Updates: Zoezi la kupiga kura - Arumeru East

Status
Not open for further replies.
mkuu achana na helcopter.makamanda kama SUGU anaongoza jeshi la ardhini.hii ni suprise kwa ccm.
 
Amekamatwa akigawa rushwa makanisani. Yupo kituo cha polisi usa river.
Source- Sunrise radio
 
M/kiti wa kijiji cha Akeri (ccm) nae yupo kituoni hapo kwa kuwashawishi watu wamuuzie kadi za kupigia kura!
 
Meneja wa kampeni wa chama cha majoka yupo chini ya ulinzi mkali wa polisi baada ya kubabwa na walinzi wa cdm akitoa rushwa kanisani. Wamama wajasiri ambao wamechoka ubazazi wa ccm walipiga yowe kama vile la mwizi mara walipotokewa na Mwigulu na kuanza kuwamwagia mihela hiyo ya kifisadi.

Source
Sunrise Radio ars.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom