Updates za EURO 2012.

MR. DRY

JF-Expert Member
Oct 5, 2011
637
122
Wanajamvi kwa sasa ligi nyingi zimekwisha, tarehe 11 june mtanange unaanza.
Hapa tuhabarishane kwa kila kinachojiri.
Tuambiane TV gani kwa bongo itarusha au zile link za bure wewe tupia hapa.
Ahsanteni wanabodi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom