Upendeleo wa wazi TBC Habari

Muda si mrefu tutamrudisha tido kwa nguvu ya umma

Hatushangai hilo kutokea kwa chama ambacho hakijui lolote zaidi ya vurugu na majaribio ya kubaka. Huyo Tido ndiye mliyekuwa mnamtukana pale alipokata matangazo ya ufunguzi wa kampeni yenu pale Jangwani. Mkataka hata kumfanyia lynching mwandishi.
 
we mbopo kweli, kwetu mbopo maana yake mlopokoji, DAKIKA SABA TAARIFA GANI HIYO YA DK SABA UNAUMWA, SIJAWAHI ONA TAARIFA TBC YOYOTE HATA KAMA NI RAIS UNLESS KIPINDI MAALUM, DK SABA HABARI ZA CHADEMA? UNAUMWA WE MLOPOKAJI TU NA MAGAMBA YAKO! Ni kweli taarifa ya tbc imecover sana habari za ssm na magamba yao, wamemwonesha eti kafumu kabebwa NA MAGAMBA WENZAKE WALIONUNULIWA NA WAMEVAA JEZI ZAO ZA JEMBE NA NYUNDO! MWISHO WAKE UPO NDUGU ZANGU HATA MSIKONDE!!!!!!!!!!!!!

Habari za tafsiri za kwenu zinatuhusu nini. Nyie mnaoshinda humu kila siku kuropoka na kudhamini thread za kichochezi kikwenu mnaitwaje? Mlidhani mtaendelea kuupotosha umma halafu watu wawatizame tu. Nchi hii ni yetu sote!
 
Naangalia taarifa ya habari ya saa 2 usiku kupitia TBC TV..Kilichonisikitisha ni namna wanavyotangaza kuhusiana na uchaguzi mdogo wa igunga..wameonesha viongozi wa CDM wakipelekwa mahakamani na kupatiwa mzamana, sina tatizo na hili..pili wakaonesha campaign zinavyoendelea Igunga na hapa ndipo kwenye tatizo kwa sababu muwakilishi wa TBC aliyepo igunga ameonesha na kuzungumzia kampaini za CCM kwa kirefu kama dk nne hivi pasipo kuonesha wala kuzungumzia kampaini za vyama vingine kabisaaa....kwa mtazamo wangu kwa kuwa hili ni chombo cha umma kinatakiwa at least kuonekana kinabalance taarifa zake...
TBC ninaowafahamu sitarajii wafanye tofauti na walichofanya.
 
we mbopo kweli, kwetu mbopo maana yake mlopokoji, DAKIKA SABA TAARIFA GANI HIYO YA DK SABA UNAUMWA, SIJAWAHI ONA TAARIFA TBC YOYOTE HATA KAMA NI RAIS UNLESS KIPINDI MAALUM, DK SABA HABARI ZA CHADEMA? UNAUMWA WE MLOPOKAJI TU NA MAGAMBA YAKO! Ni kweli taarifa ya tbc imecover sana habari za ssm na magamba yao, wamemwonesha eti kafumu kabebwa NA MAGAMBA WENZAKE WALIONUNULIWA NA WAMEVAA JEZI ZAO ZA JEMBE NA NYUNDO! MWISHO WAKE UPO NDUGU ZANGU HATA MSIKONDE!!!!!!!!!!!!!

Nimeipenda sana comment yako.

Cha msingi kukumbuka kwanini TIDO kafukuzwa tibisi???????????????????????? sisiemu hawataki msema kweli na kuwaamsha wananchi waliolala!!!!!!!!
 
Nimeipenda sana comment yako.

Cha msingi kukumbuka kwanini TIDO kafukuzwa tibisi???????????????????????? sisiemu hawataki msema kweli na kuwaamsha wananchi waliolala!!!!!!!!

Wadandiaji wakubwa. Tido alimaliza mkataba wake na mwajiri, kwa sababu za kiutendaji aliona hana haja ya kumpa a renewed term sasa watu wanalalamika. Hivi yule bwana alikuwa afie ofisini maana alisha-retire BBC kwa umri na sikusikia hata mtu mmoja akilalamikia hilo. Lazima makubaliano yaheshimiwe. Tido alimaliza mkataba wake, akaomba renewal akakataliwa na mwajiri ana haki hiyo.
 
Nimeiangalia habari ile na nikagundua kwamba habari za Chadema zimerushwa kwa muda wa dakika saba wakati ile ya CCM imechukua dakika tano. Sijui malalamiko haya yanatoka wapi kwa sababu wote wamerushwa tena Chadema wamepewa coverage kubwa katika yale yaliyotokea na wanayoyajua, kuendesha kesi. Unataka kizungumzwe nini wakati yaliyotokea kwa leo kuhusiana na Chadema ni kwenda kujibu tuhuma zao dhidi ya udhalilishaji.

TBC ilikuwa ya kitaifa wakati wa Mhando si kipindi hiki cha Mshana,habari ya balozi wa nyumba kumi wa CCM itarushwa na sio Kampeni za Chadema, wenye upeo na wajuao umuhimu wa habari hawana taimu na habari za TBC afu kwa Igunga si kuna vyama ninane vinashiriki uchaguzi?habari za igunga ni CCM(kushabikiwa),Chadema(mabaya yao)na CUF(Mseto) kweli hii ni TBC1
 
Nimeiangalia habari ile na nikagundua kwamba habari za Chadema zimerushwa kwa muda wa dakika saba wakati ile ya CCM imechukua dakika tano. Sijui malalamiko haya yanatoka wapi kwa sababu wote wamerushwa tena Chadema wamepewa coverage kubwa katika yale yaliyotokea na wanayoyajua, kuendesha kesi. Unataka kizungumzwe nini wakati yaliyotokea kwa leo kuhusiana na Chadema ni kwenda kujibu tuhuma zao dhidi ya udhalilishaji.
Bila shaka mtoa maada amefafanua kuhusiana na taarifa iliyogusa CHADEMA kwamba, muda mwingi ulitumika kuelezea kesi ya wabunge na siyo kampeni jimboni Igunga. Na hapo ndipo lalamiko lake lilipotoka. Sasa wewe unapokuja na hoja yako ya kuendelea kutufanya wana jf wajinga tukueleweje? Yaani unataka kutufanya akili zetu haziwezi kuelewa lalamiko lililotolewa nimegusa upande gani hasa? Hivi wewe na DC wa Kahama aliyefukuza Diwani cha chama pinzani eti kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru tuwatofautisheje?
 
Coverage ni coverage na huwezi kulazimisha coverage iwe ya mazuri tu wakati kuna mabaya yaliyofanywa nawe. Wala kazi ya TV ya Taifa siyo kufunika maovu ya wadau wake. In any case kwa jana, habari za wabunge wa chadema kufikishwa mahakamani na kilichoendelea mahakamani ilikuwa ni csoop ambayo wengi wangependa kuisikia au kuiona. Ulitaka baada ya dakika saba za kuonyesha matukioa ya wanachadema, then utolewe muda mwingine wa matukio ya hao hao chadema. Usawa uko wapi? Mbona ziliporushwa habari za SAU hamkusifia kwamba kuna fairness? Inawezekana mimi na huyo DC hatuna tofauti katika kufuata taratibu za kipropotokali na inawezekana na mimi ningetenda hivyo hivyo kwa watu unscrupulous kama huyo diwani.
 
Hayo ni mambo ya kawaida kwa sasa tbc utendaji wake wa sasa na kipindi cha tido ni tofauti kabisa, tido alijenga usawa tbc we need tido back
 
Uhuru wa vyombo vya habari bado tupo nyuma tunaogopa malumbano, tusiwalaumu TBC hiyo ni kawaida ya watanzania tumekuwa woga wa majadiliano. Hata hapa Jamii Forum habari za upande mmoja zimepewa nguvu sana na habari zinachujwa kwa makusudi ya kushabikia upande fulani, jukwaa la siasa lipo kwenye matengenezo sijui yatakwisha lini ukweli ni mbinu ya kuchuja habari inayotumika kwenye kuleta upendeleo.

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Nilikuwa naangalia taarifa ya habari apa TBC ya 20hrs leo!
Walianza taarifa ya wabunge wa ccm waliopigwa bw Aeshi na mdada mmoja ivi.
Then ikafuata taarifa inayohusu CDM ya watu wake kuvamiwa hotelini
Hatimae ikaja taarifa ya hotuba ya Zito neno nililosikia akisema Tuko tayari kuwatete mara TV ikawa black ghafla then ikaendelea nkakosa flow ya speech ya Zito.
IVi mumelazimishwa kuonesha mambo ya chadema kama hamtaki mwache sio kukata kata news za cdm na za ccm zinaflow vyema as if walipa kodi wa nchi hii ni CCM peke yao
 
Nahisi kuna siku ntaenda TBC pale kudai Kodi yangu nnayolipa kwenye PAYE maana naona haitumiki kama inavyostahili!
 
Acheni kulalama.mbona tbc huwaonesha sana cdm?.ingawa igunga hakuna chenu ndio maana mnaanzisha fujo.tbc habari kwa uhakika.
 
Tbc hawana jipya achananao! Wakati watu wakiangaika kuwaokoa watu waliozama na meli kule Nungwi wao ndio kwanza wakionyesha taarabu
 
Back
Top Bottom