UPDATES: Mapokezi ya Dr. Ulimboka na yaliyojiri

hapa hata kama huna imani ya kidini lazima uamini kwamba Mungu Yupo na ndiye JAJI wetu sote: zaburi ya 23 imetimia -- "Nijapopita kwenye Bonde la Uvuli wa mauti.....
 
Halafu leo hawa TBCCM watajifanya kwamba hii sio habari!!!!Tunaomba Serikali mumtoe haraka Mwanahalisi kwenye BAN
 
Kweli hii ni zaidi ya udaktari,kweli Mungu ameonekana leo pale JKN airport,kweli ulimboka mzima wa afya,halafu anazungumza kwa kujiamini sana
 
Mmekatazwa msiongelee mambo ya Uli na waliomteka kwa kuwa haya mambo yako mahakamani. By Kofa
 
hapo sasa ndo tutaupata ukweli nani kampiga na kumtesa,aisee hayo majina yakishatajwa hadharani tunaanza kuandamanaaaaaa
 
ikithibitika kwamba kweli bw.igondu alihusika mkurugenz tiss,wazirmamboyandani,waziriwaafya,wajiuzulu kabla hatujachukia
 
Aiseee baba yangu ndio nimetoka airport namepiga picha nyingi sana sasa jinsi ya kuweka jamani niwawekeee nanyi mfaidi
 
kwa mjibu wa radio 1 watu ni wengi sana na dr ulimboka alitokwa na machozi baada ya kuona umati wa watu..wanasema ukiachilia makovu anaonekana ni mwenye afya tele..
 
Back
Top Bottom