UPDATES: Mkutano wa CHADEMA jijini London...

anasema sio dhambi kumtoa rais mwizi mahakamani ila ni dhambi kumwacha rais mwizi mahakamani

mkuu mpo wangapi hapo mkutanoni..? 7 hehehehe! weka picha basi tupate updates ...
 
Kutokana na wahudhuriaji bwana, Lema ambaye alikaribishwa na ndugu Mushi kabla ya wazungumzaji wengine akina Ndosi, Chuwa, Manka na yule mjukuu wa mzee Mtei ilionekana si vibaya wakiongea kichaga kwa kuwa mkutano haukuwa tofauti sana vikao vyao vya kifamilia sebuleni kwao.
 
Mkuu Kiganyi mwaga picha jamvini tumeshasubiri saaaaaana, tumechoka na hizo za meza kuu, si vibaya ukitanguliza za mkutano na mayor tukiendelea kusubiri.
 
mambo mengine kila kitu nl kuiga kwa ccm, ccm kwanza walieneza chama ndani kisha nje, sasa chadema chama kipo kaskazini kusini hakipo. huu ni ujinga.
uwe muwazi zaidi kusini wapi ? kama una maana ya kusini mwa Tanzania hapo wamekudanganya mno mkuu kama huamini nenda Songea kuna diwani wa CHADEMA si rahisi kuwa na diwani kama chama hakipo

kwa taarifa yako kwa sasa CHADEMA ina nguvu zaidi Mbeya kuliko huko kasikazini kama huamini njoo Mbeya ujionee
 
MTWARA2.JPG


mkigoma hapa ni Mtwara
 
nimewaelewa wana freemason hamuwezi kuheshimu dini ya mtu mwingine bado watu hawajawatambua tu hata hao wakristo wanaoshabikia hawajui lilo ndani ya cdm
 
Hivi Watanzania ushamba utatuisha lini yaani mtu unakwenda kwenye kampuni za Tours, self drive unakodisha Vogue halafu unapiga nalo picha.

Dunia yake chaguo lake, ukiwa mwanaume usiwe na wivu na pesa ya mwanaume mwenzio iwapo anaitumia kihalali...amekodisha kwa kukukopa wewe ?! Wanaume kama mabinti alijiimbia JD
 
Kutokana na wahudhuriaji bwana, Lema ambaye alikaribishwa na ndugu Mushi kabla ya wazungumzaji wengine akina Ndosi, Chuwa, Manka na yule mjukuu wa mzee Mtei ilionekana si vibaya wakiongea kichaga kwa kuwa mkutano haukuwa tofauti sana vikao vyao vya kifamilia sebuleni kwao.

Sawasawa kabisa, kikao kimefanyika kwa watu 7 tatizo liko wapi ?
 
Wekeni picha basi za vikao msisahau picha za Lema na Meya wa London.
 
photo%281%29.JPG

Mbunge wa zamani wa Arusha Kamanda Godbless Lema Akihutubia Mkutano huo jana
photo%282%29.JPG
Baadhi washiriki wa mkutano huo
photo.JPG
Baadhi washiriki wa mkutano huo
 
Yani na technolojia yote hii watu wa UK hamkuweza kuwa na Camera nzuri. Picha zimetokea kama zimepigwa kwenye simu ya Camera ya Mchina tena zile za mwanzomwanzo. Pia tungependa kujua zaidi, nini katika yatokanayo???
 
Back
Top Bottom