Upendeleo wa wazi TBC Habari

Nilikuwa naangalia taarifa ya habari apa TBC ya 20hrs leo!
Walianza taarifa ya wabunge wa ccm waliopigwa bw Aeshi na mdada mmoja ivi.
Then ikafuata taarifa inayohusu CDM ya watu wake kuvamiwa hotelini
Hatimae ikaja taarifa ya hotuba ya Zito neno nililosikia akisema Tuko tayari kuwatete mara TV ikawa black ghafla then ikaendelea nkakosa flow ya speech ya Zito.
IVi mumelazimishwa kuonesha mambo ya chadema kama hamtaki mwache sio kukata kata news za cdm na za ccm zinaflow vyema as if walipa kodi wa nchi hii ni CCM peke yao

Mkuu umenena vema kabisa hata mimi wamenikera,hata kipande cha Lisu kuzungumzia yaliotokea hawajaonyesha chote na maneno niliyoyasikia tu ni "ilikuwa usiku wa saa,,,,"wakakata wakaweka ya Zitto na hawakuipa hata muda wakaikata pia sasa sijui wamelazimishwa kuonyesha taarifa za Chadema!!!?.Siku Kikinuka kituo cha kwanza kukichoma moto kiungue chote ni TBC1 na ole wao
 
Nadhani ni tatizo la kiufundi.

Usiwatetee mkuu mbona taarifa za mwanzo hazikukatwa!,Kama ni tatizo la kiufundi hiyo taarifa isingeonekana kbs.Nnasikitika ITV siwapati huku Arusha.
 
Acheni kulalama.mbona tbc huwaonesha sana cdm?.ingawa igunga hakuna chenu ndio maana mnaanzisha fujo.tbc habari kwa uhakika.

Magamba plus plus hamtofautiani,mmefanana sn Kama mazambarau.
 
Nilikuwa naangalia taarifa ya habari apa TBC ya 20hrs leo!
Walianza taarifa ya wabunge wa ccm waliopigwa bw Aeshi na mdada mmoja ivi.
Then ikafuata taarifa inayohusu CDM ya watu wake kuvamiwa hotelini
Hatimae ikaja taarifa ya hotuba ya Zito neno nililosikia akisema Tuko tayari kuwatete mara TV ikawa black ghafla then ikaendelea nkakosa flow ya speech ya Zito.
IVi mumelazimishwa kuonesha mambo ya chadema kama hamtaki mwache sio kukata kata news za cdm na za ccm zinaflow vyema as if walipa kodi wa nchi hii ni CCM peke yao
TBC ameondoka nayo Tido Mhado kilichobaki ni sawa ya magazeti ya uhuru na mzalendo ambayo mbalina kupata ruzuku toka katika kodi yetu HAYAHUZIKI hata kwa kufungia maandazi.Katika kipindi hiki cha uchaguzi Igunga tulitegemea watuandalie angalau mdahalo wa vyama vinavyo shiriki katika kinyang'anyiro hicho kimya.KIMYA kutokua na hoja kwa chama tawala CCM isiwe jumuisho kwa vyama vingine.Huu mtindo wa CCM kuwauzia walalahoi mbuzi kwenye gunia umepitwa na wakati!MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
TBC wanapendelea ccm, kwa mfano wameripoti kwamba wafuasi wachadema wamevamia wabunge wawili wakat ukweli ni wabunge wa ccm pamoja na green gurd aka makomandoo koko wa ccm walitaka kuchoma magari ya matangazo ya chadema lakini jaribio lao halikufanikiwa. TBC imekua UONGO na UPENDELEO badala ukweli na uwazi. wana JF acheni kutazama habari za TBC1. ITV ndio kituo pekee kwa habari za uhakika
 
Hata Cdm wakinyimwa airtime changes is inevitable Magamba must step down by any means and lets see.
 
nahisi kuna siku ntaenda tbc pale kudai kodi yangu nnayolipa kwenye paye maana naona haitumiki kama inavyostahili!

kwa mtindo ambao serikali inaendeashea hii nji walah ipo siku patachimbika!! hayo ya huko africa ya juu yalianzia hapa tulipo,mwanzo wa hesabu ni moja, ccm inatengeneza cansa yake yenyewe,oooh time will tell,alijisemea bob marley lets wait n cee
 
Wanatekeleza "wajibu" wao kukilinda na kukitetea chama tawala. Ndo maana walimtema tido hakuwa na maslahi kwao.
 
Acheni kulalama.mbona tbc huwaonesha sana cdm?.ingawa igunga hakuna chenu ndio maana mnaanzisha fujo.tbc habari kwa uhakika.

fujo anaanzisha CCM akishilikiana na Bi. DC aka Mfuga Kitimoto ''haramu'' kukiwa na backup kidogo ya BAKWATA..
 
Kimsingi Tz sasa hatuna kituo bora independent cha TV, wote wanawaya waya tu, sasa inapokuja kwa TBC inayoendeshwa kwa kodi za kila mmoja inatia hasira zaidi
 
TBC ilikua enzi za mh tido sasa hakuna ki2 baada yake ni vipindi vibovu 2............hakuna cku unaangalia taarifa ya habari bila kuwa na dosari inaonyesha ni kwa jinsi gani wanafanya kazi watakavyo.....maandalizi mabovu ya vipindi ni tatizo kuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Hivi CDM silaha yenu ni moja tu PATACHIMBIKA?.Yaani umekarisha masaburi yako kwenye keyboard kwa amani kabisa na utulivu tele unasema patachimbika.HIVI VITISHO MNAMTISHA NANI?.HUKO IGUNGA MBONA TUNAWATANDIKA VIZURI NA TUTAENDELEA KUWATANDIKA.MTU MZIMA HATISHIWI NYAU.
 
Hiki sio tena kituo cha Taifa cha habari bali ni kituo cha mipasho cha CCM,Mungu ameshailani CCM,2015 sio mbali hukumu yao itafika.
 
Nilikuwa naangalia taarifa ya habari apa TBC ya 20hrs leo!
Walianza taarifa ya wabunge wa ccm waliopigwa bw Aeshi na mdada mmoja ivi.
Then ikafuata taarifa inayohusu CDM ya watu wake kuvamiwa hotelini
Hatimae ikaja taarifa ya hotuba ya Zito neno nililosikia akisema Tuko tayari kuwatete mara TV ikawa black ghafla then ikaendelea nkakosa flow ya speech ya Zito.
IVi mumelazimishwa kuonesha mambo ya chadema kama hamtaki mwache sio kukata kata news za cdm na za ccm zinaflow vyema as if walipa kodi wa nchi hii ni CCM peke yao

Tutalifanyia kazi, samahani kwa usumbufu
 
Hivi watajionaje siku watakapokuwa wanarusha matangazo ya moja kwa moja ya kuapishwa raisi anayetoka CHADEMA? Wakamuone mtu anayeitwa L. M. Mbotela wa Kenya aliyekuwa anajifanya kimbelembele kuipigie debe KANU na kuponda upinzani. Kuna wakati alihojiwa ni kwa nini KBC haitangazi habari za wapinzani (akina Kibaki wakati huo), kwa kujiamini kabisa akajibu kuwa hawajaona lolote la maana linaloongelewa au kufanywa na wapinzani, lenye hadhi ya kutangazwa. Ilipofika siku upinzani ukachukua nchi, alikumbwa na aibu kubwa kwani yeye ndiye aliyetakiwa kutangaza tukio la kuapishwa Kibaki, hivyo ilibidi awe anatoa wasifu wa raisi mara kwa mara. Yalimshuka.

Natamani hapa Tz siku raisi toka CDM anachukua nchi, Marine H. Marine apewe jukumu la kutangaza.
 
Hii dunia kweli, hivi bado kuna watu wanaangalia tbc? C bora kuangalia mikatuni channel nyingine?
 
Nilikuwa naangalia taarifa ya habari apa TBC ya 20hrs leo!
Walianza taarifa ya wabunge wa ccm waliopigwa bw Aeshi na mdada mmoja ivi.
Then ikafuata taarifa inayohusu CDM ya watu wake kuvamiwa hotelini
Hatimae ikaja taarifa ya hotuba ya Zito neno nililosikia akisema Tuko tayari kuwatete mara TV ikawa black ghafla then ikaendelea nkakosa flow ya speech ya Zito.
IVi mumelazimishwa kuonesha mambo ya chadema kama hamtaki mwache sio kukata kata news za cdm na za ccm zinaflow vyema as if walipa kodi wa nchi hii ni CCM peke yao

yani bora nawewe uandike ki2!kama huna hoja 2lia kuliko kuandika hz pumba zako.
 
Back
Top Bottom