipo siku.
 
Sidhani kama umepoteza kumbukumbu za kilichotokea jangwani mwaka 2010,wakati CHADEMA wanazindua kampeni,sindano za moto zilipoanza kuchomwa walikata ghafla, kwa TCB ya mshana, wako tayari kuijanya speech ya wapinzani kutokea ikiwa na kigugumizi,
Anyway siku zao zinahesabika, soon TZ ikikombolewa twaweza kuwa na chombo cha habari cha Taifa makini kuliko TCB,angalia Kenya, KBC ya leo si sawa na ile ya kipindi cha MOI
 
ukitaka habari za cdm huwezi kuziona tbc jana 25th Sept @ 2000 hrs pia hawakuongelea lolote juu ya cdm, dawa ni kuwapotezae tu
 
Nilikuwa naangalia taarifa ya habari apa TBC ya 20hrs leo!
Walianza taarifa ya wabunge wa ccm waliopigwa bw Aeshi na mdada mmoja ivi.
Then ikafuata taarifa inayohusu CDM ya watu wake kuvamiwa hotelini
Hatimae ikaja taarifa ya hotuba ya Zito neno nililosikia akisema Tuko tayari kuwatete mara TV ikawa black ghafla then ikaendelea nkakosa flow ya speech ya Zito.
IVi mumelazimishwa kuonesha mambo ya chadema kama hamtaki mwache sio kukata kata news za cdm na za ccm zinaflow vyema as if walipa kodi wa nchi hii ni CCM peke yao

Hata jana, TBC walitangaza habari za CCM, CUF Igunga, CDM hawakutangaza. TBC, Mshana acha ujinga huo.
 
Hivi unategemea nini kutoka kwa Clement Mshana aliekuwa maelezo kwenda kuwa mkuu wa TBC. na bado hali itakuwa mbaya zaidi
 
Nini tbc!, maskini Tido aliondoka na weledi wake aliyokuwa ameuanzisha tbc. Ndugu zangu napata shida kuelewa kama kweli weledi unazingatiwa ktk taaluma na taasisi mbalimbali za nchini mwetu. Tatizo kubwa ni chama cha babu, mpaka pale kitakapo ..,. Watendaji tbc wanafuata maelekezo hata kama hawaya kubali yote. Muda umefika jamani alama zote zi wazi majibu/vilio vyetu hakika vitapata majibu muwafaka.
 
TBC1 ni kweli iliondoka na Mhando ,hawa wangerudisha TVT CCM, maana ndio iliyokuwa ikiwapiga tafu awamu ya JK ya Kwanza yaani mwaka 2005
 
Tarehe 3 mwezi October 2011 watanzania kuvaa nguo nyeus kulaani utendaji wa serikali kama kama unaguswa na mambo yafuatayo basi na wewe vaa na umwambie na mwenzako kama yana muhusu naye avae.
1.ukosefu wa ajira
2.kupanda kwa gharama za maisha
3.huduma mbaya za afya, elimu na maji.
4.ukosefu wa umeme
5. Ufisadi
6.mikataba mibovu
7. Ubaguzi kwenye mikopo ya elimu ya juu
8.malipo duni ya wafanyakazi wa serikali
9.ufujaji wa mali ya umma kwa watendaji wa serikali kwa safari zisizo na tija.
10. Kuwakumbatia wawekezaji katika kuiba ardhi na rasilimali ya wanyonge

Huu ni ujumbe unao zunguka kwenye Mitandao ya kijamii twitter, facebook na myspace pia sms kwa njia ya simu zimeanza kusambaaa nchi nzima. Kama Mod hatabania hii kitu na sisi wana JF tuchangia hapa.
 
Tarehe 3 mwezi October 2011 watanzania kuvaa nguo nyeus kulaani utendaji wa serikali kama kama unaguswa na mambo yafuatayo basi na wewe vaa na umwambie na mwenzako kama yana muhusu naye avae.
1.ukosefu wa ajira
2.kupanda kwa gharama za maisha
3.huduma mbaya za afya, elimu na maji.
4.ukosefu wa umeme
5. Ufisadi
6.mikataba mibovu
7. Ubaguzi kwenye mikopo ya elimu ya juu
8.malipo duni ya wafanyakazi wa serikali
9.ufujaji wa mali ya umma kwa watendaji wa serikali kwa safari zisizo na tija.
10. Kuwakumbatia wawekezaji katika kuiba ardhi na rasilimali ya wanyonge

Huu ni ujumbe unao zunguka kwenye Mitandao ya kijamii twitter, facebook na myspace pia sms kwa njia ya simu zimeanza kusambaaa nchi nzima. Kama Mod hatabania hii kitu na sisi wana JF tuchangia hapa.
Hata jana, TBC walitangaza habari za CCM, CUF Igunga, CDM hawakutangaza. TBC, Mshana acha ujinga huo.
 
Taarifa ya habari ya leo saa 2 usiku tbc wamenishangaza wameweza kurusha kwa muda mrefu habari za kampeni za chadema hasa wakimwonyesha kamanda mbowe akihutubia umati wa watu na muda mwingi mpiga picha akionyesha umati uliofurika na kumshangilia kamanda mbowe. Tofauti na ccm hakuonyesha umati bali walimuonyesha makamba akitia huruma. Je tbc wanasoma alama za nyakati.
 
Nadhani Fundi mitambo atakuwa amejichanganya, tbc kuwapa chadema airtime kubwa zaidi ya ccm ni jambo lisilotarajiwa.

Na usishangae wasiporusha tena hewani kampeni za chadema hadi uchaguzi unaisha.
 
Taarifa ya habari ya leo saa 2 usiku tbc wamenishangaza wameweza kurusha kwa muda mrefu habari za kampeni za chadema hasa wakimwonyesha kamanda mbowe akihutubia umati wa watu na muda mwingi mpiga picha akionyesha umati uliofurika na kumshangilia kamanda mbowe. Tofauti na ccm hakuonyesha umati bali walimuonyesha makamba akitia huruma. Je tbc wanasoma alama za nyakati.

Inawezekana Fundi mitambo amejikoroga katika harakati za kuchakachua akajikuta amechemsha!

Alitaka huo umati auoneshe kwa upande wa ccm mitambi ikawa imejichanganya.

Pole yao kiroho kitakuwa kimewauma hao!!
 
CDM bana wakionyeshwa na TBC maneno, wasipoonyeshwa wanalalamika yani ni watu wakulilia tu mpaka wanatia huruma
 
Back
Top Bottom